Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Right now, I'm feeling pretty good ndugu wananchi! And as a matter of fact, this probably is by far the best goose-bumps I have ever had! I'm not sure if I should laugh or cry [frame it whatever you want]. But saying, "Ich Bin Mtarime," is what I really feel doing today.

In case you missed it, below are some excerpts from seven pages letter-which is due to be sent to to: President Kikwete, Premier Pinda, Speaker Sitta, and Chief Justice Agostino Ramadhani sometimes later in october [this year] by the group called Tarime Citizens Action Group (TCAG).

WE WANT OUR STATUS TO BE THAT OF AUTONOMOUS
...The kind of autonomous status we want extends only to the power to set up our own system of education; Public service [water services/postal service/waste management/power utility]; and of course, supreme control of our God-given natural resources, gold.

Aside from protecting our own self-interest, we face, of course, another threat from the mining industry [Barrick Gold Corp] which makes our demand for autonomous status even more urgent than ever.

Killing/assassination has long been Barrick's strategy and its government backers [Regional Commissioner, District commissioner, Tarime police station] in dealing with the locals who have always opposed the giant mine.

These killings have been going on (unchecked) for almost 7 years now, which leave the questions: where is the central government? Does it even make any sense for the citizens of Tarime to continue to plead allegiance to the flag of the United Republic of Tanzania (when the very same government is in bed with those who are spearheading the killings against us)?

Flashing back:

In August 2001, hundreds of villagers, particularly community leaders and some prominent locals were targeted for illegal arrests in which several local leaders including the late Chacha Zakayo Wangwe (who at the time was elected Member of the Tarime District Council) were harassed and threatened leaving one guy, Augustine Nestory Sasi, being sentenced to 30 year in prison without even any due process of the law (this was before Tundu Lissu & company got him out after appealing to the High Court of Tanzania).

On top of that, for years now, the giant mine has been taking villagers' lands for its mining operations [and this is done by force] by simply dumping millions of tons of waste rock/debris onto village lands without even the pretense of seeking villagers' consent or payment of compensation as required by law.

Even more disturbing, the company has been also releasing waste water full of hazardous chemical substances from Barrick's tailings dam onto villagers' lands deliberately! This is happening at Matongo & Ghokona Villages where hundreds of hectares of farmlands have been flooded with the cyanide-laced swamps released from the tailings dam.

Not only that, the company has been also releasing this cyanide-laced water into the Tigite River, which in turn, empties into Mara River [please bear in mind that most of rural poor use the very same water from these two rivers for cooking, drinking, washing, and gardening].

I mean, we're talking about human beings here (not animals) who have constantly been exposed into arguably one of the most potentially harmful chemical substances of its form. We're talking about defenseless people who have long been ignored by their own government!

And that's why we want our status to be that of autonomous.

Thanks,

TCAG.

P.S. I'll continue to keep you posted as soon as I receive some new additional information...

This is nothing but a pathetic attempt at seeking cheap thrills and stirring up unwarranted political controversy. Its obvious to everybody that you wrote up this so-called "excerpts" from a purported "7-pages letter to Kikwete" yourself and try to pass it off as some sort of manifesto from a non-existent Citizens Action Group. Pumbaaf!
 
Now I see you are trying to insult my intelligence wewe Mnyama pori. And thanks for calling me pumbaf! But next time, I suggest that instead of you trying to be a hero, uliza kwanza hizo dossier nimezipatapataje nami nitakupatia majibu ya kuridhisha. Ok!
 
bongo,

Sasa Umekitibua Kichwa Changu Kabisa!!!!!!, Umenikumbusha Kule Kagera 79, Nimekumbuka Vile Vifaru, ......umenikumbusha Mkuu Wangu, Nimeanza Kukumbuka Tulivyokuwa Tukikamatwa Kwenda Kulitetea Taifa Hili, Nimekumbuka ... Nimekumbuka,

Tulifanywa Kafara Kwa Ajili Ya Taifa Hili ,ukweli Ulikuwa Silaha Yetu, Umenikumbusha, Sitaki....sitaki., Oooohhh!!! My God, Lakini Sikati Tamaa, Wakati Wa Ukombozi Wa Taifa Hili Uko Karibu,

Tutatumia Kura Yetu Vizuri Kulitetea Taifa Hili, Haijalishi Hata Kama Mwl Nyerere Aliliweka Lehani, Ni Ngumu Ila Siku Moja Litakomboka Tu. Itachukua Muda Kuyafanya Haya Lakini Siku Zaja Tutafanikiwa.

hebu Niambieni Ni Kiongozi Gani Anayetoka Mara aliye Fisadi?[/size] Sasa Ccm Wamewatenga Wazee Wetu, Hawatakiwi Kabisa!!!!!,ndani Ya Chama Hicho Tunajua, Tunaelewa.

Nimrod Mkono......!
 
...Hebu niambieni ni kiongozi gani anayetoka MARA aliye Fisadi? sasa CCM wamewatenga wazee wetu, hawatakiwi kabisa!!!!!,ndani ya chama hicho tunajua, tunaelewa.

Sina jina hata moja mkuu, ila nadhani huyu Stephen Wasira atakujageuka kuwa Fisadi hapo baadaye. I'm very suspecious na huyu mtu.
 
BongoTz,
' Mengi uliyoyasema ni mazito. Serikali isikichukulie kimchezomchezo kilio hiki cha Wanamara. Wakati alipokuja NY mwaka 2006 rais Kikwete aliulizwa swali na dada mmoja ambaye familia yake ilikuwa imehamishwa ili mwekezaji achimbe madini. Yule dada alimwuliza rais kuwa baba yake na familia yake wamehamishwa kutoka shamba walilomiliki kwa zaidi ya miaka 30 atasaidiwaje? Jibu la mheshimiwa liliniacha hoi. Alimwambia afadhali kuchimba dhahabu badala ya kilimo. Ndiyo mindset yetu Bongo. Juzi hapa Marekani nimeona CNN kumegunduliwa mafuta kwenye mashamba ya watu huko North Dakota. Kila mwenye shamba badala ya kuhamishwa amefanywa kuwa mdau na wameanza kukaa mkao wa kuwa milionea. Bongo wakipata mafuta kwenye shamba lako unahamishwa harakaharaka anakabidhiwa Sinclair.
 
Jasusi, lakini wakikuta kwenye shamba lako kumeota majani ya bangi kwa wingi hawaoni ni raslimali wanakuona mhalifu!!
 
BongoTz,
' Mengi uliyoyasema ni mazito. Serikali isikichukulie kimchezomchezo kilio hiki cha Wanamara. Wakati alipokuja NY mwaka 2006 rais Kikwete aliulizwa swali na dada mmoja ambaye familia yake ilikuwa imehamishwa ili mwekezaji achimbe madini. Yule dada alimwuliza rais kuwa baba yake na familia yake wamehamishwa kutoka shamba walilomiliki kwa zaidi ya miaka 30 atasaidiwaje? Jibu la mheshimiwa liliniacha hoi. Alimwambia afadhali kuchimba dhahabu badala ya kilimo. Ndiyo mindset yetu Bongo. Juzi hapa Marekani nimeona CNN kumegunduliwa mafuta kwenye mashamba ya watu huko North Dakota. Kila mwenye shamba badala ya kuhamishwa amefanywa kuwa mdau na wameanza kukaa mkao wa kuwa milionea. Bongo wakipata mafuta kwenye shamba lako unahamishwa harakaharaka anakabidhiwa Sinclair.

Labda kuna tofauti kubwa kwenye umilikaji ardhi, bongo ardhi muda wote inabakia kuwa mali ya serikali na watu ni kuwa tuna-lease tu kwa muda maalumu. Nchi nyingine ardhi ukinunua inakuwa mali yako.
 
Labda kuna tofauti kubwa kwenye umilikaji ardhi, bongo ardhi muda wote inabakia kuwa mali ya serikali na watu ni kuwa tuna-lease tu kwa muda maalumu. Nchi nyingine ardhi ukinunua inakuwa mali yako.

Sahihisho: Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya Dola (i.e., "State") na siyo Serikali per se (i.e., Government).
 
Now I see you are trying to insult my intelligence wewe Mnyama pori. And thanks for calling me pumbaf! But next time, I suggest that instead of you trying to be a hero, uliza kwanza hizo dossier nimezipatapataje nami nitakupatia majibu ya kuridhisha. Ok!

Why would I want to insult your intelligence? The fact that you were able to fantasize up this kind of stuff shows what a smart fellow you really must be. By the way, does The TCAG have the requisite fire-power to back up their claims against the Government, au ndiyo yaleyale mambo ya Wakurya ya kudonoana na mishale na mikuki?
 
Mtuma Mada Unapenda Nikupe Ramani Ya Madili Hapo Tarime Au Mtaanza Kupigana Mikuki Tena ? Kama Unapenda Niandikie Pm Nitakupa Ramani Ya Madini Yaliyopo Nafikiri Utaandika Mada Nzuri Zaidi
 
kama kweli wamedhamiria na hakuna blah blah dawa ni kuwasubiri 2010 na upinzani kuchukua majimbo yote ya Mara na mikoa ya kuzunguka Victoria maana matatizo yenu yanafanana,baada ya hapo ni kuforce agenda moja baada ya nyingine...lakini i doubt maana pilau na chang'aa za bure za CCM zikianza kick in watasahau kila kitu!
 
Wadanganyika jamani sijui Mungu katupa nini!... Duh sasa hili swala la madini limekuwa swala la Wakurya.. watu wameanza kulitazama kwa rangi zao badala ya kuwa madini haya ni rasilimali ya nchi nzima..
Ama kweli masikini akipata matako hulia........
Ya Pemba ni ya Wapemba, Wachagga ya Wachagga, Unguja Waunguja, Waislaam waislaam basi ili mradi siku zote hatuwezi kufikia suluhu ya jambo kwa maslahi ya Taifa..
Yawezekana kweli majimbo ndio solution na huko nako naona Tarime watadai kujitenga na Jimbo la kaskazini, kujitenga na mkoa wa Mara na pengine kujitenga kama wilaya kuwa kata huru kulingana na makabila za sehemu hizo...
Mwisho ya wote, hatma ya haya yote baada ya kugawana Umaskini ni kuishiwa hata kifikra! Maneno ya mwalimu Nyerere kuwa Ubepari hauwezi kusimama ktk nchi maskini kwa sababu kamwe huwezi kuugawa Umaskini.
Darwins - Mwenye nguvu ndiye atafaidika na pilau la Maulidi..
 
Labda kuna tofauti kubwa kwenye umilikaji ardhi, bongo ardhi muda wote inabakia kuwa mali ya serikali na watu ni kuwa tuna-lease tu kwa muda maalumu. Nchi nyingine ardhi ukinunua inakuwa mali yako.

Hata kama hii ni kweli haiingii akilini kwamba madini au mafuta yakipatikana katika ardhi ambayo umeitumia kwa kizazi na kizazi basi wewe uhamishwe na mzungu apewe ardhi hiyo bila wewe kulipwa loyalty yoyote. Haiingii akilini kabisa. Lazima kuwepo na utaratibu ambapo serikali itafaidika na wewe uliyekuwa kwenye ardhi hiyo kwanza pia ufaidike. Huo ndio mtazamo wangu.
Na haya ya kujitenga siyaungi mkono hata kidogo. Lazima tupiganie haki ili sote tufaidike na maliasili aliyotupa Mwenyezi Mungu.
 
Why would I want to insult your intelligence? The fact that you were able to fantasize up this kind of stuff shows what a smart fellow you really must be. By the way, does The TCAG have the requisite fire-power to back up their claims against the Government, au ndiyo yaleyale mambo ya Wakurya ya kudonoana na mishale na mikuki?

Oh, thanks for the compliment man! But Nyama, with all due respect, I'm not fantasizing up 'bout this whole TCAG thing. What I'm telling you mkuu (and I'm not kidding), is absolutely true. Nimesoma pages zote 7 toka kwenye hiyo barua ya Tarime Citizens Action Group (TCAG), and believe me: they got a very strong and impressive case to make .Problem tu ni kwamba, wameniomba nisi-leak materials zote zilizomo ndani ya hiyo barua humu JF kwasasa coz wanadhani kuwa itakuwa inahafifisha uzito wa issue yenyewe, lakini soon (I hope) utayasikia/soma mwenyewe.

By the way, does The TCAG have the requisite fire-power to back up their claims against the Government, au ndiyo yaleyale mambo ya Wakurya ya kudonoana na mishale na mikuki?

You know, nilimuuliza mmoja wa members wa TCAG (spokeperson wao) kuwa, " what if kama government itakataa/tupilia mbali madai yenu ya kutaka kuwa autonomus district/region?" Jibu lake: exactly ulichoandika hapo juu, ndico alichokisema, "Tarime haitakalika/tawalika. Na hao wazungu watatutambua kuwa sisi ni nani." I think (nilivyo mueelewa) alikuwa anamanisha kuwa mishale na mikuki itatembea...
 
Y'all must be insane if you are still buying the kind of crap that this guy is peddling in here!!! First he failed miserably with his attempt to discredit a bona fide doctor, and now he's coming up with this crap....I'm sorry but whoever is buying this must be crazy....
 
Hata kama hii ni kweli haiingii akilini kwamba madini au mafuta yakipatikana katika ardhi ambayo umeitumia kwa kizazi na kizazi basi wewe uhamishwe na mzungu apewe ardhi hiyo bila wewe kulipwa loyalty yoyote. Haiingii akilini kabisa. Lazima kuwepo na utaratibu ambapo serikali itafaidika na wewe uliyekuwa kwenye ardhi hiyo kwanza pia ufaidike. Huo ndio mtazamo wangu..

Jasusi, unachosema ni kweli mkuu. Sio vibaya serikali akaifaidika, ila na mwenye ardhi naye anastahili haki yake.
 
Sina jina hata moja mkuu, ila nadhani huyu Stephen Wasira atakujageuka kuwa Fisadi hapo baadaye. I'm very suspecious na huyu mtu.

Bongo,

Wasira akitusariti tu, atafute mti apande, baba wa Taifa hili alishatueleza tulitetee Taifa hili mpaka Tone La mwisho bila kuwa wasariti,sasa akijidanganya amekwisha na ile laana ya mzee wetu mwl Nyerere itamfuata.
 
Aaaanzae kwa ULUZI UISHIA NA KUIMBA.
 
kama kweli wamedhamiria na hakuna blah blah dawa ni kuwasubiri 2010 na upinzani kuchukua majimbo yote ya Mara na mikoa ya kuzunguka Victoria maana matatizo yenu yanafanana,baada ya hapo ni kuforce agenda moja baada ya nyingine...

Tatizo upinzani nao umechoka mno!

...lakini i doubt maana pilau na chang'aa za bure za CCM zikianza kick in watasahau kila kitu!

Oh yeah, unachosema ni kweli kabisa Koba.
 
Mkuu,

Uchungu mnaopata unatosha kuleta hisia kama hizo. Ukweli ni kuwa wananchi wahusika wanakuwa hawapewi nafasi wala usawa unaotakikana ktk ku-share utajiri wa asili. Mbali na hayo, mmiliki wa hayo machimbo analeta (kwa ufupi) vifo kwa jamii husika. Hao wazungu (wachimbaji) wana historia ya kufanya hivyo. Hali kama hiyo inaendelea sasa hivi kote ambako wanahusika (mfano:South Africa, Angola, Congo n.k.)
Binafsi naunga mkono malalamiko yetu na nina-share uchungu mnaopata. Isipokuwa swala la "soft autonomy" nahisi litakuwa gumu kulitekeleza kwa jinsi yoyote mtakayopendekeza. Niko (Tuko) pamoja nanyi ktk harakati za kutaka kukomesha hiyo hali ya uonevu na kutokuwajali wananchi wa kawaida kiafya, kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Nkulu
Ingefaa kutafuta "strategy" ya kukomesha hayo yote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom