Elections 2010 UCHAGUZI 2010: CCM Vs CCM

Hao wabunge wa ccm waliobaki kama hawajatia akili wasubiri 2015 nao.Kama hawajui kazi ya mbunge ni nini bora wakajifunze/wakaulize na waanze kuwatumikia wananchi badala ya kutumikia matumbo yao na kusbiri kununua kura.Ukifanya kazi yako uliotumwa na wananchi vizuri wala huitaji kununua kura.
 
William, good piece. Lakini I can assure you anger against the rulers imeplay part kubwa kuliko hata hiyo CCM Vs CCM
 
quote_icon.png
Originally Posted by nyani<abiziani>
enjoy lol!!
YouTube - Nyamagana MP Lawrence Masha speaks (MichuziBlog)

Hahahahahah, mi sina mbavu! yaani jamaa alitaka kutufanya majuha watu wa mwanza. Sasa imekula kwake, katumia hela nyingi sana bado inakula kwao.

Ooh! boy u made my day!!!!!!!!!!!!! haha ahaha ahahaha!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ..... Kweli CCM walilewa madaraka na walijua kwamba watanzania wa 2005 bado ni wale wale.

Jamaa anasema Mwanza hakuna upinzani mkali ... mpaka sasa Mkoa wa Mwanza majimbo 3 yameenda upinzani. Wengine wa Sumve na Buchosa bado wamekaliwa kooni mpaka kieleweke.

Kwamba swala la kupita bila kupingwa lilikuwa la kihistoria ... sasa historia imemhukumu, jamaa alitaka kuingia mjengoni kwa kutumia mlango wa uani, wapiga kura wamemtoa nje kwa kupitia mlango wa mbele ili watu wote wamuone.

JK ana kazi ya ziada maana naona majeruhi wanazidi kuongezeka!
 
Kwamba swala la kupita bila kupingwa lilikuwa la kihistoria ... sasa historia imemhukumu, jamaa alitaka kuingia mjengoni kwa kutumia mlango wa uani, wapiga kura wamemtoa nje kwa kupitia mlango wa mbele ili watu wote wamuone

Mkuu hii kitu niliihoji sana pale mwanzo na imetokea kama nilivyobashiri. Kwa sababu from my understanding ni kwamba kama unaweza kupita bila kupingwa kihalali moja kwa moja ina maana there is no way unaweza kushindwa hapo jimboni hata wakileta mpinzani gani. Lakini kupita bila kupingwa kwa technicalties kama alivyotaka kufanya Masha matokeo yake ndiyo hayo. Na anweza kuwa alijipunguzia kura nyingi tu kwa kujaribu kuinjinia hii move. Na kumbuka CHADEMA BADO WATAKUWA NAYE KWA MUDA KWANI WANA MPANGO WA KUMFUNGULIA KESI YA KUMSHAWISHI MGOMBEA WAKE AJITOE.
 
- Asalam aleykum ndugu zangu Jamiiforums, habari za matokeo ya uchaguzi wa jana yana tia moyo kwa maana ya kwamba sio siri sasa kwamba wananchi wa Tanzania, wameanza kuamka usingizini na sio kama ule usingizi fo! fo! fo! waliokuwa nao zamani. Ukiangalia kwa undani sana utagundua katika sehemu nyingi za uchaguzi, joto ya jiwe ilikuwa ni CCM against CCM yenyewe, ingawa pia Chadema wanastahili pongezi sana kwa juhudi zao nzito hasa za dakika za mwishoni za kuwafikia wanachi wengi walioko vijijini na hasa miji midogo. - Dr. Slaa, ni lazima aende ndani ya vitabu vya historia kama shujaa aliyewahi kuipigisha magoti CCM, tena single handed as Dr. Slaa, yes I sad it, single handed as Dr. Slaa. Matokeo ya uchaguzi wa jana yanamuweka Dr. Slaa juu ya wapinzani wote waliowahi kutokea na kuishi siasa za upinzani katika historia ya taifa letu, Mungu ambarikie na Aibariki Tanzania. - Pamoja na kwamba matokeo kamili hayajasemwa rasmi, sio siri kwamba wapinzani hasa Chadema, w
 
William, J.Makamba yule dada mfadhili wa Tz mbona ulimkamia? Wee mtoto wa kigogo alafu unamkaripia mfadhili wakati mkuu ambaye ni best wa mzee wako anatembea na bakuli la chuma kumuomba uyo mdada,yani umatonyaism. Kama unataka kuwashukuru wanaJF kwanza kubali kuwa mawazo ya JF juu ya MrPresident na familia yako ni kweli,out of that hapa Jamvini hawatakusikiliza,ata uwaite kwa maneno mazuri yapi,sjui Great thinker au ucheke mara nini...BE SPECIFIC KAMA UNARUDI KUNDINI.
 
- Asalam aleykum ndugu zangu Jamiiforums, habari za matokeo ya uchaguzi wa jana yana tia moyo kwa maana ya kwamba sio siri sasa kwamba wananchi wa Tanzania, wameanza kuamka usingizini na sio kama ule usingizi fo! fo! fo! waliokuwa nao zamani. Ukiangalia kwa undani sana utagundua katika sehemu nyingi za uchaguzi, joto ya jiwe ilikuwa ni CCM against CCM yenyewe, ingawa pia Chadema wanastahili pongezi sana kwa juhudi zao nzito hasa za dakika za mwishoni za kuwafikia wanachi wengi walioko vijijini na hasa miji midogo.

- Dr. Slaa, ni lazima aende ndani ya vitabu vya historia kama shujaa aliyewahi kuipigisha magoti CCM, tena single handed as Dr. Slaa, yes I sad it, single handed as Dr. Slaa. Matokeo ya uchaguzi wa jana yanamuweka Dr. Slaa juu ya wapinzani wote waliowahi kutokea na kuishi siasa za upinzani katika historia ya taifa letu, Mungu ambarikie na Aibariki Tanzania.

- Pamoja na kwamba matokeo kamili hayajasemwa rasmi, sio siri kwamba wapinzani hasa Chadema, wamefanikiwa sana katika kujiwekea imani na wanachi. Vita vikubwa vya CCM against CCM vimeisadia sana Chadema na wapinzani wote na linapaswa kua fundisho kwa CCM kwamba wakati ni huu wa kujirekebisha ama sivyo watarekebishwa zaidi kwa kura za wananchi 2015.

- Pamoja na CCM kushinda, bado historia inatakiwa kuwaandika Wapinzani na hasa Chadema kuwa ndio hasa washindi wa uchaguzi wa mwaka 2010, ninapenda kutoa heshima zangu za dhati kwa Wapinzani wote Tanzania, na hasa Chadema kwa kazi nzito na welldone. Ni wakati wa CCM kurudi nyuma na kutafakari na kujirkebisha au kusubiri kurekebishwa zaidi na kura za wananchi 2015.

Ahsanteni Wandugu, na Mungu Aibariki Tanzania.

William.
Ukweli ni kwa mpaka sasa CHADEMA wameshinda, mwanzo mzuri hope wataendelae hivyo hasa ccm wakialibu tena. JK akiendeleza safari zake, na kuteua viongozi wala rushwa! ITAKUWA MBAYA SANA MWAKA 2015
 
hachaneni na oja ya huyo malecela, anatumia hoya ya baba yake kumwagwa huko mtera ndo anaona eti CHADEMA imetumia advantage ya bif zao.Kwanza familia yake nao ni kundi la dictator/wezi waliotuibia mali zetu, sema tu wezi wenzie wamemwaga dingi yake ndo anafikiri sisi tumetumia advantage ya biff za ccm.Hoja za Hon. Presdent Dr.W.slaa zipo kitambo na tulishachoka ila tulikosa mtu wa kucompete na kikwete hapo kabla Slaa hajatokea. So alivotokea ndo watu wakajua they gabbages ndo tumethibitisha.Malecela acha izo subilini tu mtakiona cha mtemakuni yaani tuna hasira sana. Baba yako alikuwa makam M/kiti wa CCM kachukua hera ya harusi kwa jeetu patel na lowasa afu UNATAKA KUTUAMBIA NINI SASA HIVI?? kafie mbali huko
 
ccm vs ccm hi ni insult kwa chadema, cuf na waTZ wote wapenda demokrasia
nadhani bado wewe akili yako iko kwenye ccm primaries ndio maana unadhani ni ccm vs ccm, inaonekana akili yako bado imelala tokea kipindi cha ccm primaries na imeamka sasa hivi sijui ulipigwa nusu kaputi
hamna kitu kibaya sana kama kutafuta njia za kujifariji........
 
- Asalam aleykum ndugu zangu Jamiiforums, habari za matokeo ya uchaguzi wa jana yana tia moyo kwa maana ya kwamba sio siri sasa kwamba wananchi wa Tanzania, wameanza kuamka usingizini na sio kama ule usingizi fo! fo! fo! waliokuwa nao zamani. Ukiangalia kwa undani sana utagundua katika sehemu nyingi za uchaguzi, joto ya jiwe ilikuwa ni CCM against CCM yenyewe, ingawa pia Chadema wanastahili pongezi sana kwa juhudi zao nzito hasa za dakika za mwishoni za kuwafikia wanachi wengi walioko vijijini na hasa miji midogo.

- Dr. Slaa, ni lazima aende ndani ya vitabu vya historia kama shujaa aliyewahi kuipigisha magoti CCM, tena single handed as Dr. Slaa, yes I sad it, single handed as Dr. Slaa. Matokeo ya uchaguzi wa jana yanamuweka Dr. Slaa juu ya wapinzani wote waliowahi kutokea na kuishi siasa za upinzani katika historia ya taifa letu, Mungu ambarikie na Aibariki Tanzania.

- Pamoja na kwamba matokeo kamili hayajasemwa rasmi, sio siri kwamba wapinzani hasa Chadema, wamefanikiwa sana katika kujiwekea imani na wanachi. Vita vikubwa vya CCM against CCM vimeisadia sana Chadema na wapinzani wote na linapaswa kua fundisho kwa CCM kwamba wakati ni huu wa kujirekebisha ama sivyo watarekebishwa zaidi kwa kura za wananchi 2015.

- Pamoja na CCM kushinda, bado historia inatakiwa kuwaandika Wapinzani na hasa Chadema kuwa ndio hasa washindi wa uchaguzi wa mwaka 2010, ninapenda kutoa heshima zangu za dhati kwa Wapinzani wote Tanzania, na hasa Chadema kwa kazi nzito na welldone. Ni wakati wa CCM kurudi nyuma na kutafakari na kujirkebisha au kusubiri kurekebishwa zaidi na kura za wananchi 2015.

Ahsanteni Wandugu, na Mungu Aibariki Tanzania.

William.

we mwehu, huu utumbo wako uwe unauweka kwenye viblog vywnu vya uswahilini huko sawa....hapa hoja zilizokaa kigasho gasho hatuzitaki..be straight na uje na facts..
 
Huyu ni mwenzetu tupo naye hapa tunabeba naye box wakati mwingine mabox haya yanatupunyua nywele zetu na kuzifanya ziwe fupi. Si unajua tena akili ni nywele....
bwa ha ha ha kwa hiyo mkuu unasema box limezikachakachua akili za wile....
 
Back
Top Bottom