Ubora wa tv za Star-X

Mimi Nina Star X inchi 43 naweza kupata kifaa cha kuifanya kuwa na Android...hapa bongo na kiko bei gani.
inategemea na hio tv mkuu. hizo hizo za inch 32 zipo za 720p na za 1080p, zipo ambazo ni smart na zisizo smart, zinatofautiana ports na vyenginevyo.

roku ndio os sio android. imetengenezwa maalum kwa kwa ajili ya tv, haina apps kama android ila vitu basic vya tv inafanya.

kwa mazingira ya ki Africa Android ni nzuri kuliko Roku sababu sisi tunataka bure hatulipii kustream.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kutumia kwenye star x inch 43 yenye HDMI..au kutatakiwa kuongeza mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifaa hicho kinaitwa TV Box, vipo vya aina nyingi ila common ni mXQ Pro Tv box. Kinauzwa kati ya 80,000 mpaka laki 1.

Ndio utaweza kukitumia kwa kuchomeka waya kwenye hdmi ports za TV yako. Hakuna la nyongeza maana kinakuja na nyaya zake, remote na mazaga mengine!
 
Wadau habari jamani, naomba kujua ubora wa hizi luninga za kampuni ya Star X, je zinafaa kwa matumizi ya mazingira ya kitanzania.

Wajuzi jamani naomba mnijuze katika hili.
Ziko poa kaka nipo kariakor njo nikuuzie
IMG_20181226_165656_2CS.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom