hamic mussa
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 227
- 19
''hata ukisema mimi ni malaya,sijiheshimu na nina tabia mbaya halafu wewe ni mchamungu,mstaarabu na una tabia nzuri lakini mi nakupenda na kumbuka cku zote UBAO MWEUSI HUANDIKWA KWA CHAKI NYEUPE"
Niliambiwa haya maneno na msichana flani ambaye alikuwa akinifukuzia kitambo hiko. Je jmn hiyo kauli hapo juu ina ukweli wowote kulingana na maelezo yake? Na ili mapenzi yaendane ni lazima watu wa tabia mbili tofauti wawe pamoja km vile ubao mweusi unavyoandikwa kwa chaki nyeupe?