Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Bado na hivyo viti vingine walivyonunua na kushangilia eti wana viti 21 kibindoni vitaendelea kupungua. Na vitapungua zaidi baada ya tarehe 31 october maana hata nabii wao Tendwa amesema watapoteza kama 80.