Ubao mweusi huandikwa kwa chaki nyeupe!

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
''hata ukisema mimi ni malaya,sijiheshimu na nina tabia mbaya halafu wewe ni mchamungu,mstaarabu na una tabia nzuri lakini mi nakupenda na kumbuka cku zote UBAO MWEUSI HUANDIKWA KWA CHAKI NYEUPE"
Niliambiwa haya maneno na msichana flani ambaye alikuwa akinifukuzia kitambo hiko. Je jmn hiyo kauli hapo juu ina ukweli wowote kulingana na maelezo yake? Na ili mapenzi yaendane ni lazima watu wa tabia mbili tofauti wawe pamoja km vile ubao mweusi unavyoandikwa kwa chaki nyeupe?
 
Nasubiri majibu ya akina Preta, Kongosho, Bishanga, Asprin na kundi lake. Ni kweli ubao mweusi huandikwa na chaki nyeupe lakini kwa maana ya binti aitakayo unamuzi ni wako kama ni fisimaji au siyo tehe tehe tehe.

haya ngoja tuwasubiri hao watu waje watusaidie maana we umeshndwa. Teh teh teh. Binti nd'o alikuwa anataka twende kwa style ya ubao na chaki.
 
Nasubiri majibu ya akina Preta, Kongosho, Bishanga, Asprin na kundi lake. Ni kweli ubao mweusi huandikwa na chaki nyeupe lakini kwa maana ya binti aitakayo unamuzi ni wako kama ni fisimaji au siyo tehe tehe tehe.
Hahahaha.... mkuu hiyo kauli ni sawa na kuambiwa ng'ombe hapandi pikipiki

attachment.php


Au mbuzi hapandi baiskeli

attachment.php
 
Kweli ubao mweusi huandikwa kwa chaki nyeupe, na katika mahusiano ni everything is possible, jambazi aweza kuoa mlokole, mlokole kuoa kahaba n.k.
 
Ungemwambia wewe ni chalk ya pink, umesahau zipo chalk coloured pia?

Au na wewe alishakulegeza magoti?
 
Pole sana kwa kufukuziwa! Hivi alikupata? Kweli ubo mweusi uandikwa kwa chaki nyeupe.

Ila si sheria
 
Sasa mwenzetu ulivyo ambiwa hivyo ukajichokea nafsi yako au ulijiona rijali?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom