Uchumi wa Marekani hoi

Acha dharau wewe, hii kitu nchi za watu ni business cycle tu, yaani mzunguko wa biashara miaka nenda rudi, kuna nyakati biashara ni nzuri na kuna nyakati biashara inakuwa balaa. Hii business cycle inaruhusu wajanja kununua bidhaa kama vile miundombinu nk kwa bei rahisi maana mfanyabiashara akijiextend too much anahitaji kuliquidate position yake atapiga mnada ku-raise capital. Kuna wazungu fulani walijaribu anzisha kampuni ya fiber optics miaka ya nyuma, mwanzoni wakawa very aggressive kampuni ikafa, wajanja india wakachangamkia dili wakanunua biashara at pennys to the dollar yaaani bei chee. Kilichofuata ndio hizo "call centers" huko india, bila msaada wa zile fiber optics isingewezekana kirahisi hivyo. Sasa turudi suala la sirikali yetu tukufu, budget ya bongo imekaa upande saaana, nasema hivyo because matumizi hayalingani na kipato na sipati picha ni hela gani inalipia maBMW ya msafara wa rais, bila hata kudiscuss maVX yaliyojaa nchini. Marekani ni nchi inayokopa hela kwa sana, tena wachina ndio biggest creditors to the US huwezi amini tofauti kati ya huko na huku ni kwamba hizo hela za mkopo ulaya wanatumia kujenga barabara, madaraja and other infrastructure. Huku pesa inaingia kibindoni kiulainiiiii, na hamna mpango wowote kuinua taifa. Tatizo kubwa bongo ni tunafagilia sana mambo ya nje, kama ngedere tunaiga bila kufikiri nini kitatokea mbeleni.

Marekani imekwisha kiuchumi.
 
Nitajie five indicators of economic growth zilizokufanya utoe statistics mfu!

Watu wana mihela sana bongo. Pili, watu wamejenga majumba, tatu watu wamenunua mashamba. Nne barabara nyingi mswano. Tano, watu wanasukuma michuma ya nguvu. Kila gari utaliona bongo siku hizi. Hivi vyote havikuwepo zamani.
 
We hujui sasa hivi kazi ya kupiga BOX ndo inapamba moto?
Mambo yakiwa poa kuna kazi ya Box,
mambo yakiharibika kuna kazi ya BOX
Sisi tupo katikati,
Wakienda juu wanatuhitaji tuwapeleke juu,
Wakishuka chini wanatuhitaji tuwapeleke chini.

Kilichotukimbiza Tanzania sasa kina wajukuu,
Hicho kitu,
Ndo kinafanya watu wajae Dar na miji mingine kuliko vijijini,
ndo kinacho nyang'anya ardhi Geza ulole kwa malofa,
kuwapa Wabunge Mawaziri Ikulu na familia zao
hata kama huko Dar wanakula unga ROBO mtu 7,
mtu bado inakanyagana tu.

Huku unamtumikia Kafir pia unakula na kusaza.

Tukirudi mpambano utakuwa mkali na nyie, IS and WAS inapanda,
Wanna Gonner nazo pia, Wo thapu DUuudu? ulimi laiiiiini.
Si unajua tena nchi imepigwa mnada kila mwajiri anataka wajua IS and a WAS?

Amerika kwisha kazi sasa. Wapiga boksi semeni tuwatafutie kazi hata za umesenja hapa au kujibu simu.
 
Uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia 6%. Watu wanaingia middle class wengi sana siku hizi.
Hatuwezi kuwa na middle class as long as hatuna viwanda, dhahabu yetu inanufaisha watu wa nje na wajanja wachache na uwekezaji unategemea watu wa nje. Ni udanganyifu kuwa Tanzania kuna middle class wakati waalimu na madaktari wanalipwa just above the minimum wage. Hao ndio wanaounda middle class katika taifa lolote lile lenye maana.
 
Enzi zile tuko Primary na sekondari utasikia,
Sisi Tanzania kwa upelelezi namba moja Afrika,
dunia tunashika namba 10,

Kumbe tulikuwa tunaongelea,
upelezi wa kutumia Mahouse Girl,
Madereva kujua watu wanaongea nini vyumbani,

Wapelelezi wenyewe ndo,
akina Jack,Rama, Ahmed
Ni hodari kupeleleza kwa niaba ya CCM,
Kuminya kende watu,
kunyofoa kucha bila ganzi,kung'oameno kwa koleo,
kuiba wake za watu pengine,
na kupozi kiharamia,
eti namba moja afrika?

Sasa watu wanadhani hali ya uchumi Tanzania ni bora kuliko Marekani?
Wakati nchi inanajisiwa na kila mwenye mjengo!!?
 
Watu wana mihela sana bongo. Pili, watu wamejenga majumba, tatu watu wamenunua mashamba. Nne barabara nyingi mswano. Tano, watu wanasukuma michuma ya nguvu. Kila gari utaliona bongo siku hizi. Hivi vyote havikuwepo zamani.

Wewe acha uongo wako wewe. Mimi mwezi uliopita tu nilikuwa bongo huwezi kunidanganya kitu.

