Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
mkuu nani kashinda au bado?karibuni usa baby, mie nipo royal oak, detroit michigan...trump tumekuwa naye usiku wote...usa baby!!..
mkuu nani kashinda au bado?karibuni usa baby, mie nipo royal oak, detroit michigan...trump tumekuwa naye usiku wote...usa baby!!..
Aaah wapi sio kwa dunia ya sasa!! Hapo mpk mtupe matokeo nani kashinda itawachukua almost week! Hakuna tofauti na nyumbani Tanzania!We tulia ushuhudie historia.
Dunia nzima imesimama na masikio yameelekezwa USA.
USA baby.
Aaah wapi sio kwa dunia ya sasa!! Hapo mpk mtupe matokeo nani kashinda itawachukua almost week! Hakuna tofauti na nyumbani Tanzania!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Leo ndo leo na asiye na mwana aeleke jiwe.
Leo ndo siku pekee ambapo dunia nzima husimama kuzunguka kwenye mhimili wake hadi hapo uchaguzi wa taifa bora kabisa katika historia ya uhai.
Hata wale wanaojifanya kuiponda USA leo wataacha kufanya yao yote na kutega masikio na macho yao kusikilizia na kuona nani atachinjwa na vichinjio vya Wamarekani.
USA ndo dunia na dunia ndo USA. Hilo halina mjadala.
USA baby View attachment 430983 View attachment 430984 View attachment 430985
Marekani hakuna MANYUMBU WA BAR-YA-VICHAA
Mtaenda huko huko Us au mtalinda mkiwa hapa bongotutalinda tupo wengi, aje aondoe watawala uchwara
Kwa Dodoma baa ya vichaa iko sehemu gani? Mi Niko Nkuhungu hapa jirani na kwa Shoti Muuza MbaoMarekani hakuna MANYUMBU WA BAR-YA-VICHAA
Matumaini yetu tunashinda kwa kishindo hata kwa bao la mkonoNiko hapa nalinda kura za Trump
Naskia harufu ya kuibiwa
who care?Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Leo ndo leo na asiye na mwana aeleke jiwe.
Leo ndo siku pekee ambapo dunia nzima husimama kuzunguka kwenye mhimili wake hadi hapo uchaguzi wa taifa bora kabisa katika historia ya uhai.
Hata wale wanaojifanya kuiponda USA leo wataacha kufanya yao yote na kutega masikio na macho yao kusikilizia na kuona nani atachinjwa na vichinjio vya Wamarekani.
USA ndo dunia na dunia ndo USA. Hilo halina mjadala.
USA baby View attachment 430983 View attachment 430984 View attachment 430985
who care?
Bora ungesema ni siku ya kutangazwa Matokeo kidogo wanaofuatilia Siasa za Nje wangekuelewa... Hujaacha kuongea Pumba bado?
Familia yangu hata hawaelewi kama kuna kitu kinaitwa uchaguzi Marekani zaidi ya kujua Marekani wana Katiba yao na inafuatwa kwa asilimia Nyingi chama chochote kikishinda sera zao za nchi ni zile zile tu na umoja wao unaendelea kubakia kama Kawa... Nchi Kwanza