terabojo
JF-Expert Member
- Aug 3, 2010
- 215
- 45
Ninadani wa kunyoshea kidole ni pamoja na mgt ya clouds fm ambao wanashindwa kuweka utaratibu wa nini kizungumzwe ktk jahazi na mipaka ya watangazaji wao kwa maana ya kutolisha umma wa wasikilizaji maoni yao binafsi bali wa "facilitate" mijadala. Huyu kibonde nilianza kumtilia shaka alipoponda umuhimu wa kujifunza na kujua lugha zaidi ya kiswahili na jana ndo kabisa.