Ubalozi wa Ecuador wakatiwa mawasiliano ya Internet

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Ubalozi wa Equador nchini Uingereza umekatiwa Mawasiliano ya Internet, kwa sababu Assange alianza kutoa email za mgombea urais wa Marekani Hilary Clinton, hizo emails zingemvurugia huyu mama nafasi ya kuwa Rais wa Marekani. Lakini naona hizo emails zitatoka tu kwani Snowden yupo Russia na yeye ndio alitoa siri nyingi kwa hawa jamaa wa Wikileaks.

=========
Ecuador cuts internet for WikiLeaks founder over 'impacting US election'

Officials released a statement confirming that the government cut off internet access for Julian Assange following a raft of leaked emails targeting Democrats

3500.jpg

Julian Assange’s internet access was cut off on Monday following a raft of leaked emails published by WikiLeaks. Photograph: Dominic Lipinski/PA
Nicky Woolf in San Francisco

@nickywoolf

Wednesday 19 October 2016 00.40 BST Last modified on Wednesday 19 October 2016 01.20 BST

Ecuador has confirmed that it cut off internet access to Julian Assange, the founder of the whistleblowing site WikiLeaks, stating it believed he was using it to interfere in the US presidential election.

The move followed a raft of leaked emails published by WikiLeaks, including some from the Democratic National Committee (DNC) released just before the party’s convention in July, and more recently a cache of emails from the account of Hillary Clinton campaign adviser John Podesta.

On Tuesday, officials released a statement saying that the government of Ecuador “respects the principle of non-intervention in the internal affairs of other states” and had cut off the internet access available to Assange because “in recent weeks, WikiLeaks has published a wealth of documents, impacting on the US election campaign”.

The statement also reaffirmed the asylum granted to Assange and reiterated its intention “to safeguard his life and physical integrity until he reaches a safe place”.

Assange’s internet access was cut off on Monday morning. It was not immediately clear who was responsible, though a tweet from the site’s official account claimed it had been “intentionally severed” by a “state party”.

It is not known who perpetrated the hacks that brought the emails to WikiLeaks. Assange’s organization styles itself a whistleblowing outfit and claims not to do or encourage any hacking itself.

Yet cybersecurity experts have linked the hack of the DNC emails to hackers tied to the Russian government, leading many – including Clinton’s campaign manager Robby Mook – to allege that Russia is using both hackers and Assange as tools to help rig the presidential election in favor of Donald Trump.

WikiLeaks was responsible for the release, in collaboration with several news organizations including the Guardian, of an explosive set of documents leaked by US army private Chelsea Manning, including a video titled Collateral Murder that showed a US air crew killing Iraqi civilians.

Assange is wanted for questioning in Sweden for two alleged sexual assaults in 2010 and is under investigation in the US under the Espionage Act. Manning, who leaked the information, is currently in military prison.

Assange has been encamped in the Ecuadorian embassy in London since being granted asylum in 2012.
 
WikiLeaksVerified account ‏@wikileaks

Julian Assange's internet link has been intentionally severed by a state party. We have activated the appropriate contingency plans.

Hivi kumbe huyu Asange bado anaishi Ubalozi wa Ecuador uliopo Uingereza? Ni muda mrefu sana it like prison.
 
Ubalozi wa Equador nchini Uingereza umekatiwa Mawasiliano ya Internet, kwa sababu Assange alianza kutoa email za mgombea urais wa Marekani Hilary Clinton, hizo emails zingemvurugia huyu mama nafasi ya kuwa Rais wa Marekani. Lakini naona hizo emails zitatoka tu kwani Snowden yupo Russia na yeye ndio alitoa siri nyingi kwa hawa jamaa wa Wikileaks.
Hapa sijaelewa,ni Ecuador imemkatia Assange huduma ya Internet au Ecuador imekatiwa huduma ya Internet katika ubalozi wao uliopo London.Ipi ni sahihi maana English yangu ina-expire siku baada ya siku so labda sijaelewa.
 
Ubalozi wa Ecuador haujakatiwa huduma ya mtandao (Internet) isipokuwa kumetokea hili:

Wakubwa wa dunia (Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k.) katika umoja wao wameisakama Ecuador kuwa ubalozi wake unamuwezesha Assange kusambaza taarifa za Wikileaks (zinazoathiri kampeni za mama Clinton) kwa kutumia huduma za mtandao wa ubalozi wake uliopo London. Ili waondoe noma ubalozi wa Ecuador uliopo London ukaamua (kirafiki na Assange) kuwa Assange asitumie mtandao wao kwa kazi zake za Wikileaks. Zuio hili ni kwa ajili ya mawasiliano ya Wikileaks tu. Mambo mengine yanayohitaji matumizi ya internet bado anaruhusiwa kufanya.

Wikileaks ina wadau wengi. Inaendelea kutoa mikupuo mingine ya hizi barua-pepe za kambi ya mama Clinton hata baada ya Assange kupigiwa stop pale ubalozini.

The saga continues.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri tofauti na mada inavyosema maana nilisoma ile ya iliyoandikwa kwa kingereza iliyopo humu ambayo ukilinganisha na hii huwezi pata jibu nani amemkatia mwenzake huduma ya Internet.But maelezo yako yatakuwa very clear.
 
Huyu Mama akishinda sijui dunia itakuwaje maana atataka asikike
Huyu mama kwa kila hila na njia atashinda Triumph anataka dunia iwe salama bila vita lakini Huyu mama lam sure akishinda urais ataleta maafa makubwa duniani, kwani anatumika na watu wasiotaki dunia iwe salama, Hilary Clinton anahusika moja kwa moja na uvamizi wa Libya na maauaji ya Ghaddafy na pia amehusika na kutayarisha na kuvamia Syria. Marekani ni nchi ya ajabu sana huko Afghastani wanapigana Na Alqaeda na Talaban at the same time huko Syria kuna kikundi cha kigaidi kinaitwa Alnusara wanapigana nao begabega, kwasasa wameanza mapigano ya kuwafukuza kikundi cha kigaidi cha Islamic State kutoka mji wa Mosul Iraq ili wahamie Syria ili malengo yao ya Regime change kwa Rais Assad wa Syria yafanikiwe.
 
Uchaguzi wa Marekani mwaka huu ni wa kipuuzi kweli,wanapambana na Trump kama chaguzi za Afrika,ama kweli huyu mama akishinda nahisi kutakuwa na vita vya tatu vya dunia maana wakubwa wengi wanamkingia kifua hatujui wana maslahi gani
 
Huyu mama kwa kila hila na njia atashinda Triumph anataka dunia iwe salama bila vita lakini Huyu mama lam sure akishinda urais ataleta maafa makubwa duniani, kwani anatumika na watu wasiotaki dunia iwe salama, Hilary Clinton anahusika moja kwa moja na uvamizi wa Libya na maauaji ya Ghaddafy na pia amehusika na kutayarisha na kuvamia Syria. Marekani ni nchi ya ajabu sana huko Afghastani wanapigana Na Alqaeda na Talaban at the same time huko Syria kuna kikundi cha kigaidi kinaitwa Alnusara wanapigana nao begabega, kwasasa wameanza mapigano ya kuwafukuza kikundi cha kigaidi cha Islamic State kutoka mji wa Mosul Iraq ili wahamie Syria ili malengo yao ya Regime change kwa Rais Assad wa Syria yafanikiwe.
Huko Syria kwa sasa yupo mzee Putin,
 
I suspect that more damaging emails are in the pipeline and are targeted for last stretch!!
 
Back
Top Bottom