Mkuu Gagnija, JF as a reputable social media outlet, has an obligation to respect "the right to privacy" za watu, mobile number is among the privacy za watu, hivyo kuijua mobile number ya mtu, haikupi right ya kuiexpose hiyo number in public bila ridhaa ya mwenye number, this is a violation of "the right to privacy".
Najua modes hawawezi kufuatilia kila kitu, ila sisi wanachama watiifu wa jf, pale tunapoona tunakwenda over and above, tunasaidiana kushtuana ili turejee kwenye mstari.

Mpita Njia keshanijibu. Aliyeanzisha thread angeandika Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Masuala ya Madini, Mhe. Stephen Maselle.
Naibu waziri nishati na madini bw. steven masere amepokea rushwa kiasi cha tsh milioni 30 ili kuwafukuza na kuwapora haki wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wa mgodi wa konkirangi uliopo kiomboi singida.
tajiri huyo anayeitwa bw. john bena mwenye asili ya kenya ametoa rushwa nyumbani kwa waziri huyo dodoma siku ya ijumaa tarehe 10 ya mwezi huu majira ya saa 2 usiku na kumuomba akawaondoe wachimbaji hao halali ktk mgodi huo na waziri kuahidi kwenda huko siku ya tarehe 13 mwezi huu yaani jumatatu.
Pia ktk mtandao huo wa rushwa nene yupo mkuu wa wilaya hiyo bw yahya ismail mawanda na afisa usalama wa wilaya bw. Ruta rutabeka lakini walishindwa kutokana na kuona aibu.
Kwa wanao weza kufuatilia waangalie mawasiliano kati ya wazito hao
Mkuu Gagnija, privacy ninayoizungumzia mimi ni exposure of his private number in public, bila ridhaa yake!.Pasco umeshaambiwa kuwa Masele alikuwa anakula madili ya dhahabu kwa kutumia public office (uwaziri wake). Hiyo inakuwaje private information? Hiyo dhahabu ni urithi alioachiwa na babu yake?
huyo ni public figure tayari no more privacy pasco.
Anybody who volunteers to become a public figure, there and then his privacy is compromised!! Wananchi have a right to know everything about the people to whom they have entrusted their destiny. If you want to protect your privacy ,stay at home with your family and do not venture into public office!!
Ndio raha ya kutumia real ID huwezi kujaza humu mautumbo utumbo, dhamira yako itakusuta.Ndio shida ya watu kutumi real ID zao, yaani mtu anatetea uozo kwakuwa tu anajua 'watu' wanamsoma sijui ili apate favor au kuprotect ngozi yake. Bora kutocomment kuliko kujipendekeza.
Eti no ya Simu ni private thing ambayo inalindwa na privacy bla bla. Sasa kwanini imesajiliwa kwa jina? Lkn pia as long anaitumia kwa issue za kazi/umma hata kama kuibia mali yetu, then it is a public thing according me, mtoa mada na wachangiaji wengi humu ndani.
Waichukulie hatua JF kama wana guts; si umeshawastua!
Mkuu Slobodan Milosovic, kwanza karibu jamvini, maana naona ndio kwanza umejiunga le. Pili asante kwa taarifa muhimu na nyeti kama hizi na mwisho hizo simu umeziweka za nini?!, huko ni kwenda kinyume cha "right to privacy"!.
Ndio raha ya kutumia real ID huwezi kujaza humu mautumbo utumbo, dhamira yako itakusuta.
Humu jf tuna tatizo sana na ukweli, nothing but the truth, wengine hawapendi kuambiwa ukweli, hikio nikisemacho ndio ukweli halisi wa "nothing but the truth".
Na ukweli halisi sometimes ni kama kidonge kichungu, its up to you umeze au uteme, hiyo ni shauri yako, kazi ya daktari ni kugawa tuu dose, amekuwa ametimiza wajibu wake. Mimi kama mwanahabari wa jf, naihesabu jf kama chombo cha habari, chenye heshima kubwa hivyo tunawajibika kufuata ethics japo wote humu sio watoa habari professionals, ila ukishatoa tuu habari, wewe ni mtoa habari hata kama iukweli huko ofisini kwako wewe ni mesenja tuu, kwetu sisi jf, wewe ni mtoa habari muhimu!.

Mkuu Lukansola na Ndinani, nakubali kabisa kuwa ukiwa ni public figure, the public has the right to know your public as well as private conduct, but when it comes to personal imformation, it can only be released at your discretion.
Mfano mzuri ni ile ripoti ya ugonjwa wa Dr. Mwakiembe, daktari wake anaijua, serikali inaijua na Dr. Mwakiembe mwenyewe anaijua, kama mgonjwa mwenyewe, hayuko tayari kusema in public, anaumwa nini, no one else has that right, ndio maana yule ofisa wa polisi aliposema sio sumu, wote walimruka!.
Hii right to privacy ni wajibu, kama yalivyo mahusiano kati ya mwalimu na mwanafunzi, daktari na mgonjwa, mewanasheria na mteja wake etc!.
Concern yangu sio kuuficha ukweli, bali kuexpose private number ya mtu bila sababu ya msingi, ndio maana nikauliza ile number ya simu ameiweka in public ili iweje?.
Mkuu Pasco, umejitahidi sana lakini kwa mtazamo wangu, bado tunalo tatizo la mpaka uwe wapi kwenye maswala ambayo ni public na yale ambayo ni personal and private. Hii maneno ya ethics tumeyakopi kwa wenzetu, na bahati mbaya tunakopi vitu nusunusu. Nitatoa mfano kwa rais wetu ambaye amewahi kuanguka hadharani zaidi ya mara mbili na mpaka leo hatujui ni nini kinachomsumbua kwa kisingizio cha siri ya Daktari na mgonjwa wake. Unafikiri haya yangemtokea Obama wananchi wake wangeridhika kuwa ni swala private? Au wao hawazijui hizo ethics.Mkuu Lukansola na Ndinani, nakubali kabisa kuwa ukiwa ni public figure, the public has the right to know your public as well as private conduct, but when it comes to personal imformation, it can only be released at your discretion.
Mfano mzuri ni ile ripoti ya ugonjwa wa Dr. Mwakiembe, daktari wake anaijua, serikali inaijua na Dr. Mwakiembe mwenyewe anaijua, kama mgonjwa mwenyewe, hayuko tayari kusema in public, anaumwa nini, no one else has that right, ndio maana yule ofisa wa polisi aliposema sio sumu, wote walimruka!.
Hii right to privacy ni wajibu, kama yalivyo mahusiano kati ya mwalimu na mwanafunzi, daktari na mgonjwa, mewanasheria na mteja wake etc!.
Concern yangu sio kuuficha ukweli, bali kuexpose private number ya mtu bila sababu ya msingi, ndio maana nikauliza ile number ya simu ameiweka in public ili iweje?.
Naibu waziri nishati na madini bw. steven masere amepokea rushwa kiasi cha tsh milioni 30 ili kuwafukuza na kuwapora haki wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wa mgodi wa konkirangi uliopo kiomboi singida.
tajiri huyo anayeitwa bw. john bena mwenye asili ya kenya ametoa rushwa nyumbani kwa waziri huyo dodoma siku ya ijumaa tarehe 10 ya mwezi huu majira ya saa 2 usiku na kumuomba akawaondoe wachimbaji hao halali ktk mgodi huo na waziri kuahidi kwenda huko siku ya tarehe 13 mwezi huu yaani jumatatu.
Pia ktk mtandao huo wa rushwa nene yupo mkuu wa wilaya hiyo bw yahya ismail mawanda na afisa usalama wa wilaya bw. Ruta rutabeka lakini walishindwa kutokana na kuona aibu.
Kwa wanao weza kufuatilia waangalie mawasiliano kati ya wazito hao
Mbona Naibu Waziri wa Nishati na Madini ni Mhe. George Simbachawene.
Pasco,Fixed telephone lines, box office number, hse number, office number, street number, ni public domain information ambazo ziko access to public, mobile number ni personal, wengine wanaita "private number" hutolewa kwa idhini ya mwenye number!.
Mfano mimi nazijua mobile za JK, Pinda, Othman, Mwamunyage, Mwema etc, by nature ya kazi yangu as a journalist. Hata ukiniuliza kuwa unaomba mobile ya JK, siwezi kukupa, sasa sana labda nimwambie fulani anashida naye na anaomba mobile number yake, only at his discretion, ndipo nitakupa!.Ukienda vituo vyote vya polisi pale mapokezi, utakuta official mobile number za wakuu wote, kuanzia IGP, RPC, OCD etc zimewekwa public, hizo ni public domain mobile, lakini wote hao wanazo private mobile number zao ambao hazipo pale ila watu wanazo, hizo ndizo hizo "right to privacy".Kwenye uandishi wa habari, kuna kitu kinaitwa "the confidentiality of the source", ukinipa taarifa nyeti za siri, mimi kama mwandishi ninawajibika kuhifadhi identity yako na hata ikibidi mimi kushikitakiwa kwa "possession of confidential information", nitakwenda jela bila kukutaja!. Baadhi ya waandishi wa gazeti la Mwanahalisi, wanaandikia masifa zaidi kuliko kufuata weledi, vivyo hivyo baadhi yetu hutumia masifa kuposti humu "private information za watu" kwa masifa tuu bila kufuata "the right the privacy", for jf survival a sustainibility for the future, this must stop sooner or later, vinginevyo jf tutageuka kijiwe cha kahawa kwa hoja za furahisha genge!.
Pasco,
Umeandika waraka mrefu bahati mbaya hujagusia hoja yangu ya msingi - "Mtu anapotumia vibaya simu yake kuhujumu Taifa". Hivi tufanye nimemsikia kwa masikio yangu Waziri mwenye dhamana na Mali asili akiwa ana burgain na mwindaji wa kizungu bei ya kuuziana twiga mmoja kutoka mbunga ya Mikumi. Na bahati nzuri mazungumzo yao yalikuwa through Mobile Telephone.
Kwamba siruhusiwi kusema kwamba Mheshimiwa fulani alikuwa anapanga dili ya kuuza Twiga kwa Mzungu kupitia simu yake namba 0713XXXXXX (Ili mtu ambaye yupo kwenye mitandao ya simu aweze kuprove) kisa ntakuwa naingilia Privacy yake? Kwamba inabidi niende nimuombe idhini ya kutaja namba yake hadharani? Hapana Kaka.
Tukubaliane tu kwamba kuna mazingira ambayo disclosure of individual Telephone numbers siyo violation of Privacy hasa pale disclosure itakapopelekea kuibuliwa kwa taarifa za ufisadi na mawasiliano ya kuhujumu nchi!
TUMBIRI (PhD, University of HULL - United Kingdom),
tumbiri@jamiiforums.com
Pasco,Mkuu Tumbiri, japo nakubaliana na wewe kuna disclosure ya personal numbers ambayo sio violation of the "right to privacy" kama kwenye issues za "public interest". Hiyo disclosure hufanywa kwenye relevant authorities ili kutake action for the "public interest" lakini sio hii ya public display, ndio maana nikauliza zile number kwenye hii story ameziweka za nini?. Story inaweza kusimama yenyewe kama story hata bila zile number!.