Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

Zamani nilikuwa msikilizaji Mzuri wa Clouds kipindi cha Jahazi . . . . Mpaka alipoingia huyu Bwana . . .

Joe Kusaga, kama unasoma hapa, kazi kwako. Chukua hatua. Hata kama ni kada wa CCM, lakini anashusha chati Radio yako.

Just a piece of advise.
 
kibonde mnamuonea......
kwanza amesha declare yeye ni kada wa ccm,
pili kipindi chake ni kama comedy fulani..
sio kipindi serious......

nyinyi mnaomchukulia serious ndio mnapata tabu...

mimi namchukulia kama entertainer hivi....simchukii.....
 
Jatropha (halafu jina lako limekaa kiushikaji kweli,maana wale wazungu wanamaliza ardhi ya tanzania sasa hivi eti wanalima Jatropha)

Hii kauli yako imetulia, ni nyepesi kwa maelezo, ina mchomo mkali kweli, hivi itawafikiaje wapiga kura!?sijui kina Zito wanachukua hizi na kuzifanyia kazi kweli au la! Halafu upinzani sijui walikuwa wapi, hawakuwahi kufikiria radio hata mmoja wao! Ona wanavyotunyima kuwafikia wapiga kura
 
kibonde mnamuonea......
kwanza amesha declare yeye ni kada wa ccm,
pili kipindi chake ni kama comedy fulani..
sio kipindi serious......

nyinyi mnaomchukulia serious ndio mnapata tabu...


mimi namchukulia kama entertainer hivi....simchukii....
.

Mkuu suala la haki na usawa halina ze komedi... he has to learn

Kibonde ni kibonde haswaaaa
 
Msameheni Kibonde jamani, huyu hajui atendalo. kosa ni la mmiliki wa radio anaye ajiri watu wasoenda shule na watu wa kujitolea wanaolipwa na watoa habari wao au watu wanaotaka wafagiliwe. Sera ya 88.4 Clouds FM radio ni kununuliwa kwa Watangazaji ili wakupambe utakavyo na huo ndio mshahara wao. Hivyo kaka yangu kibonde anatumikia Kafiri wake asilaumiwe sana.
 
KIBONDE ni mbana pua mashuhuri anayetuaibisha sana watanzania kwa kuwa yuko katika media, mtu anayebana pua siku zote ana kuwa na matatizo ya kijinsia!!
 
Kibonde mtoto wa town huyo (Dude). Misithubutu kushindane naye. Amesoma alama zote, anafuata mwelekeo. Town ni akili tu, si kubwabwaja
 
kibonde ni kibonde kweli tena kibondalla hana lolote analojua akili zake ziko tumboni na kwenye domo lake:mad2:
 
Kibonde anasoma alama za nyakati...Mosi ni mtangazaji anayeongoza katika matangazo ya biashara TV na Radio ya hapa Tanzania... ZAIN,YUASA,ENTERTAINMENT...Pili karibu hafla zooote za serikali yupo kama MSHEHERESHAJI... Mungu ampe nini? Gunia la CHAWA! wacha abwabwaje ila mwisho wa siku mkono kinywani...
 
si mpendi kibonde coz anjifanya anajua wakati elimu ya mambo hana!infact ni mweupeeee kila idara!
 
Kwa mujibu wa Mr. Sugu, huyu jamaa ana ngoma. Mie sioni aibu kusema maana husiposema wengi patricularly wasichana wataendelea kuchomoka kwa kutojua kuwa jamaa ana UKIMYA.
 
Jana Kibonde alionyesha jinsi alivyoshindwa kupambanua mambo wakati anajadili pingamizi la CHADEMA kwa Kikwete kwani kwanza haijui sheria ya uchaguzi na kwa maksudi alikwepa suala la kuongeza mishahara.
Leo nimefurahi na jinsi walivyozungumzia gazeti la Mtanzania ambalo mhariri alijitetea katika kuandika maisha ya binafsi Slaa.Nimeguswa na swali alilopewa mhariri huyo kuwa atasaidie kuandika maisha binafsi ya viongozi wengine.Naongezea "kama ujasiri anao
 
Unatarajia Mtanzania waanze kumsifia Slaa kwa dhati?!
Hiyo ni kampeni ya CCM kuwafanya watu waanze kuyaamini hayo magazeti ili baadae wayatumie kuwamaliza CHADEMA.

Kuombwa radhi huko sio kwa dhati! Ni changa la macho la kisiasa!

Kibonde mara nyingi hajui nini anaongea! Muweke kwenye ignore list....
 
Jana Kibonde alionyesha jinsi alivyoshindwa kupambanua mambo wakati anajadili pingamizi la CHADEMA kwa Kikwete kwani kwanza haijui sheria ya uchaguzi na kwa maksudi alikwepa suala la kuongeza mishahara.
Leo nimefurahi na jinsi walivyozungumzia gazeti la Mtanzania ambalo mhariri alijitetea katika kuandika maisha ya binafsi Slaa.Nimeguswa na swali alilopewa mhariri huyo kuwa atasaidie kuandika maisha binafsi ya viongozi wengine.Naongezea "kama ujasiri anao

Jamani watanzania lazima tuelewe kwamba kibonde ni Kama wafanyakazi wengine kwenye private sector ...........lazima atetee kitumbu chake kwa nguvu zote. Alikuwa bias kwa sababu ya interest fulani fulani........Yaani jamaa si mwendawazimu wa kawaida ni mwehu aliyeshindikana kutibika kule Mirembe.
 
i love jaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz i alv kibonde bt i hate the way thy tryng to potray CCM by using inner inner language ........smtmes kibonde kama anakuwa rational ivi bt smtmes mmmh ukimsoma kwa kina akiwa na shemeji gadna mambo yanakuwa kama wana pigia debe ccm iv......walokosea kidgo sana juz bt mara nyingi wanafanyaga poa ....ni wana harakati kwa kiasi fulani lakin kwa sababu bos wao ni MWANACHAMA HAI WA CCM na madili mengi anatupiwa pale kati from kwa wale wavimba matumbo so inabidi tu waelekeze maneno zao kwa pande iyo........!!!!!!!1
gadna arudi likizo jaman tumemmisi yule kijana aliyekaa sasa pale wala hajui lolote yan kama pea basi kibonde na gadna wana lugha zao na wanapeana chat kwa kujifanya km uyu ajui vile ili uyu mwnhne aje juu na aelezee vizuri lakin uyu kijana wa sasa ivi anajifanya anajuuuuuuuaaaaa kumbe mmh sjui niaje jahazi limepwaya gadna rudi mwaya kibonde ana akusubiri ,...........mara nyingi wanabishana bila kujua km wapo upande mmoja ni yule kijana ajui principle ya kuwa dwn ili mwngine asememyeye anakuwa juu tu anapenda kuongea kwa kile kiswahili chake cha kifotokop yan anasema kwa calculator haipendez...try to b natural.......babra nayeye mmh AKAJIFUNZE KISWAHILI sjui ni usista doo mandondo ama ninini wenzake wanajaribu kumshushuaga ili aongee fresh akina pj na gerald bt dahhh kiswahili chake kibaya kwa kujifanya kazaliwa new york na kukulia paris............dada ongea kiswahili kizuri iyo lafudhi ya kijerumani haiitajiki iyo ni media udada duu peleka uko steers ukiwa unakula baga ndo tupia swaga izo!!!!!
nawapenda dina,gea suzi sjui kaenda wap wa leo tena its social program n t helpng alot na wana ubunifu wa hali ya juu yan its natuaral ,xxl pia mzuka tele maubunifu na swaga zao za ukweli due to participants n customers intended....!!!!!!!
babra na wewe aaron sjui nani wa jahazi skuizi mjirekebshe kuweni nyiny!
nawapenda ndo mana nimewaambia ukweli.......!!!!!!!!!!!!
kile kipindi cha jicho letu ni cha ukweli THE GUY IS DOING THE NEEDFULL ......hongera sana...........uyu brazamen wa jahazi skuizi atafutiwe kipindi cha peke yakke ili aweze kujifagilia vzr.ukijirekebsha kdg tu utapendeza sana cz u gt a talent n voice.......b dwn n usijikweze saaaaaaaaaaaana.
mungu awabarik clouds cz iz ma choice among redio nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing km sjafungulia clouds bas najsikilizisha RTD................hahahaaa!! haha!!!!!!!!!
ngoja nkajitupie chai kdg
pamoja sana
 
Hili ni tatizo kubwa sana! Kama chombo cha habari kuendelea kutoa taarifa zinazofanana na za "uelemishaji" ambazo ni potofu ni kosa kubwa. Hata kama hii ni redio ya kishkaji mimi nafikiri ni wajibu wa mamlaka husika kupitia na kuangalia ni nini hasa watanzania wanalishwa. Thanks God kuna kina ninyi mnaojua yale Kibonde na wanaofanana nae wanavyokosea... Je wale wasiojua chuya na mchele? Kuna wakati huwa anaongea mambo ya maana ila huwa analewa utaalamu asio nao. Same to mzee wa Jahazi G Habash mwenyewe. Hivi kuna tatizo gani kutafuta wataalamu waongoze hayo majadiliano yenu? Acheni kuupotosha umma. Hawa Jamaa wanaongea with authority wakati jambo hata hawalijui! Huku ndiko kuwabaka watanzania kiuelewa. Wabakaji wa brain za Watz! Inaudhi!
 
Back
Top Bottom