ni kwanini tecno hazipatikani katika database ya gsmarena..huwa nikisearch kila simu top search result huwa ni GSmarena. zote hadi huawei ila nashangaa why not tecno..kwamba hazijulikani kimataifaa?
Tecno hawatambuliki kimataifa ndo maaana bidhaa zao ni huku ktk dunia ya 3.
Tecno ni kama zile simu feki za Samsung Galaxy, ila tofauti ni jina tuu.