Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Unazungumzia sales za china !
Ni sawa na bongo TECNO anavyokimbiza kuliko samsung, lakini hatuwezi kusema Samsung sio bora.

Xiaomi anakimbiza china kwasabu anatengeneza baadhi ya simu kwa MediaTek nakuziuza bei rahisi, ndomana anakimbiza sana kuliko samsung.

Lakini angalia world wide sales kama Xiaomi atakaa ata kwenye top 5.
Baadhi ya simu za Xiaomi zimekua targeted kwa watu masikini, kama wanavyofanya Tecno Africa.
 
Watu hushindwa kutofautisha kati ya HIGH END PHONES NA LOW END PHONES. Tecno sio 'fake' kama wengi wasemavyo, ni Medium & Low end, hawana High end phone.
Nini kimafanya simu iitwe medium au low end? Sio software inayofanya sim iitwe medium au low end, ni hardware ndio sababu kubwa hasa.
Mfano, simu zote zinazotumia "windows phone software" practically zinaonekana sawa katika software, lakini ubora wa hardware ndio hutofautiana, hivyo kuifanya iitwe either low end au high end...but not fake. Hence, tecno with android software sio fake, bali low end na medium end phones kwa ajili ya watu wenye vipato vya kawaida na vidogo...
 
mkuu ukiwa huna android ya yenye ram 1gb na dual core processor unapata ---- application tu, hutacheza hd game hata moja kwa raha. nyengine hata store huzioni, labda uwe sio fans wa magame

hivi Duo core processor ni nini na inatofautianaje na processor nyingine?
 
Techno ni simu nzuri zina uwezo mkubwa kuliko Hata simu nyingine ninazo zifahamu. Shida ya sisi watanzania ni malimbukeni tunapenda sana product yenye advertise nyingi kwenye media. Tunakaa kama wazee wazamani

Kwa nini kuwaita watu malimbukeni? Wewe unayetumia tecno bila shaka ni limbukeni no 1 kabla yetu sisi
 
Wewe unashindwa kutofautisha kati ya Clone na Fake.
TECNO wakitengeneza Simu inayofanana na samsung S5 tutaita clone ya S5 kutoka samsung.
Na TECNO wanapotengeneza simu zao nakudai zina specifications kubwa kuliko uwezo halisia tunaita ni fake.

Mfano tukianzia na P3 yenye camera 3MP, inapiga picha quality ya 1MP/0.5MP hapo inamaana TECNO wamedanganya, kwahiyo Tecno P3 ni fake, jaribu ata kuangalia picha iliyopigwa na Asha 200/201 yenye camera 2MP kama itafanana na P3 yenye camera 3MP.

Hii nlotoa ndo principle inayotumiwa na mahqkama kutoa haki kwa yule anae onewa swala la Quality anaachiwa mnunuaji sababu atakua amependa yeye ila ikitoa Quality Kama original hilo ni tatizo na wenye compuni wanaotoa original watacomplain tu maana wanaariwa biashra
 
Camera
Processor
Ram
Design

Maaana Tecno Wanakuwekea Camera ya 13MP ila. Inapiga picha za 5MP. Upo

Jamii forum idumu milele na wewe jamaa hudumu kadili ya mapenzi ya Mungu.
mimi sio mtaalamu wa simu ata kidogo na natumia nokia-m-horze mchina mtupu ila ninampango wa kuingia kwenye huo mkumbo wa android na smart4n.
Tatizo la wachangiaji wengi wana copy spec.za cm kutoka kwenye Net,gaidbook ama mabox ya simu wakati hata kuzitumia hawajawai au pengine wametumia ila sio wachunguzi rejea mfano wako
:Maaana Tecno Wanakuwekea Camera ya 13MP ila. Inapiga picha za 5MP. watu wanaleta story with no evidence.
 
King wa kamera na hd games ni xperia bhana! Yaan natumia simu yangu kama pad za kuchezea game kwnye tv yangu.
 
I hate people wanaocompare mambo kisa inferiority zao... Huwezi kucompare Samsung na Tecno Eti kisa Zinaweka App Zinazofanana

Mtaalamu hawezi akafanya Jambo hilo.. maana Simu zote zinafeature nyingi zinazofanana. Ukiweka Eti zina App zote unaonekana wa Ajabu kama Simu zote zinapiga Simu. Kama Kutuma message zote zinatuma. Ila Si kigezo cha Kusema Zinafanana.

WATU HAWAFANANISHI SIMU KWA SOFTWARE WANAFANANISHA KWA HARDWARE ZILIZOPACKIWA KWENYE SIMU NA TECHNOLOGY ILIYOTUMIKA.

TECNO INA CHEAP TECHNOLOGY NA INALAGGY ZA KUTOSHA.. Hebu jaribu kucheza Game kwenye S4 halafu liweke kwenye p3 yako uone tofauti..
Ahsante mkuu, usidhani nina inferiority katika hili. Hukufuatilia mtiririko awali unadhani watu wengi wananunua simu kwa ajili ya Games?
 
Umeliwa tecno haina hadhi hata ya kuuzwa laki 3
kejof2

Mkuu wangu Tuache Porojo lets go with evidence na tufanye mambo kisayansi.

Nina Miliki Z Min, Tafadhali kwa kutumia Antuntu Benchmark au yeyote ile naomba hiyo simu iliyobora zaidi ya hii kwa Evidence na sio Porojo kwa bei hiyo ya laki NNE.

Tafadhali tuweke Scientific evidence maana kiukweli mimi nilifanya reserch ya kutosha kabla sijanunua hii simu na kwa mujibu wa research nilio fanya hakuna simu ya laki nne kwa kipindi hiki( January 2015) yenye Ubora huu.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu, usidhani nina inferiority katika hili. Hukufuatilia mtiririko awali unadhani watu wengi wananunua simu kwa ajili ya Games?
RGforever

Hivi kweli kabisa umeamua kubishana na msuli unakutoka kufananisha "

Embu Tuanze na Bei yake alafu ndio tuje kwenye Ubora.

  • Hebu jaribu kucheza Game kwenye S4 halafu liweke kwenye p3 yako uone tofauti.."

Last edited by a moderator:
Jamii forum idumu milele na wewe jamaa hudumu kadili ya mapenzi ya Mungu.
mimi sio mtaalamu wa simu ata kidogo na natumia nokia-m-horze mchina mtupu ila ninampango wa kuingia kwenye huo mkumbo wa android na smart4n.
Tatizo la wachangiaji wengi wana copy spec.za cm kutoka kwenye Net,gaidbook ama mabox ya simu wakati hata kuzitumia hawajawai au pengine wametumia ila sio wachunguzi rejea mfano wako
:Maaana Tecno Wanakuwekea Camera ya 13MP ila. Inapiga picha za 5MP. watu wanaleta story with no evidence.

Mkuu Tuiache porojo huyu Mtaalamu wako alete evidence hapa scientifikali na kwa kutumia Benchmarks software, Mimi ya kwangu inauwezo huo na nina uwakika picha nazopata ni zza Ubora huo.
 
Unazungumzia sales za china !
Ni sawa na bongo TECNO anavyokimbiza kuliko samsung, lakini hatuwezi kusema Samsung sio bora.

Xiaomi anakimbiza china kwasabu anatengeneza baadhi ya simu kwa MediaTek nakuziuza bei rahisi, ndomana anakimbiza sana kuliko samsung.

Lakini angalia world wide sales kama Xiaomi atakaa ata kwenye top 5.
Baadhi ya simu za Xiaomi zimekua targeted kwa watu masikini, kama wanavyofanya Tecno Africa.

Watu wengine bwana, mimi nimesema tuache porojo tutoe vitu kwa ushahidi na sio kukisia na kusema tu.

mkuu snipa nakuheshimu sana, Lakini hawa jamaa Antutu nawaheshimu zaidi.

11156167_464298450385572_643514582142281099_n.png

10906507_419737884841629_8760920850337867831_n.jpg
 
Ni kichekesho kwa mwenye vits kujiringanisha na mwenye Range Rover kwa kisingizio kuwa inamfikisha anakokwenda, ina A.C, ina mziki, ina seat, inakula mafuta, ina matairi manne, ina engine na inaitwa gari.
Tecno ni smart phone kama ilivyo s4 lakini huwezi iringanisha na s4 japo zote zina run android, when it comes to technical and performance kwa wapenda kufanya real mult tasking and heavy task as well as durability utaona utofauti..
lakini kama mfuko wako mdogo go for tecno itakithi mahitaji.
 
Ata mimi nakuheshimu sana mkuu wangu.
Lakini ulichokifanya hapo nadhani haukielewi, wewe umelinganisha category ya simu, lakini sio kampuni husika kwa ujumla, sales za mwaka huu bado sijaziona ila angalia sales hizi world wide za 2014.

dw-d.png

dw-b.png

ukija kwenye Q4 high end sales ndipo utamwona Xiaomi kakaa nafasi ya 5.

Apple-tops-Samsung-for-Q4-smartphone-sales.jpg

Nazani umenielewa.
 
Kwanza tufahamu maana ya neno fake, na maana ya neno BELOW STANDARD, hapo ndio tutajua tunabishana kuhusu nini. Ukisema tecno Ni fake basi Kuna original iliyoigwa. Otherwise tuongelee STANDARD
 
Ni kichekesho kwa mwenye vits kujiringanisha na mwenye Range Rover kwa kisingizio kuwa inamfikisha anakokwenda, ina A.C, ina mziki, ina seat, inakula mafuta, ina matairi manne, ina engine na inaitwa gari.
Tecno ni smart phone kama ilivyo s4 lakini huwezi iringanisha na s4 japo zote zina run android, when it comes to technical and performance kwa wapenda kufanya real mult tasking and heavy task as well as durability utaona utofauti..
lakini kama mfuko wako mdogo go for tecno itakithi mahitaji.

Tatizo most of us conclude without evidence. Mi nafikiri it's wise kucompare simu zenye specs znazoendana kwa kutumia benchmarking software kama antutu.

To conclude without evidence it's a critical mistake
 
Kwa izo tecno nnazowaona nazo wanachuo ni za kishamba kwanza mpaka ufunikie turubai lake usipofunika hio display itakwaruka ndani ya miezi 6 utalazimika kubadili cm mifano halisi ipo na nshaona mshikaji alikaa na io tecno nin sijui inayouzwa laki 2 afta 6 months simu imechakaa hana ham nayo.
 
Back
Top Bottom