Uchaguzi UVCCM, Anthony Mavunde atemwa!

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
U-makamu m/kiti majina yaliyopendekezwa ni:
1. Mboni Mhita
2. Salum Hapi
3. Paul Makonda

Anthony Mavunde kakatwa! Updates zitafuatia
 
U-makamu m/kiti majina yaliyopendekezwa ni:
1. Mboni Mhita
2. Salum Hapi
3. Paul Makonda

Anthony Mavunde kakatwa! Updates zitafuatia

Huko kwenye mkutano mnagawiwa Valuuu? Umeripoti nini sasa?
 
Kukata jina la Mavunda - damn if they do, damn if they dont!

Vipi mwenyekiti UVCCM au bado?
 
MIRIJA IKATWE,

Kati ya waliopita Hakuna hata mmoja mwenye uzoefu ktk Jumuiya; ni wazi UVCCM inachimbiwa kaburi.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana (kama ni kweli)...............Mavunde amevuna alichokipanda

Mahela yote aliyogawa na kuahidiwa yameishia baharini......lol!
 
U-makamu m/kiti majina yaliyopendekezwa ni:
1. Mboni Mhita
2. Salum Hapi
3. Paul Makonda

Anthony Mavunde kakatwa! Updates zitafuatia

Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi jumapili leo 23/09/2012 waliopitishwa ni 1.Anthony Mavunde,
2.Paul Makonda na
3.Mboni Mhita
Sasa n00b hii habari yako kwamba mavunde amekatwa umeipata wapi na lini?
 
Last edited by a moderator:
Uenyekiti ni Jamali, Msaraka na Mwanaamina
 
Safi sana (kama ni kweli)...............Mavunde amevuna alichokipanda

Mahela yote aliyogawa na kuahidiwa yameishia baharini......lol!

Mkuu Balantanda hii ni kuthibitisha kwamba ccm na rushwa ni watoto mapacha.

Sijaelewa ni kwanini bado unang'ang'ania kukaa huko. Au na wewe unakata?
 
Last edited by a moderator:
Mwita,

Hii ni kutoka kamati ya maadili, lkn hata Mwananchi nadhani walikuwa na taarifa za kamati hii.

CC bado haijayapitia
 
MIRIJA IKATWE,

Kati ya waliopita Hakuna hata mmoja mwenye uzoefu ktk Jumuiya; ni wazi UVCCM inachimbiwa kaburi.

we ulipataje uzoefu kwenye hiyo nafasi uliyonayo?au unaendeleza udikteta wa kuwanyima vijana fursa kwa kigezo cha uzoefu,wataupatia hukohuko
 
Last edited by a moderator:
MIRIJA IKATWE,

Kati ya waliopita Hakuna hata mmoja mwenye uzoefu ktk Jumuiya; ni wazi UVCCM inachimbiwa kaburi.

Si vizuri kuishi kwa mazoea kuna wakati ikilazimu unabadilika hivyo sidhani uliyosema yana tija. Subiri uone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom