The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,906
pia kuna tende na maziwa ,unaviblend pamoja!matokeo yake hata dozi ya wiki humalizi!
tende na maziwa nimewahi sikia
dozi ipi hiyo ya wiki?
pia kuna tende na maziwa ,unaviblend pamoja!matokeo yake hata dozi ya wiki humalizi!
Tena kuku mwenyewe awe jogoo mchanga; duh yaani unarudi kama ulivyokuwa 16yrs!
dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta!tende na maziwa nimewahi sikia
dozi ipi hiyo ya wiki?
Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiriadozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta!
Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria