Km unachokisema ni kweli marehemu hakupiga kampeni basi kuna haja ya chama kikalitizama swala hili kwa macho mawili.
Ndugu wana jf
Joshua Nasary ndie aliyepeperusha bendera ya chama chetu mwa 2010 kwa nafasi ya ubunge ktk jimbo hilo na mwishoni hakufanikiwa kushinda.
Marehemu Jeremia sumari alikuwa mgonjwa kipindi chote cha kampeni na hakuhutubia mkutano hata mmoja bali wana-ccm wenzake ndio waliompigia kampeni na kuibuka mshindi.
Mimi binafsi nina mashaka na uwezo wa huyo kijana wetu juu ya kuweza kulichukua jimbo hili wakati wa uchaguzi mdogo, Km ktk kipindi cha kampeni alikuwa peke yake ila ameshndwa, je atawezaje kushinda ktk kipindi ambacho ccm nao watakuwa na mgombea ambae atajipigia kampeni?
Chadema km chama kinatakiwa kusimamisha mgombea ambae tuna asilimia nyingi za kushinda na sio kuridhishana eti kwa kuwa yy aligombea 2010 basi na sasa awe huyo huyo.
ARUSHA
WILAYA YA MERU
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage VotesSUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM34,661
62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA19,123
34.33
JOHN YESAYA PALLANGYO
CUF265
0.48
LINDA PENIELI BANA
JAHAZI ASILIA176
0.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYO
TLP88
0.16
CHARLES MOSES MSUYA
UPDP88
0.16
SPOILT VOTES
1,297
2.33
TOTALS
55,698
100
Hoja yako ni nzuri,kwani inatupa nafasi ya kujadili suala muhimu.wasiwasi ni kwamba kama mgombea hakufanya kampeni na alishinda. Basi hiyo ilikuwa chakacxhua ya magamba system
ARUSHA
WILAYA YA MERU
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage VotesSUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM34,661
62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA19,123
34.33
JOHN YESAYA PALLANGYO
CUF265
0.48
LINDA PENIELI BANA
JAHAZI ASILIA176
0.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYO
TLP88
0.16
CHARLES MOSES MSUYA
UPDP88
0.16
SPOILT VOTES
1,297
2.33
TOTALS
55,698
100
Ndugu wana jf
Joshua Nasary ndie aliyepeperusha bendera ya chama chetu mwa 2010 kwa nafasi ya ubunge ktk jimbo hilo na mwishoni hakufanikiwa kushinda.
Marehemu Jeremia sumari alikuwa mgonjwa kipindi chote cha kampeni na hakuhutubia mkutano hata mmoja bali wana-ccm wenzake ndio waliompigia kampeni na kuibuka mshindi.
Mimi binafsi nina mashaka na uwezo wa huyo kijana wetu juu ya kuweza kulichukua jimbo hili wakati wa uchaguzi mdogo, Km ktk kipindi cha kampeni alikuwa peke yake ila ameshndwa, je atawezaje kushinda ktk kipindi ambacho ccm nao watakuwa na mgombea ambae atajipigia kampeni?
Chadema km chama kinatakiwa kusimamisha mgombea ambae tuna asilimia nyingi za kushinda na sio kuridhishana eti kwa kuwa yy aligombea 2010 basi na sasa awe huyo huyo.
Political behaviour kwa wale wana sayansi ya siasa wanajua. Bado hakuna jibu sahihi kuwa akienda this time atashinda ama la. BAVICHA waende kufanya utafiti na uhamasishaji kama walivyo wa pre empty Igunga na matokeo kuwa vile. Apewe nafasi bado kijana na anaweza kuwa amachange zaidi. Ni nafasi ya kuwawezesha vijana sasa. Vijana ni taifa la leo na kesho
Tofauti ya kura ni 15, 438. Mimi nakubali kuwa ccm watakuwa walichakachua lkn hyo haitoshi coz hawajachakachua jimboni kwake tu, tazama watu km wenje, kiwia, nyerere, mnyika,mdee pamoja na hila za ccm ila walishinda. pia hata ukitizama watu ambao hawakushinda ktk majimbo yao na wagombea wa ccm walikuwepo ila walitoa ushindani mkubwa na walizidiwa kidogo mfano mchange wa kibaha, marehemu regia, shelembi wa shy, khalfan wa kigoma, mpendazoe na wengine wengi tu.
Tatizo langu kwa kijana wetu huyu ni kwamba kwanza hakuwa na mpinzani ila akapata kura chache sana je km angekuwa na mpinzani ungetegemea apate ngapi? hapa wanachadema tunatakiwa kufanya analysis vzr kwa manufaa ya chama na sio kufurahishina binafsi
Nadhani huyu kijana alifanya kazi kubwa kwanza kumbuka chadema haikujulikana kabisa lakini amekitambulisha,nadhani anao mtaji mzuri na ameshajijenga vywakutosha.
unataka wewe uteuliwe so unakuja hapa kijanja
acha porojo zako wewe.Tulikuwa tunajadili hiki kitu hapa jana.Watu wa Arumeru wanamtambua huyu kijana kama mbunge wao.Kulikuwa na wizi mkubwa kwenye kura.Vituo vingi chadema haikuwa na mawakala.Jana kuna hoja ililetwa hapa mafisadi wa ccm wanaanza kula njama huyu kijana asigombee.Kuna hata thread moja niliona Edwin Mtei akikiri ushujaa wa huyu kijana.