Ubalozi wa Ecuador wakatiwa mawasiliano ya Internet

Ubalozi wa Equador nchini Uingereza umekatiwa Mawasiliano ya Internet, kwa sababu Assange alianza kutoa email za mgombea urais wa Marekani Hilary Clinton, hizo emails zingemvurugia huyu mama nafasi ya kuwa Rais wa Marekani. Lakini naona hizo emails zitatoka tu kwani Snowden yupo Russia na yeye ndio alitoa siri nyingi kwa hawa jamaa wa Wikileaks.


=========
Huyu Assange anapata faida gani kwa udukuzi huo au sifa tuu.
 
Back
Top Bottom