Uchaguzi wa Udiwani Kata ya Mtibwa-ccm wapata mgombea

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
743
114
Hatimaye ccm wamempitisha Musa Kingu kupeperusha bendera yao katika uchaguzi mdogo wa kata ya mtibwa baada ya diwani wa kata hiyo kutoka cdm kufariki dunia. Walioangushwa ni pamoja na Salumu Mayanga, Majaliwa, Mkwachu,Richard Sangan.k Nawatakia kila heri kupambana na makamanda wa M4C,mtapigwa kwa mara ya pili!!!!!!!!!!!!!!
 
M4C ikikuwa maeneo hayo hivi karibuni, nadhani CDM watatetea kiti chao. Twawatakia kila laheri wote.
 
Wa mabwepande lazima wakalishwe chini kwa mara nyingine tena.
Kama kumbukumbu yangu iko vizuri huyo mgombea wa magamba ana kashfa nzito maeneo ya wami mbiki. Man 4 M4C unamfahamu vizuri huyo Musa Kingu?
Watu wa mtibwa nawaaminia sana hawadanganyiki!
Tunasubiri kumfahamu kamanda kutoka Chadema atakayemkabili huyo gamba.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom