Uchumba ni muda gani

semmy samson

Member
Dec 20, 2010
85
0
WADAU ZA MUDA MREFU, TUPO PAMOJA. BACK TO SQUARE ONE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:wink2:

LEO MI NINA SWALI?

NATAKA KUJUA UPI NI MUDA MZURI WA KUKAA NA MCHUMBA THEN MKAOANA, NA JE KATIKA UCHUMBA KUNA HAJA YA KUCHAKACHUANA, AU MPAKA SIKU MTAKAPO FUNGA PINGU ZA MAISHA?

NA JE MKIKAA MUDA MREFU KUNA HATARI YOYOTE?
 
Kwa dunia ya sasa imebadilika saana kimazingira (namaanisha hali ya kuchunguzana), uchumba hauna muda ila ukichukua muda mrefu saana huwa inakinai na kupelekea failure. Dini zote haziruhusu kuchakachuana kabla ya ndoa..
 
mimi naona at list miezi isiyozidi 6, hiyo inatosha kukaa katika uchumba!!
 
Uchumba unaweza kuwa hata miaka mitano inategemea na uaminifu kati ya nyie wawili pamoja na dhamira ya kila mmoja wenu, kama kila mmoja anadhamira ya dhat ya kufikia kuwa na ndoa na mwenzie, inawezekana kuwa wachumba kwa muda mrefu, na kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa siyo muhimu sana na pia dini hazi ruhusu hilo.
 
aaaaaaaaa Dena, dd mmoja shost yangu kavishwa pete mwaka wa 4 huu eti alikuwa anamsubiri mchumba wake arudi, mwenzie kuja kaja na mke mzungu na mtoto yy kabakia na pete kidoleni, baada ya hapo kenda jirusha bahari ya hindi hivi punde natoka naenda kumcheki kalazwa tumaini hosp. je ni haki alichofanyiwa?????????
 
aaaaaaaaa Dena, dd mmoja shost yangu kavishwa pete mwaka wa 4 huu eti alikuwa anamsubiri mchumba wake arudi, mwenzie kuja kaja na mke mzungu na mtoto yy kabakia na pete kidoleni, baada ya hapo kenda jirusha bahari ya hindi hivi punde natoka naenda kumcheki kalazwa tumaini hosp. je ni haki alichofanyiwa?????????

Ndo maana nikasema hakuna muda maalumu. Wewe hebu fikiria mtu anakaa miaka 4 then anakuja kuachwa kama hivy si bora angejitafutia zake mtu mwingine mambo yakaenda mmmmhhh mie mwenzio miaka minne siwezi kuwa mchumba tena kwa mbali mbali may be karibu na tuna makubaliano fulani na kuna kitu hasa cha msingi kinachotufanya tusubiri muda huo, kama chuo hivi naweza kuelewa lakini hivi hivi nooooooooo.

Suzy mpe pole huyo shoshitito mwambie maisha lazima yaendelee kuachwa kitu gani bana kwani baba yako mzazi huyo huwezi kuishi bila yeye??
 
sasa uchumba bila kuchakachuana mtajuanaje vizuri..................hebu gooonga ngooo...zi hiyo ili utambue ka inafaa au laah
 
"Uchumba" ni nini? Sounds like "virtually being on a bed most of the time"!
 
mimi naona at list miezi isiyozidi 6, hiyo inatosha kukaa katika uchumba!!

susy,
tafadhali tumongezee huyu kijana. angalau mwaka na nusu.
ni mawazo yangu. siku hizi bwana sio ka enzi za tcha.japo mtu aweza kuficha makucha hata kwa miaka 5.
Muombetu mungu bana akuutanishe na mkare,we mwenyewe huwezi jua hata ungekaa miaka 3.
 
sidhani kama kuna muda maalumu,mkifikia sehemu mkaona mnafahamiana vizuri,mnapendana na kuelewana kiasi cha kuweza kusihi pamoja....go ahead with the next step.....kuchakachua ni uamuzi wenu binafsi....kutokana na mahitaji ya miili yenu...mkiona mnaweza enda hadi ndoa bila kufanya,its very okay......and pleasing kwetu binadamu na kwa Mungu.......kama kuna sababu zinazowafanya mkae muda mrefu hapo sawa,ila si kila siku mnaonana then mnakaa miaka minne....mtachokana haraka na wengine kuanza kukata tamaaa na ku-cheat wakiamini wale walio nao si wenzi watarajiwa....kuwe na muda wa kiasi na sababu,reasonable na zinazoeleweka na pande zote mbili...:hand:
 
uchumba hauna muda maalumu inategemea mipango ya wale wenye mpango wa kuoana.
 
Uchumba ulikuwa zamani bwana....siku hizi no uchumba coz watu wanaanzia kwenye urafiki,wengine mahusiano ya kimapenzi mapema kabla ya kufikishana kwa wazazi kwa mantiki hii tayari wameshajuana.Au mi sijaelewa maana ya uchumba?teh teh teh....
 
sasa uchumba bila kuchakachuana mtajuanaje vizuri..................hebu gooonga ngooo...zi hiyo ili utambue ka inafaa au laah

sawa kabisa....u shake well before use....je mtu kama ni kibamia na saa hiyo ndo tumeshaoana?....mi bwana naona mtumiane kwanza ndio muoane....japo dini haziruhusu
 
At least miaka miwili kwa mtazamo wangu.
Ni vizuri kukaa muda mrefu ili mjuane tabia zenu na kama mna mapungufu yenu pia myaone ya kawaida.
Mkikurupukia ndoa mtajuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom