Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nataka tu kuweka kumbukumbu sawa, ustaadh Mohamed Said ni mmanyema kutoka Congo DRC. Wanyamwezi hawana damu za chuki kama huyo mzee mhamiaji haramu.

Aisee wakimbizi wanatuvurugia nchi

Ponda mrundi
Kinana msomali
Farid-wa mashariki ya akina osama
Sasa kumbe Mohame Saidi naye mkimbizi ndo maana anatuchonanisha tuwe kama jamaa wa Goma, na Mbuji mayi!!! Lahaula kwata leo nimejuwa ......
 
Hadithi za kwenye kahawa kuliko sheheni uvivu, majungu n.k. niza kutekenya masikio tu. Ni vema zikapelekwa huko Somalia na Syria
 
Soma hapa chini na mtafute nani mchochezi:

Jan P van Bergen katika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania,(1981) [1] ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam.

Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo.

Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama.

Kitabu hiki kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwa kitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidi ya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. [1]

Hadi hivi sasa kitabu hicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.

Kitabu cha pili ni cha Dr John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985 (1992). [1] Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalon anafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisa lilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislam kati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwa kwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam.

Kanisa lilikuwa linahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati za Waislam ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika ya Mashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake na ikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha. [1]
Naomba utuwekee hapa hizo nukuu za kitabu zinazomkariri Nyerere akitaja chuki zake kwa Uislamu. Kitabu cha Jan P Van Bergen kiko out of stock. Ni uwongo kusema kilipigwa marufuku Tanzania. Hata kwenye soko la kimataifa hutokipata, sasa tuelewe kuwa serikali ya Tanzania inadhibiti soko la vitabu la kimataifa? Nimekitafuta Amazon wanasema out of stock.
 
Mohamed Said,
Tunakushukuru sana umewafumbua macho watanzania wengi Mungu akuzidishie usichoke kutoa darsa.

Najua utakutana na vikwazo vingi kejeli, matusi, dhiaka, lakini hizo ni changamoto.

Tunakuombea dua...

Hivi unaamini kabisa kuwa serikali iliwadhurumu Waislamu?

Hupendi hata kushughulisha tu akili yako mkuu? Unasubiri kulishwa tu habari za vijiweni!

Kunamfano mdogo tu, wanafunzi wanaotoka Zanzibar kuja vyuo vya Tanganyika,

Mfano: Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere hapa Kigamboni, mwaka jana kilipokea wazanzibar 15 lakini katika mchujo wa chuo, ni wanafunzi wa wawili (2) ndio walionusulika.

Kwa mfano huo tu unapata wapi ujasiri wa kusema Nyerere ndie kawadhurumu hawa wanafunzi wa kizanzibar (waislamu)?

Mchawi wa waislamu kwasasa ni Mohamed Said.
 
Last edited by a moderator:
Nataka tu kuweka kumbukumbu sawa, ustaadh Mohamed Said ni mmanyema kutoka Congo DRC. Wanyamwezi hawana damu za chuki kama huyo mzee mhamiaji haramu.

Daaaaah mkuu kumbe tunabishana na MKONGOMANI?

Sasa nimepata jibu, katika moja ya makala zangu hapa jf, hasa ili iliyohusu Hujuma za Prezo kwa Chama chetu,

Nilisema binadamu aina ya Sanguine wanamataitizo makubwa sana katika jamii!

Na kwa Tanzania watu hawa wanapatikana ukanda wa Magharibi mwa nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Nimejifunza meni na ninajifunza mengi kupitia huu mjadala mzuri kabisa na jinsi Yericko Nyerere pamoja na mzee wangu saidi Mohamed jinsi mnavyojibishana kwa hoja japokuwa kuna baadhi ya wanga kama Freshthinking wanajaribu kuharibu mjadala kwa kuingiza uchama, cha muhimu ni kusikia hoja na kuchangia hoja zenye mantiki pasipo kuingiza vyama.
 
Last edited by a moderator:
Naomba utuwekee hapa hizo nukuu za kitabu zinazomkariri Nyerere akitaja chuki zake kwa Uislamu. Kitabu cha Jan P Van Bergen kiko out of stock. Ni uwongo kusema kilipigwa marufuku Tanzania. Hata kwenye soko la kimataifa hutokipata, sasa tuelewe kuwa serikali ya Tanzania inadhibiti soko la vitabu la kimataifa? Nimekitafuta Amazon wanasema out of stock.

Bergen (1981) kwa sasa si muhimu sana.
Kitabu muhimu hivi sasa ni cha Sivalon (1992).

Kama Bergen kilipigwa marufuku au vinginevyo si muhimu pia.

Muhimu ni yale yaliyomo ndani ya kitabu hicho.
 
Kuna wanga wengi tu humu JF ukiwajibu kwa hoja wanaanza kuweweseka, wengi wao walikimbia umande.
 
Hivi unaamini kabisa kuwa serikali iliwadhurumu Waislamu?

Hupendi hata kushughulisha tu akili yako mkuu? Unasubiri kulishwa tu habari za vijiweni!

Kunamfano mdogo tu, wanafunzi wanaotoka Zanzibar kuja vyuo vya Tanganyika,

Mfano: Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere hapa Kigamboni, mwaka jana kilipokea wazanzibar 15 lakini katika mchujo wa chuo, ni wanafunzi wa wawili (2) ndio walionusulika.

Kwa mfano huo tu unapata wapi ujasiri wa kusema Nyerere ndie kawadhurumu hawa wanafunzi wa kizanzibar (waislamu)?

Mchawi wa waislamu kwasasa ni Mohamed Said.
Wewe unachekesha kweli unataka niamini maneno ya kanisani?
 
Nimejifunza meni na ninajifunza mengi kupitia huu mjadala mzuri kabisa na jinsi Yericko Nyerere pamoja na mzee wangu saidi Mohamed jinsi mnavyojibishana kwa hoja japokuwa kuna baadhi ya wanga kama Freshthinking wanajaribu kuharibu mjadala kwa kuingiza uchama, cha muhimu ni kusikia hoja na kuchangia hoja zenye mantiki pasipo kuingiza vyama.

Nafarajika sana kusikia kuna watu wanafaidika na yale niliyoandika.
Wengi wamefaidika na maandishi yangu ndani na nje ya Tanzania.

Hii ni historia ambayo ilikuwa ikikandamizwa kwa miaka mingi.
Juzi nimepokea email kutoka kwa mwanafunzi mmoja kutoka Marekani.

Anasena hakujuwa kama kulikuwa na ''Muslim movement against British
colonialism in Tanganyika...''

Amesoma kitabu changu kwa ''recommendation'' ya supervisor wake wa
Ph D.

Anasema alihudhuria lecture yangu Northwestern University, Chicago na tulizungumza.
Mimi simkumbuki.

Anasubiri kibali cha utafiti aje Tanzania kwa utafiti zaidi.

Mambo ndiyo haya.
 
Falsafa yako yakuamini ni sahihi kile ukiaminicho si tu inafifisha mjadala na kudharirisha weledi wako, bali inanifedhehesha hata mimi ninaejadiliana nawe hapa.

Mkuu Mohamed Said, mimi ni MSWAHILI asilia na wakimachipuko, na nimelelewa katika maadili ya ustarabu wa kiafrika na ninaamini katika jando la taifa!

Si muamini wa utwana na si muamini wa maisha ya kiimla.

Turudi kwenye mjadala mkuu, ninakuomba ujibu swali langu kama lilivyo ili tusonge mbele kwa faida ya watanzania,

Mengine ya utwana hayawasaidii watanzania hawa unaowapotosha kwa maandiko yako uyaitayo ni historia sahihi ya uhuru wa Tanganyika!

Unajigamba kuwa wewe ni Mswahili kisha unaandika ''kudharirisha.''
Kisha unasema ''mjadala mkuu.''

Waswahili hatuzungumzi hivyo.

Una mengi ya kujifunza na kwa kweli una ghera.
Unaweza kufika mbali.

Ila jitulize jifunze adabu ya mijadala.
Jifunze lugha na jifunze kuandika vizuri.

Insha Allah utafika mbali na wewe utasomwa katika maktaba
kubwa duniani.
 
Bergen (1981) kwa sasa si muhimu sana.
Kitabu muhimu hivi sasa ni cha Sivalon (1992).

Kama Bergen kilipigwa marufuku au vinginevyo si muhimu pia.

Muhimu ni yale yaliyomo ndani ya kitabu hicho.

Hapana. Kitabu cha Bergen hakijawahi kupigwa marufuku. Kiko out of stock. There is a big difference there. Kitabu cha Mwembechai alichoandika Njozi kilipopigwa marufuku serikali ilitangaza. Kitabu cha Bergen kilitolewa makala chache tu kimemalizika, na wala si kwamba kimepigwa marufuku. Kitabu cha Sivalon (2001) ninacho. Niambie ni ukurasa gani Nyerere amenukuliwa akielezea chuki zake kwa Uislamu. That is all.
 
Sheikh Professor Mohammed naona unaendeleza mnakasha wa kuwafunza vijana kuhusu historia ya nchi yao. Binafsi nimefunguka kwa mengi shukrani sana. Wanaokuita wachochezi waanze kwanza na Mwanakijiji na fitna zake ndio waje kwako. Yeriko, Mwanakijiji amefikia wapi na mpango wa kuandika na yeye historia ya mababu zake? Andikeni nanyi historia zenu tuzisome then tulinganishe personalisation ni dalili HAMNA HOJA!!!!!!!!
 
Moja ya mambo ambayo huwa nayasoma na kuninyima raha hapa Jamii Forum ni baadhi ya wasomi kutumia vibaya elimu zao na kutumia nguvu zao zote kupotosha umma.

Katika biashara kuna aina mbili za ujasiriamali..constructive and destructive entrepreneurship Hata yule mama lishe anayeweka hamira kwenye ugali watu washibe kwa ugali kidogo naye ni mjasiriamali (destructive entrepreneurship , japo sio mjasiriamali tunayemtaka kwa maendeleo endelevu.

Kwa vigezo hivyo hivyo, msomi anayetumia usomi wake kuleta takwimu za kuonyesha wingi wa taasisi za kikristo pasipo kutuambia sababu naye ni msomi. Msomi anayetumia muda mwingi na nguvu zake zote kutafuta kila namna ya uhasi, maandiko ambayo hata kwa muktadha wake hayatuhusu watanzania lakini huyasoma na kutuonyesha kwamba ameyasoma, na mwisho kuyaleta kwetu kwa nia ya chuki naye ni msomi, ila ni bahati mbaya sio msomi tunayemtaka.

Niseme machache..Tanzania tunaelekea pabaya. Wasomi elimu zetu tunazitumia vibaya na hivyo tunaongozwa na hisia badala ya uhalisia. Maisha tunayachukulia kama mjadala (debate) tuliyokuwa tunafanya sekondari..upande unaopangwa either proposing or opposing ndio unaoutetea kwa nguvu zote, la muhimu ni upande wako ushinde.

Ebu kila mmoja wetu abadilike na kuwa mtu bora kwa ajili yake na jamii yake. Nchi hii nafasi mbona fursa ziko nyingi tu!

  • Hivi mnafurahia nafasi za juu za makampuni makubwa kuchukuliwa na wazungu, wakenya, waganda, waghana, na wanigeria leo hii miaka 51 ya Uhuru?
  • Hivi badala ya kujielimisha na kuelimisha jamii yetu kuwa bora kwa ajili ya kulinda tunu za nchi hii jibu limekuwa ni kuwashambuliana hata kwa hoja zilizo wazo na ukweli tunaoweza kutambua kwa usomi wetu?
  • Tunapoteza nguvu nyingi kulinda hoja dhaifu hata nafsi zetu zinatusuta!
  • Kwa nini huu moto wa udini tusiuanzishe dhidi ya makampuni ya madini yasiyolipa kodi na dhidi ya serikali kugawa rasilimali zetu?
  • Hivi umaskini wa nyumbani kwetu kwa sababu ya matatizo ya wazazi kutokujipanga wakati fursa zilikuwepo unasababishwaje na maendeleo ya jirani na watoto wake aliyejipanga?

Siku ujinga huu ukituondoka na kutambua tumefanya makosa itakuwa ni too late! Kupigania kushinda debate na upande wako hata kama si sahihi ni damage kubwa sana kwa ustawi wa jamii ya Tanzania. Kila nisomapo upotoshaji wa kidini huishiwa nguvu ya kufanya chochote maana naona kama wanangu huko mbeleni wataishi kwa kuulizana wewe ni mkristo au muislam? Tujifunze kwa Rwanda juu ya athari ya ubaguzi ndani ya jamii. Kuna rafiki mnyarwanda nilimuuliza kabila lake kama ni mhutu au mtusi akanijibu kwamba baada ya mauaji ya kimbari hairuhusiwi kuuliza swali hilo hadharani. Hii imekuwa kama sheria na kweli hakuniambia mbali na kwamba sote tulikuwa nje ya Rwanda. Wanyarwanda sasa ni wamoja na wanasonga mbele. Najua kwa dini itakuwa ngumu kuficha lakini hii si kitu palipo na upendo.

Niwe wazi baadhi ya michango ya GT humu inanifanya nifikirie vibaya dhidi ya rafiki na ndugu zangu wa kiislamu lakini Mungu ananipa nguvu nazidi kuwapenda zaidi. Ila, mambo haya inabidi yaishe kwani maandiko matakatifu na misaafu yanasema...mazoea mabaya hujenga tabia mbaya; pia jiweke mbali na dhambi. Haya maneno nimetohoa (paraphrase) kutoka kwenye Biblia na Kuran ili kuleta maana sawa kwa wote. Hivyo tukizoea kuongea kichuki chuki tutaishia kuishi kwa chuki.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Rejesha amani iliyopotea, upendo miongoni mwetu kwani sote ni wanao. Siafiki kupeana nafasi kwa kuzingatia udini wala ukabila. Akistahili mwislamu apewe hata kama kwenye idara hiyo waliotangulia wengi ni waislam vivyo hivyo akistahili mkristo apewe hata kama waliotangulia kwenye idara hiyo wengi ni wakristo. AMINA!

Issue hapa inatokana na Dhana ya Serikali kutokuwa na Dini au Serikali ya Kisekula Dhana hiyo ni maarufu Tanzania. Mara nyingi katika masuala yahusuyo dini, viongozi wa serikali husikika wakisema «serikali haina dini, ila wananchi wake wana dini zao ». Hoja ya usekula wa serikali ni ya kihistoria. Ilijengwa kiasi cha miaka miambili iliyopita ikitaka serikali ijiepushe na shughuli za kidini hususan katika masuala ya elimu, mafundisho ya maadili na na ibada.Japokuwa Tanzania imekuwa ikidai kwamba serikali yake ni ya kisekula, hali halisi haioneshi hivyo. Pamoja na madai hayo, serikali ya Tanzania imewahi kuingia katika msuguano na Waislamu na baadhi ya wasiokuwa waislamu pale Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ilipotaka kuanzisha somo la dini au maadili ya nchi. Kadhia hii ni maarufu kwa jina la "dini mseto". serikali ya kisekula haiwezi ikaja na mipango ya kusomesha dini kwa jina lolote lile liwe la maadili au vyovyote vile.
 
Aisee wakimbizi wanatuvurugia nchi

Ponda mrundi
Kinana msomali
Farid-wa mashariki ya akina osama
Sasa kumbe Mohame Saidi naye mkimbizi ndo maana anatuchonanisha tuwe kama jamaa wa Goma, na Mbuji mayi!!! Lahaula kwata leo nimejuwa ......

dr slaa muiraq wenje mjaluo wa kenya
 
Unajigamba kuwa wewe ni Mswahili kisha unaandika ''kudharirisha.''
Kisha unasema ''mjadala mkuu.''

Waswahili hatuzungumzi hivyo.

Una mengi ya kujifunza na kwa kweli una ghera.
Unaweza kufika mbali.

Ila jitulize jifunze adabu ya mijadala.
Jifunze lugha na jifunze kuandika vizuri.

Insha Allah utafika mbali na wewe utasomwa katika maktaba
kubwa duniani.

Ndugu yangu Mohamed Said, wewe na mimi tumesommeshwa na serikali ya nchi hii na tena hata mkopo hatujarudisha na hatutarusha kamwe, kama hukubahatika kusomeshwa walaumu wazee wako kwa kutokukusimamie ufaulu vizuri masomo yako ili ule mema ya nchi hii!

Twende katika mada tajwa tuwasaidie Watanzania wenzetu mkuu!

Ni wapigania uhuru wangapi waliopo kwenye historia uliowahoji wakati wauandishi wa simulizi ya wazee wako?

Ninaomba mahojiano ya video au sauti!
 
Hapana. Kitabu cha Bergen hakijawahi kupigwa marufuku. Kiko out of stock. There is a big difference there. Kitabu cha Mwembechai alichoandika Njozi kilipopigwa marufuku serikali ilitangaza. Kitabu cha Bergen kilitolewa makala chache tu kimemalizika, na wala si kwamba kimepigwa marufuku. Kitabu cha Sivalon (2001) ninacho. Niambie ni ukurasa gani Nyerere amenukuliwa akielezea chuki zake kwa Uislamu. That is all.
Swadakta...aseme page number watu watafakari! Lakini mambo kama haya ni magumu kwa mzee wetu asiye na mshipa wa aibu...mwisho wa siku atakuzungusha wee na hatimaye kukubandikia kitu kama hiki
quote_icon.png
By Mohamed Said

Itabidi nikupatie ushahidi wa kimahakama kama ilivyoainishwa katika ''Law of Evidence.''

Hapo apatikane mlalamikaji na mlalamikiwa, mashahidi, na barua za OUP, vielelezo vingine, tuapishwe nk.

Vinginevyo taaluma itadhalilika.

Mahakama haitaki chochote isipokuwa ushahidi madhubuti.
Hii ndiyo njia pekee ya kulinda taaluma isidhalilike.

Hapa nipo mahakamani ni lazima nije na ushahidi vinginevyo hakimu hatanisikiza.

Kesi yangu itatupwa nje ya mahakama isidhalilishe taaluma
.
Hapa amekosa hoja anajaribu kukejeli...
Tumsubiri...
 
Daaaaah mkuu kumbe tunabishana na MKONGOMANI?

Sasa nimepata jibu, katika moja ya makala zangu hapa jf, hasa ili iliyohusu Hujuma za Prezo kwa Chama chetu,

Nilisema binadamu aina ya Sanguine wanamataitizo makubwa sana katika jamii!

Na kwa Tanzania watu hawa wanapatikana ukanda wa Magharibi mwa nchi yetu.

dr slaa ni muiraq lakini cha ajabu hakwenda kumzika saddam hussein
 
Back
Top Bottom