Barabara nyingi gani hizo ambazo ziko mswano? Dar es salaam hapo ni mivumbi tu kwa kwenda mbele. Na michuma gani ya nguvu unaongelea wewe? Vigari vingi Tanzania ni vichakavu.

Eti kila gari utaliona bongo...nani hapo ana hata 2012 Infiniti FX au hata Maserati GranTurismo Range?

Na eti watu wana mihela bongo...wangekuwa wana mihela wangenuka vikwapa hivyo? Kwenda zako huko na njozi zako
 
Ukiendesha kajimkweche ka Kijapan
moshi kibao ring piston zimekatika,
tayari we Middle Class

Hatuwezi kuwa na middle class as long as hatuna viwanda, dhahabu yetu inanufaisha watu wa nje na wajanja wachache na uwekezaji unategemea watu wa nje. Ni udanganyifu kuwa Tanzania kuna middle class wakati waalimu na madaktari wanalipwa just above the minimum wage. Hao ndio wanaounda middle class katika taifa lolote lile lenye maana.
 
wamarekani wajinga sana...walipigana vita iraki, afganistani, na libya afu wategemee uchumi upande....huku ni kufikiri kwa kutumia inyendembwendembwe....lile bomu lao la kuangusha la tani moja gharama yake ni sawa na bajeti ya nchi moja ya ulimwengu wa tatu.....
 
Mimi mwezi uliopita tu nilikuwa bongo huwezi kunidanganya kitu....nani hapo ana hata 2012 Infiniti FX au hata Maserati GranTurismo Range?

...wangekuwa wana mihela wangenuka vikwapa hivyo? Kwenda zako huko na njozi zako
Mja kapata nafasi ya kuishi nchi za wengine, akaona magari yao ya "2012 Infiniti FX ... Maserati GranTurismo Range," sasa katoka ushamba anatutukana Watanzania tunanuka vikwapa.

Nilidhani angerudi na mawazo mapya ya teknolojia za kileo zitakazotusukuma na sisi tutengeneza hivyo vyombo vya miundombinu, na viwanda vya kututengenezea dawa za kutusaidia tusinuke vikwapa. Kumbe hana jipya, kaenda mshamba karudi limbukeni.

Wewe ni mpumbavu tu. Huna jipya.
 
Wewe ni mpumbavu tu. Huna jipya.
Neno "mpumbavu" is not much of a new idea either, it is overused. Think wider!

Umeshindwa kufurukuta kujibu hata kitu kimoja chenye hoja, uko nchi za watu unasema nyumbani kuna "mivumbi", hakuna "Maserati na 2012 Infiniti FX," watu wananuka vikwapa. Mkimbizi wa kiuchumi unatukana waliobaki kuijenga nchi wananuka vikwapa. Sasa kati yetu mimi na wewe kweli mimi ndio mpumbavu hapo? Hahahahaha....
 
Neno "mpumbavu" is not much of a new idea either, it is overused. Think wider!

Umeshindwa kujibu hata kitu kimoja chenye hoja halafu unasema mimi ndio mpumbavu kweli?

Uko nchi za watu unasema nyumbani kuna "mivumbi", hakuna "Maserati na 2012 Infiniti FX," watu wananuka vikwapa. Mkimbizi wa kiuchumi unatukana waliobaki kuijenga nchi wananuka vikwapa. Sasa kati yetu mimi na wewe kweli mimi ndio mpumbavu hapo? Hahahahaha....

Umeandika upumbavu halafu unataka ujibiwe kwa hoja? Unashangaza.

Kujibu hicho kijiswali chako cha nani mpumbavu - wewe na mama yako ndiyo wapumbavu.

Na kuanzia sasa unapuuzwa tu.
 
Hatuwezi kuwa na middle class as long as hatuna viwanda, dhahabu yetu inanufaisha watu wa nje na wajanja wachache na uwekezaji unategemea watu wa nje. Ni udanganyifu kuwa Tanzania kuna middle class wakati waalimu na madaktari wanalipwa just above the minimum wage. Hao ndio wanaounda middle class katika taifa lolote lile lenye maana.

Kuwa na viwanda siyo ishu sana. Mbona Bermuda hakuna viwanda lakini maisha ni mswano? Visiwa vingi tuu vya pale Caribean wana maisha mswano. Na ukitembelea South America kuna nchi nyingi ambazo zina middle class kubwa. Ishu ya mishahara ya madaktari na walimu ni complicated. Nchi zingine udaktari ni fani ambayo ni ngumu sana kuingia na kwa sababu hiyo demand inakuwa kubwa. Demand ikiongezeka na supply ikipungua lazima mishahara itapanda. Usichanganye hii ishu na uchumi kuendelea.
 
Halafu wee mjamaa sidhani kama uko Tanzania wewe.
 
wamarekani wajinga sana...walipigana vita iraki, afganistani, na libya afu wategemee uchumi upande....huku ni kufikiri kwa kutumia inyendembwendembwe....lile bomu lao la kuangusha la tani moja gharama yake ni sawa na bajeti ya nchi moja ya ulimwengu wa tatu.....

Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom