Uchafu Tz

ngoshas

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
707
192
Nimezoea kuskia uchafu na serikali inavyolaumiwa kwa uchafu hasa kwa kipindi cha ujio wa Obama, kinachonishangaza nikuwa lawama na matusi yote yanaielekea serikali, nachojiuliza ni kuwa, usafi huwa haufanyiki nchi hii humo mitaani!. Ni kweli wakazi wa jiji hiili hasa mitaa ya kati hawajawahi kuona magari yanayofyonza uchafu? Kina mama wasio na glovu za usafi na vifaa vyakuwakinga maradhi wakifagia barabara hawajawahi kuonekana? Sawa, basi ni mara ngapi mapipa ya uchafu hapo katikati ya jiji yamewekwa na hakuna anayetupa uchafu humo, lkn ktk KUONESHA KUTOKUJALIi kwa usafi wa watu wengine, mtu anagari lake, anamaliza kunywa maji anafungua kioo anatupa chupa nje. Mvua zikianza kunyesha mtu ana'tapisha' choo chake. Mwingine anapeleka uchafu sehem ya kukusanyia huko mitaani, badala atupe ktk jengo anamwaga nje ktk njia, akija mwngine nae anakuta njia imejaa taka nae anamwaga nje. Mtembea kwa miguu nae anatema mikohozi yake vile tu yeye hatakaa kyaiona huko nyuma. Ufanye ufuska wako ktk gari, kaburini, uchochoroni af kondom utupe njiani kisa we unasepa so haitakusumbua. LAKINI sasa, watu hao wasafi kwelkweli majumbani mwao. Kuchafua kote kwa makusudi mitaani, wanarudi nyuma na kuilaumu serikali.
 
Mkuu watanzania ndiyo tulivyo. Tumeumbwa wa kulaumu tu sisi bila kuangalia matendo yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom