Ubora wa ligi: Ni La Liga tu ambao hawajampata bingwa wakisubiri mechi ya mwisho

kwa hyo mara ya mwisho Barcelona kufungwa na timu ndogo ni mwaka jana ila Man u kufungwa na timu ndogo ni usiku wa kuamkia leo hv bado hauoni utofauti
Kwani mwaka huu hamjafungwa na timu ndogo au ndo kijitetea hapa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sikumbuki ila zile mechi mlizofungwa mwaka huu
yani uikumbuke Celta Vigo ya mwaka jana ushindwe kukumbuka za majuzi
UKIONA HIVYO HAKUNA TIMU NDOGO ILIYOIFUNGA FC BARCELONA MIAMBA YA DUNIA
 
Mi sielewi siku hizi kuna mawakala wa La Liga au,La liga ina vilabu vikubwa lakini EPL ndiyo ligi inayolipa zaidi,inayopromotiwa Zaidi na yenye competition zaidi
Sasa tusifanye umaarufu wa ligi kua ni kosa kwani ni mbinu mojawapo ya kuifanya ligi ipendwe zaidi na watu wengi
Exposure anayoipata mchezaji akienda ligi ya uingereza ni tofauti kabisa na anapokua La Liga
 
Ligi ya Bongo ni kama ligi ya England tu,team kubwa tajiri inafungwa na kitimu kudogo masikini!! Nasikia Simba kafungwa na Kitimu kidogo tu cha Shinyanga! 1-0

kwa mujibu wa mashabiki wa EPL team kubwa kufungwa na team ndogo ndio ubora wa ligi..!!
 
Ubora wa ligi ni pamoja na kuzalisha timu ambazo zinaweza kufanya vizuri Zaidi kwenye mashindano yaliyo juu Zaidi kuliko ligi husika. Kwa upande wa bara la ulaya mashindano yaliyo makubwa Zaidi kwa ngazi ya club ni EUFA Champions League.
Kama tunakubaliana hivyo , ina onyesha wazi La liga inafanya vizuri Zaidi. Mwaka 2014 fainali ya klabu bingwa UEFA ilihusisha Real Madrid na Atletico Madrid zote toka Laliga, Mwaka 2015 ilikuwa Barcelona vs Juve na bingwa akawa Barca toka La liga, mwaka 2016 kwa mara nyingine tena ni Real Madrid vs Atletico Madrid na hata kwenye Uefa ndogo Laliga imeingiza timu ya Sevilla . Hivyo kuna uwezekano kuwa ukawa unashabikia EPL lakini takwimu zinadhihirisha vinginevyo.
 
Hizo ndio ligi za ukweli sio hapa kwetu bingwa anapatikana kwa kununua mechi na kubebwa na chama cha soka......
la liga refa alikataa kuchezesha 'el clasico' kisa kuna timu,inasemekana real,walitaka wamuhonge awapendelee,pia kuna mchezaj alikua na kesi ya kupanga matokeo,kama haitosh kuna wachezaj wa timu kubwa walichukuliwa damu wapimwe kama hawatumii dawa za kuongeza ufanisi,damu ikakwapuliwa maabara
 
Huwezi kupima ubora wa league kwa kutumia criteria moja tu.Hata shuleni hatuendi hivyo.Yani ukiwa na "A" ya somo tu basi wewe ndo kinara.Hapana,tutende haki.Vigezo muhimu hasa vinavyotumiwa kupima ubora wa ligi ni hivi hapa:
1.Wastani wa idadi ya magoli kwa kila mechi(goals per game).Siku zote magoli ndo yanayotoa ladha ya mechi.Refer fainali ya Uefa 2005 Liverpool Vs Ac Milan,,,Mechi ya juzi tu robo fainali ya europa league Liverpool Vs Dortmund n.k Kwa hiyo siku zote ligi yenye WASTANI mkubwa wa magoli kwa kila mechi tunaichukulia kama bora
2.Ushindani katika ligi kubwa za nje yaani continental victories.Inatusaidia kupima ubora wa klabu (sio ligi) za ligi flani dhidi ya klabu za ligi nyingine
3.Wastani wa kadi(yellow and red cards)wa kila mchezo.Ni dhahiri kwamba siku zote nidhamu ni kigezo cha ubora kwa hiyo ligi yenye wastan mdogo wa kadi kwa kila gemu tunaichukulia kama ligi bora
4.Tofauti ya pointi kati ya aliye kileleni na aliye mkiani(Point Differential).Tofauti kama ni ndogo basi hiyo ligi ni bora na kinyume chake ni kweli
5.Mahudhurio ya mashabiki uwanjani (Attendance).Kama yapo juu ni kigezo cha ubora kinyume chake ni kweli pia.
Sasa kwa kuwa ubishi umejikita kati ya English Premier League(EPL) dhidi ya Spain Primera Division(La liga) tujaribu kulinganisha takwimu za ligi hizi mbili(Takwimu ni za msimu wa 204/2015)
ENGLISH PREMIER LEAGUE
Goals per game----- 1.33
Continental victories-26
Red card per game--0.06
Point Differential---31
Attendance--------35931
LA LIGA
Goals per game-------1.45
Continental victories--23
Red card per game----0.12
Point Differential------39
Attendance...................25434
ENGLISH PREMIER LEAGUE bado ni ligi bora zaidi duniani kwa sasa.Ukubwa na uwezo wa klabu mbili za Barcelona na Real Madrid usitufanye tuione La liga ndo kila kitu.Kwa mimi...EPL namba 1,,Bundesliga namba 2,,,La Liga namba 3.
 
Mkuu naona unapingana na vipimo vinavyotambulika na kutumiwa na uefa kuamua ligi bora. List ya hivi karibuni inaonesha la liga ndo ligi bora, ya pili ni bundesliga na ya tatu ni epl, na huo ndo ukweli. Sio kitu cha ajabu kitu kikawa maarufu ila si bora kuliko vingine vyote. Epl ni ligi maarufu kuliko zote,na hilo liko wazi. Kipimo pekee kinachotumiwa na uefa kuamua ligi bora ni COEFFICIENTS za timu za ligi husika katika mashindano yanayoandaliwa na uefa, nayo si mengine bali ni uefa champions league na europa league. Hivyo kadri timu za ligi husika zinavyosonga mbele katika michuano hiyo zinaongeza coefficients za ligi husika, na ndo kipimo cha ubora wa ligi. Hizi uefa coefficients sio tu zinaamua ligi bora, bali zinaamua pia idadi ya timu toka katika katika ligi husika kushiriki mashindano ya uefa, yani champions league na europa league
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ubora wa ligi ni pamoja na kuzalisha timu ambazo zinaweza kufanya vizuri Zaidi kwenye mashindano yaliyo juu Zaidi kuliko ligi husika. Kwa upande wa bara la ulaya mashindano yaliyo makubwa Zaidi kwa ngazi ya club ni EUFA Champions League.
Kama tunakubaliana hivyo , ina onyesha wazi La liga inafanya vizuri Zaidi. Mwaka 2014 fainali ya klabu bingwa UEFA ilihusisha Real Madrid na Atletico Madrid zote toka Laliga, Mwaka 2015 ilikuwa Barcelona vs Juve na bingwa akawa Barca toka La liga, mwaka 2016 kwa mara nyingine tena ni Real Madrid vs Atletico Madrid na hata kwenye Uefa ndogo Laliga imeingiza timu ya Sevilla . Hivyo kuna uwezekano kuwa ukawa unashabikia EPL lakini takwimu zinadhihirisha vinginevyo.
Ndo maana tunasema spain ligi.mbovu
Uta itetea wee utaishia kwa Barcelona , madrid na Atletico

Huyo Sevilla alikuwa kundi moja na man city kwenye UEFA lajin alitolewa mapeema karud kwenye Europa yake

Kwa nini Sevilla hufanya vizur Europa, ni kwasbab hai concetrate na ligi yao ya ndani ambayo nafas 3 za juu zina timu kila msimu, angalia hata liva now ako fainal ya Europa kamchek kwenye msimamo wa england , haez fika hata top four
 
Mkuu naona unapingana na vipimo vinavyotambulika na kutumiwa na uefa kuamua ligi bora. List ya hivi karibuni inaonesha la liga ndo ligi bora, ya pili ni bundesliga na ya tatu ni epl, na huo ndo ukweli. Sio kitu cha ajabu kitu kikawa maarufu ila si bora kuliko vingine vyote. Epl ni ligi maarufu kuliko zote,na hilo liko wazi. Kipimo pekee kinachotumiwa na uefa kuamua ligi bora ni COEFFICIENTS za timu za ligi husika katika mashindano yanayoandaliwa na uefa, nayo si mengine bali ni uefa champions league na europa league. Hivyo kadri timu za ligi husika zinavyosonga mbele katika michuano hiyo zinaongeza coefficients za ligi husika, na ndo kipimo cha ubora wa ligi. Hizi uefa coefficients sio tu zinaamua ligi bora, bali zinaamua pia idadi ya timu toka katika katika ligi husika kushiriki mashindano ya uefa, yani champions league na europa league
Mkuu naona unapingana na vipimo vinavyotambulika na kutumiwa na uefa kuamua ligi bora. List ya hivi karibuni inaonesha la liga ndo ligi bora, ya pili ni bundesliga na ya tatu ni epl, na huo ndo ukweli. Sio kitu cha ajabu kitu kikawa maarufu ila si bora kuliko vingine vyote. Epl ni ligi maarufu kuliko zote,na hilo liko wazi. Kipimo pekee kinachotumiwa na uefa kuamua ligi bora ni COEFFICIENTS za timu za ligi husika katika mashindano yanayoandaliwa na uefa, nayo si mengine bali ni uefa champions league na europa league. Hivyo kadri timu za ligi husika zinavyosonga mbele katika michuano hiyo zinaongeza coefficients za ligi husika, na ndo kipimo cha ubora wa ligi. Hizi uefa coefficients sio tu zinaamua ligi bora, bali zinaamua pia idadi ya timu toka katika katika ligi husika kushiriki mashindano ya uefa, yani champions league na europa league
Mkuu naona unapingana na vipimo vinavyotambulika na kutumiwa na uefa kuamua ligi bora. List ya hivi karibuni inaonesha la liga ndo ligi bora, ya pili ni bundesliga na ya tatu ni epl, na huo ndo ukweli. Sio kitu cha ajabu kitu kikawa maarufu ila si bora kuliko vingine vyote. Epl ni ligi maarufu kuliko zote,na hilo liko wazi. Kipimo pekee kinachotumiwa na uefa kuamua ligi bora ni COEFFICIENTS za timu za ligi husika katika mashindano yanayoandaliwa na uefa, nayo si mengine bali ni uefa champions league na europa league. Hivyo kadri timu za ligi husika zinavyosonga mbele katika michuano hiyo zinaongeza coefficients za ligi husika, na ndo kipimo cha ubora wa ligi. Hizi uefa coefficients sio tu zinaamua ligi bora, bali zinaamua pia idadi ya timu toka katika katika ligi husika kushiriki mashindano ya uefa, yani champions league na europa league
Mkuu naona unapingana na vipimo vinavyotambulika na kutumiwa na uefa kuamua ligi bora. List ya hivi karibuni inaonesha la liga ndo ligi bora, ya pili ni bundesliga na ya tatu ni epl, na huo ndo ukweli. Sio kitu cha ajabu kitu kikawa maarufu ila si bora kuliko vingine vyote. Epl ni ligi maarufu kuliko zote,na hilo liko wazi. Kipimo pekee kinachotumiwa na uefa kuamua ligi bora ni COEFFICIENTS za timu za ligi husika katika mashindano yanayoandaliwa na uefa, nayo si mengine bali ni uefa champions league na europa league. Hivyo kadri timu za ligi husika zinavyosonga mbele katika michuano hiyo zinaongeza coefficients za ligi husika, na ndo kipimo cha ubora wa ligi. Hizi uefa coefficients sio tu zinaamua ligi bora, bali zinaamua pia idadi ya timu toka katika katika ligi husika kushiriki mashindano ya uefa, yani champions league na europa league
Upo right kabisa mkuu tatizo ni kwamba bado unatumia criteria moja tu ya continental victories kuamua ligi ipi ni bora.Unasemaje kuhusu hivyo vigezo vingine.UEFA hawakuwahi kutoa ranking ya ligi bora bali hutoa ranking ya klabu zote za soccer zilizo chini kwa kutumia coefficients zao.Nadhani tunachanganya vitu viwili hapa...ubora wa team na ubora wa ligi.Wote mnaweza kuwa vilaza ila mkikutana nyinyi kwa nyingi ikawa mshikemshike.Kadri mechi za ligi zinavyozidi kuwa unpredictable ndo huongeza zaidi ubora wa ligi.Twende hata kwenye soko la
betting...hivi kati ya EPL na LA LIGA ligi ipi hasa ambayo ni rahisi kubet final score,,bila shaka utakubaliana nami kuwa ni la liga.Na kama unakubaliana nami katika hilo basi kubali EPL ni competitive zaidi ya La liga.Na kama hautokubaliana nami nipredict final score ya game 6 za la liga za weekend ijayo na uone kama sitapatia zote,,na wewe fanya hivyohivyo kwa game 6 za EPL
 
Washabiki wa EPL ni wabishi sana hata kama takwimu zinaonyesha dhahiri kabisa kuwa la liga ni bora. Uefa wanatawala Spain na Europa nayo Spain ndo yatawala sasa sijui ubora wa EPL uko wapi. Leicester kachukua ubingwa kwa sababu yupo na timu dhaifu wenzie.
 
Yaan wewe jibu lako hilo
Upo right kabisa mkuu tatizo ni kwamba bado unatumia criteria moja tu ya continental victories kuamua ligi ipi ni bora.Unasemaje kuhusu hivyo vigezo vingine.UEFA hawakuwahi kutoa ranking ya ligi bora bali hutoa ranking ya klabu zote za soccer zilizo chini kwa kutumia coefficients zao.Nadhani tunachanganya vitu viwili hapa...ubora wa team na ubora wa ligi.Wote mnaweza kuwa vilaza ila mkikutana nyinyi kwa nyingi ikawa mshikemshike.Kadri mechi za ligi zinavyozidi kuwa unpredictable ndo huongeza zaidi ubora wa ligi.Twende hata kwenye soko la
betting...hivi kati ya EPL na LA LIGA ligi ipi hasa ambayo ni rahisi kubet final score,,bila shaka utakubaliana nami kuwa ni la liga.Na kama unakubaliana nami katika hilo basi kubali EPL ni competitive zaidi ya La liga.Na kama hautokubaliana nami nipredict final score ya game 6 za la liga za weekend ijayo na uone kama sitapatia zote,,na wewe fanya hivyohivyo kwa game 6 za EPL
 
Useless, Sevilla anawatungua daily na kubeba Uropa bado mnang'ang'ana na EPL bora. Predictions za match huwezi kuwa actual hata 40%.
Uwa ana mtungua nan!!?

Maana juz tuu alipgwa kwao na man city 3-1 kwenye UEFA

Sevilla hushinda Europa kwa sabab, hawa shindani sana kwenye lig yao ya ndani, nafas 3 za juu huwa zimejaa, kwao Eropa ni easy option

Mme baki kusema tim zenu hzo nne tuu eti ndo ligi bora ebo!!!
 
Ligi Kuu ya Hispania,maarufu kama La Liga imeendelea kuwadhihirishia wanazi wa soka la EPL na kwingineko kuwa ni ligi bora na yenye ushindani hadi mechi ya mwisho. Ligi zote kubwa Ulaya zimeshapata mabingwa wake hata kabla ya kuisha mechi zao isipokuwa La Liga.

Ujerumani,bingwa ni Bayern Munich. Uingereza,bingwa ni Leicester City. Ufaransa,bingwa ni PSG. Italia,Juventus ametwaa ndoo muda mrefu tu. Uholanzi,PSV Eindhoven wameshakuwa mabingwa. Tanzania,Yanga wamekuwa mabingwa na kadhalika.

La Liga bado hakuna bingwa. Kabla ya mechi za jana,Barcelona na Atletico Madrid walikuwa wakiongoza kwa alama 85 kila mmoja wakifuatiwa na Real Madrid aliyekuwa na alama 84,alama moja nyuma yao. Baada ya Barcelona kuisambaratisha Espanyol kwa 5-0, Madrid kuizima Valencia 3-2 na Atletico Madrid kulazwa na Levante iliyo mkiani kwa 2-1,Barcelona inaizidi Madrid alama moja na A. Madrid alama tatu.

Zinasubiriwa mechi za mwisho. Bingwa hadi mechi za mwisho zichezwe. Anaweza kuwa Barcelona au Real Madrid. Hiyo ndiyo La Liga,rugby ya EPL tupa kule!
la liga n ligi ya timu 3 haina ubora wowote ndo maana unaweza ona mtu wa nafac ya tatu kamzidi mtu mwnye nafac ya nne point 21, kuna gap kubwa kati walionacho na ambao hawana
 
La Liga ukishatizama Barcelona na Real Madrid basi imekimbia mmoja wao acheze na Atletico Madrid, Villarewl na Valencia zikicheza hata Spain mashabiki wanaoyizama Ligi ya Spain Bongo hakai kutizama DK 90 ila Sunderland na Newcastle mtu anaweza kutizama game. Spain chama cha mpira pia kinatambua Real Madrid na Barca zikitokea kuanguka kiwango Ligi uchumi unakufa sio kama EPL Man U na LFC viwango chini ligi bado bora Semeni tu ukweli Timu Real Madrid na Barca ndio kali za Dunia ila Sio Ligi.
 
Uwa ana mtungua nan!!?

Maana juz tuu alipgwa kwao na man city 3-1 kwenye UEFA

Sevilla hushinda Europa kwa sabab, hawa shindani sana kwenye lig yao ya ndani, nafas 3 za juu huwa zimejaa, kwao Eropa ni easy option

Mme baki kusema tim zenu hzo nne tuu eti ndo ligi bora ebo!!!
Kufungwa mara Moja au mbili haijustify kuwa timu haiko njema. Sasa mbona huko Uropa Sevilla ka-dominate na nyie mnamshindwa!? Tar 18 analibeba kombe lake kama kawaida kwa taarifa yako.
 
Back
Top Bottom