he Following User Says Thank You to Tusker Bariiiidi For This Useful Post:Kibonde anasoma alama za nyakati...Mosi ni mtangazaji anayeongoza katika matangazo ya biashara TV na Radio ya hapa Tanzania... ZAIN,YUASA,ENTERTAINMENT...Pili karibu hafla zooote za serikali yupo kama MSHEHERESHAJI... Mungu ampe nini? Gunia la CHAWA! wacha abwabwaje ila mwisho wa siku mkono kinywani...
he Following User Says Thank You to Tusker Bariiiidi For This Useful Post:i love jaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz i alv kibonde bt i hate the way thy tryng to potray CCM by using inner inner language ........smtmes kibonde kama anakuwa rational ivi bt smtmes mmmh ukimsoma kwa kina akiwa na shemeji gadna mambo yanakuwa kama wana pigia debe ccm iv......walokosea kidgo sana juz bt mara nyingi wanafanyaga poa ....ni wana harakati kwa kiasi fulani lakin kwa sababu bos wao ni MWANACHAMA HAI WA CCM na madili mengi anatupiwa pale kati from kwa wale wavimba matumbo so inabidi tu waelekeze maneno zao kwa pande iyo........!!!!!!!1
gadna arudi likizo jaman tumemmisi yule kijana aliyekaa sasa pale wala hajui lolote yan kama pea basi kibonde na gadna wana lugha zao na wanapeana chat kwa kujifanya km uyu ajui vile ili uyu mwnhne aje juu na aelezee vizuri lakin uyu kijana wa sasa ivi anajifanya anajuuuuuuuaaaaa kumbe mmh sjui niaje jahazi limepwaya gadna rudi mwaya kibonde ana akusubiri ,...........mara nyingi wanabishana bila kujua km wapo upande mmoja ni yule kijana ajui principle ya kuwa dwn ili mwngine asememyeye anakuwa juu tu anapenda kuongea kwa kile kiswahili chake cha kifotokop yan anasema kwa calculator haipendez...try to b natural.......babra nayeye mmh AKAJIFUNZE KISWAHILI sjui ni usista doo mandondo ama ninini wenzake wanajaribu kumshushuaga ili aongee fresh akina pj na gerald bt dahhh kiswahili chake kibaya kwa kujifanya kazaliwa new york na kukulia paris............dada ongea kiswahili kizuri iyo lafudhi ya kijerumani haiitajiki iyo ni media udada duu peleka uko steers ukiwa unakula baga ndo tupia swaga izo!!!!!
nawapenda dina,gea suzi sjui kaenda wap wa leo tena its social program n t helpng alot na wana ubunifu wa hali ya juu yan its natuaral ,xxl pia mzuka tele maubunifu na swaga zao za ukweli due to participants n customers intended....!!!!!!!
babra na wewe aaron sjui nani wa jahazi skuizi mjirekebshe kuweni nyiny!
nawapenda ndo mana nimewaambia ukweli.......!!!!!!!!!!!!
kile kipindi cha jicho letu ni cha ukweli THE GUY IS DOING THE NEEDFULL ......hongera sana...........uyu brazamen wa jahazi skuizi atafutiwe kipindi cha peke yakke ili aweze kujifagilia vzr.ukijirekebsha kdg tu utapendeza sana cz u gt a talent n voice.......b dwn n usijikweze saaaaaaaaaaaana.
mungu awabarik clouds cz iz ma choice among redio nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing km sjafungulia clouds bas najsikilizisha RTD................hahahaaa!! haha!!!!!!!!!
ngoja nkajitupie chai kdg
pamoja sana
wivu? kwa kipi hasa alichonacho? usaliti kwa kizazi kijacho cha watanzania?mnamuonea wivu kibonde!....
muacheni jamani
wivu? kwa kipi hasa alichonacho? usaliti kwa kizazi kijacho cha watanzania?
God forbid!
Kwa mujibu wa Mr. Sugu, huyu jamaa ana ngoma. Mie sioni aibu kusema maana husiposema wengi patricularly wasichana wataendelea kuchomoka kwa kutojua kuwa jamaa ana UKIMYA.
Mie mzalendo damu nisiyefungamana na upande wowoteNitakuletea kadi ya Kafu naona mzalendo wa kweli wewe.
naona watu wanashindwa kudiskasi faktsi wanamdiskasi kibonde na klauzi efuemu!wivu? kwa kipi hasa alichonacho? usaliti kwa kizazi kijacho cha watanzania?
God forbid!
si mpendi kibonde coz anjifanya anajua wakati elimu ya mambo hana!infact ni mweupeeee kila idara!
sasa wewe kibonde amekukosea nini?Mie mzalendo damu nisiyefungamana na upande wowote
kibonde mnamuonea......
kwanza amesha declare yeye ni kada wa ccm,
pili kipindi chake ni kama comedy fulani..
sio kipindi serious......
nyinyi mnaomchukulia serious ndio mnapata tabu...
mimi namchukulia kama entertainer hivi....simchukii.....
Kumbe tumetoka sehemu moja?Kikwetu Kibonde maana yake ni kopo la kunawia baada ya kumaliza kujisaidia haja kubwa.
sasa wewe kibonde amekukosea nini?
mwenzenu yupo kazini...!
mimi bila jahazi foleni ya jioni huwa naona haiendi kabisa
halafu maisha ya kujitengenezea stress na si-hasa mnayapendea nini wadau!?
LONG LIVE KIBONDE!
naona watu wanashindwa kudiskasi faktsi wanamdiskasi kibonde na klauzi efuemu!
wengine wamepledge kwa kusaga amfukuze kazi kisa ''si-hasa''
acheni hizo ''wanaharakati''
Kibonde anaweza U MC wa kwenye maharusi na vicheni party sio siasa..Kwa kifupi ni MPUMBAVU na sio mjinga narudia ni MPUMBAVU na anapenda sana kujikombakomba kwa viongozi...