Ubora wa matangazo ya Wasafi Festival live upo chini sana

Wakuu kwema?

Nipo nafatilia hili tamasha la wasafi festival live hii show ya Songea. Jamaa wamejitahidi sana kwenye promotion lakini ukija kwenye ubora wa matangazo ya live ni very poor.

Hii inawapunguzia sana credit
Fafanua au acha wivu, live weakness Iko kwenye kipengele kipi
 
Hapa namwambia mdogo wangu incase wakija tulipo ataenda? Amejibu hata ikiwa free haendi 🤣

Matangazo yako kama yamerushwa na Itel…
Kule kwenu new york Huwa wasanii wanafanyaje?tutoe ushamba mwamba👏
 
Wakuu kwema?

Nipo nafatilia hili tamasha la wasafi festival live hii show ya Songea. Jamaa wamejitahidi sana kwenye promotion lakini ukija kwenye ubora wa matangazo ya live ni very poor.

Hii inawapunguzia sana credit
Kwa taarifa yako ndio festival kubwa afrika mashariki wamefanikiwa kuipoteza fiesta na hao wanaoperform ndio a list sasa wewe katafute hiyo performance yako unayodhani itakuwa great
 
Hata sikuenda pale uwanjani, ticket ilikuwepo, mie ni hater wa WCB,

Walipuyanga balaa, Dogo analalama kapoteza muda bora angebaki home alale.
 
Show ya Wasafi Festival mjini Songea imefana sana. Ni moja ya show bora kwenye history ya bongofleva.

Kama hutaki show za mikono juu nenda sikinde kinakuwasha nini kila siku kuzifatilia unafatiliaje kitu kisicho na maana.
 
We kweli choko, me nazungumzia ubora wa matangazo ya moja kwa moja & sauti bado hawana ubora .....acha ushabiki fala ww
 
Back
Top Bottom