Ubunge Arumeru Mashariki utakuwa mgumu sana

Royals

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
1,466
378
Nawaza hali itakavokuwa kwa jimbo la Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi baada ya kuondokewa na Mheshimiwa Sumari. CCM watataka wajitahidi kwa nguvu zai zote kuliko ilivokuwa Igunga ili kulinda heshima yao. CDM nao watataka wahakikishe kuwa wanalichukua ili kuimarisaha ukanda wa kaskazini tokea Mbulu, Karatu, Arusha mjini, Hai, Moshi Mjini na Rombo. rangi za kijani na magwanda kazi kwenu.
 
Nawaza hali itakaviuwa kwa jimbo la Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi baada ya kuondokewa na Mheshimiwa Sumari. CCM watataka wajitahidi kwa nguvu zai zote kuliko ilivokuwa Igunga ili kulinda heshima yao. CDM nao watataka wahakiishe kuwa wanalichukua ili kuimarisaha ukanda wa kaskazini tokea Mbulu, Karatu, Arusha mjini, Hai, Moshi Mjini na Rombo. rangi za kijani na magwanda kazi kwenu.
 
Tuweni na ubinadamu kidogo jamani kha!! Shetani gani huyo? Kweli wenzako wanalia kwa kufariki kwa mpendwa wao wewe unakuja na threads za kutaka jimbo? Mods naomba kwa heshima ya JF hii thread ifutwe.
 
Ndugu, jamaa na marafiki mnaombwa kuwa nasubira hasa kwa wakati huu.
 
tumsindikize mwenzetu kwanza kwenye safari yake ya mwisho kwanza. msiba si jambo la kufurahia wala kuleta ushabiki!
 
Tuweni na ubinadamu kidogo jamani kha!! Shetani gani huyo? Kweli wenzako wanalia kwa kufariki kwa mpendwa wao wewe unakuja na threads za kutaka jimbo? Mods naomba kwa heshima ya JF hii thread ifutwe.
Sumari aliugua sana Mkuu watu watakao lia labda ni wachache, hasa waliokuwa wanapata pensheni/posho kwa uwepo wake. binafsi nasema apunzike kwa amani aliteseka sana.
Wanasiasa kaeni attention! Jimbo nje nje! jamaa kafa kikweli kweli!
 
Hiii ni ishara ya wazi kwamba siasa zimechukua sehemu kubwa ya maisha na akili zetu kiasi kwamba hatuwezi kufanya jambo lolote bila kuingiza siasa.

Kuweni wavumilivu, mtapata muda wa kutosha kwenda nyumba kwa nyumba hadi kitanda kwa kitanda, sasa hivi tuungane na familia ya marehemu sumari katika maombolezo, mwili wa mpendwa huyu hata haujapumzishwa mahali pake.
 
Hapa hakuna kusubiri,kufa kufaana!early preparation is better!

Muwe mnamuogopa Mungu jamani lol!! Hata kama kufa kufaana ili uweze kuifanyia kazi kauli hii sharti uwe ni shetani kidogo....tujipe muda,tushiriki msiba kama ambavyo CCM walishiriki msiba wa mum Regia and then baada ya hapa tuanze mapambano,nadhani tukiwa na utaratibu huu hata MUNGU atakuwa upande wetu...nawasihi vyama vyote na hata CCM wenyewe maana najua kuna watu wameanza kufikiria kuchukua form za kugombea ndani ya chama kuwa tuwe na ubinadamu kwanza,maana kushangilia kifo cha mwenzako kwasababu unakitaka kiti cha ubunge kwa kweli na wewe utakufa kabla ya kumaliza muda wako.

Ubinadamu kwanza,vyama baadae!!
 
Sumari aliugua sana Mkuu watu watakao lia labda ni wachache, hasa waliokuwa wanapata pensheni/posho kwa uwepo wake. binafsi nasema apunzike kwa amani aliteseka sana.
Wanasiasa kaeni attention! Jimbo nje nje! jamaa kafa kikweli kweli!

Mkuu Mungi,kuugua kwake muda mrefu hakuondoi dhana kuwa ni msiba na mtu kafariki..mimi simaanishi watu kulia,wanaweza wasilie lakini ni msiba mtu kafariki...dhana nayotaka kuileta hapa JF ni kuvumiliana na kuonyeshana upendo hasa kwenye vitu kama hivi vya maafa na misiba...nawashukuru kwa kiasi fulani wanachama na wapenzi wa CCM hapa JF walionyesha upendo na uvumilivu na kujizuhia wakati wa msiba wa mum Regia..wallificha makucha yao chini ya kivuli cha ubinadamu..naomba NCCR,CUF,UDP na wanachama na wapenzi wenzangu wa CDM tuige mfano huu.
 
tumeshalia mppaka machozi yameisha,kafia mahali pabaya mbele ya regia?
any way tuomboleze tule lakini tusiache kulijadili jimbo kwani tupo kwenye harakati n=za ukombozi.
 
Uliyoandika kwenye topic yako ni sahihi ni kweli,ila si kweli yote.Sumari ameaga leo,hajazikwa,unaanza kufikiria ubunge wake!Zinakutosha kweli wewe?inawezekama unahusika.
 
Jamani thread nyingine tuwe na subira, kwani huyu ndugu yetu hata hatuja mzika bado unakurupuka na jinsi ya kurithi jimbo. Je akifufuka utafanyaje na hiyo thread yako? Au wewe ndio umemwua nini?
 
Back
Top Bottom