Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mimi nina kaushauri kadogo sana....huko ulipoenda kuna maufisadi ya kufa mtu na wao kwao wanarukana na kukanyagana.....ibuo yoyote utoke nayo, kuna Kagoda, EPA, meremeta, RICHMOND n.k. Hebu onyesha upambanaji wako kwa kuanza na hayo.
 
EPA,Richmond/Dowans/Symbion, TRL, UDA, ATCL, kiwira na Migodi yote, ARVs fake na vifaa vya kupimia HIV fake, Elimu duni, Deni la Taifa, uchochezi wa kidini na kikabila, V/G X V8 kibao, Miundo mbinu isiona viwango, maposho yasio na hesabu na mengine kibaaao hili zigo lote la CCM nawe bado umeenda huko alafu bado unataka tukusikilize eti kwa maslahi ya taifa???shukuru matusi humu huatract ban lakini kiukweli leo nimetukana.
 
Isihe ikawa ni moja ya vitu walivyokubaliana kwny Chama kuwa akikosa urais apeww misaada huo si mkopo slaa ana kipato gani cha kurejesha mkopo wa 4m?ni msaada kapewa
 
Nafahamu kuwa kutofautiana ni demokrasia, nakushauri kaka angu, siasa zinahitaji busara kubwa za maamuzi, na nahisi maamuzi yako utayajutia milele, dhambi hii itakutafuna milele, haufai kuitwa kiongozi kwa sababu ulikuwa wapi kuyasema haya pindi yanafanyika?, unayasema haya baada ya kukutwa na hatia. ni kweli umeenda ccm, utakula pesa za mafisadi wa ccm,lakini sis kwa sasa tunahitaji mabadiliko, kiongozi mwenye busara na dhamira ya dhati juu ya taifa hili. your lost.brozer...tulionamapenzi mema na taifa tuendelee mapambano kwa mabadiliko, walio nunuliwa tuwatose baharini..........................................................................
kawahadisie hadisi hizi watoto wa chekechea, wanaweza kukuelewa..
 
hivi mkuu kuna ile ya jina la Peter Slaa lilijibiwa? nadhani hii ndo kbisaaa. :A S 39::A S 39::A S 39::A S 39: ushanifahamu uzur
 
mwampamba mbona unafuka? CONDOM YA CCM we mgeni na hicho chama ? Utatumika we kisha utatemwa! Pole sana?ya CDM tuachie wenyew! We endelea we si LISALIA 2! na utasalia hadi ndan ya chama chako cha kijani! Hivi mbona huongei ufisadi wako wa kuuza jimbo katika uchaguzi uliopita? Vp gari ulilopewa na chama ulilitunzaje na mwisho wake nn? Kama umeshindwa kutunza heshima ya wanambozi je nan atakuamin,,.you're rubbish
"mwampamba mbona unafuka?. . . ." nimeipenda hii, japo wanasema eti ni haki ya mjumbe kufuka.
 
Hizi janja nyani tulisha ziona na ndio maana hawa jamaa kila siku kazi yao kumuona zzk ni msaliti,na maovu haya ndio yanapelekea watu makini kama chacha kupotezwa
 
Kufeli kwa wanafunzi hakuhalalishi ufisadi unaofanywa ktk cdm

Hivi kwa ufahamu wako ulichoandika umekitafakari? hebu turudi nyuma kidogo. EPA,RICHMOND, DOWANS,MEREMETA,FEDHA ZA USWISS na mengineyo mengi yaliyofanywa na CCM unashindwa kuyasemea unakaa kuzungumzia eti ufisadi wa Dr. