snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,216
- 1,657
https://www.google.com/url?q=http:/...0QFjAA&usg=AFQjCNFTwNk36Yx-1kr3bw3aCiVuKfl5Pg fata hii link au zipo nyingine za dizaini hiyo.
Unazungumzia sales za china !
Ni sawa na bongo TECNO anavyokimbiza kuliko samsung, lakini hatuwezi kusema Samsung sio bora.
Xiaomi anakimbiza china kwasabu anatengeneza baadhi ya simu kwa MediaTek nakuziuza bei rahisi, ndomana anakimbiza sana kuliko samsung.
Lakini angalia world wide sales kama Xiaomi atakaa ata kwenye top 5.
Baadhi ya simu za Xiaomi zimekua targeted kwa watu masikini, kama wanavyofanya Tecno Africa.