Uchafu mwingine wa Nishati na Madini

slobodan milosovic

New Member
Aug 12, 2012
1
6
Naibu waziri nishati na madini bw. steven masere amepokea rushwa kiasi cha tsh milioni 30 ili kuwafukuza na kuwapora haki wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wa mgodi wa konkirangi uliopo kiomboi singida.

tajiri huyo anayeitwa bw. john bena mwenye asili ya kenya ametoa rushwa nyumbani kwa waziri huyo dodoma siku ya ijumaa tarehe 10 ya mwezi huu majira ya saa 2 usiku na kumuomba akawaondoe wachimbaji hao halali ktk mgodi huo na waziri kuahidi kwenda huko siku ya tarehe 13 mwezi huu yaani jumatatu.

Pia ktk mtandao huo wa rushwa nene yupo mkuu wa wilaya hiyo bw yahya ismail mawanda na afisa usalama wa wilaya bw. Ruta rutabeka lakini walishindwa kutokana na kuona aibu.

Kwa wanao weza kufuatilia waangalie mawasiliano kati ya wazito hao…
 
NAIBU WAZIRI NISHATI NA MADINI BW. STEVEN MASERE AMEPOKEA RUSHWA KIASI CHA TSH MILIONI 30 ILI KUWAFUKUZA NA KUWAPORA HAKI WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI YA DHAHABU WA MGODI WA KONKIRANGI ULIOPO KIOMBOI SINGIDA, .........

Mbona Naibu Waziri wa Nishati na Madini ni Mhe. George Simbachawene.
 
Duuh..basi lete ushahidi wako kama wa Picha, Video, Sauti etc wakati tunasubiri waungwana wa Voda, Tigo, Airtel, Zantel watuchomolee evidence za mawasiliano yao
 
Duh!!!dawa ni kuendelea kuwaumbua,waking'ang'ania tunaacha nguvu ya umma ifanye kazi!!!
 
Mkuu hufuatilii siasa!! Wapo manaibu wawili.

Mpita Njia keshanijibu. Aliyeanzisha thread angeandika Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Masuala ya Madini, Mhe. Stephen Maselle.
 
Mkuu Slobodan Milosovic, kwanza karibu jamvini, maana naona ndio kwanza umejiunga le. Pili asante kwa taarifa muhimu na nyeti kama hizi na mwisho hizo simu umeziweka za nini?!, huko ni kwenda kinyume cha "right to privacy"!.
 
Tamaa ndiyo incentive inayowapeleka watu wengi kugombea uongozi. Hakuna mtu yuko pale kuwasaidia waTZ wenzake. Kama ni kweli bali masele atakuwa amejimaliza very early politically kama akina Cyril Chami. Hivi waTZ watakimbilia kwa nani kama viongozi wote wamekuwa manyanga'u
 
Nadhani kaweka kwa ajili ya wahadishi wa habari watakapo taka kuthibitisha uvumi huu basi itakua rahisi kwao kuwatafuta wahusika...viva jf.....
 
hivii how development to be brought brother when the people to whom we have entrasted power are corrupt? chukua hatuaaaa
 
Mkuu Slobodan Milosovic, kwanza karibu jamvini, maana naona ndio kwanza umejiunga le. Pili asante kwa taarifa muhimu na nyeti kama hizi na mwisho hizo simu umeziweka za nini?!, huko ni kwenda kinyume cha "right to privacy"!.
Mkuu Pasco, privacy iko kwa maswala binafsi ya kina Masele. Hakuwezi kuwa na privacy kwenye dhahabu yetu. Haya ndiyo yalifanya kina Karamagi wanasaini mikataba mahotelini na wabunge wanaambiwa hizo ni siri za serikali hivyo hawaruhusiwi kuziona.
 
tubadili jina la hii wizara labda inaweza ikasaidia (kama kuna ukweli wa hii taarifa) kuna nini nishati na madini? tumshukuru Mungu kwa kutupa ujasiri wa kutokuwajibishana..kumbe kuendelea kuimba Mungu ibariki tz ni kuomba hizo baraka ziwe juu yao pekee
 
Mbona Naibu Waziri wa Nishati na Madini ni Mhe. George Simbachawene.

Hallo Mtumpole,Manaibu waziri wapo wawili: mmoja anashughulikia nishati na mwingine madini. Wa madini ni Masele na nishati ni Simbachawene
 
Last edited by a moderator:
Tamaa ndiyo incentive inayowapeleka watu wengi kugombea uongozi. Hakuna mtu yuko pale kuwasaidia waTZ wenzake. Kama ni kweli bali masele atakuwa amejimaliza very early politically kama akina Cyril Chami. Hivi waTZ watakimbilia kwa nani kama viongozi wote wamekuwa manyanga'u

Acha mkuu ngoja tuwahi mbele maana maisha yanakuwa terminated mapema munoooo!

Tuamini tu kwamba nchii haina mtu mwema tena ktk siasa. Siasa imekuwa ni kazi ya wahalifu. Tangu Rais hadi mkuu wa kitongoji.

Mkuu Slobodan Milosovic, kwanza karibu jamvini, maana naona ndio kwanza umejiunga le. Pili asante kwa taarifa muhimu na nyeti kama hizi na mwisho hizo simu umeziweka za nini?!, huko ni kwenda kinyume cha "right to privacy"!.

Tulisajili simu ili privacy inayopelekea makosa ifutike. Tukitia maska tu, simu yako ni shahidi.
 
Back
Top Bottom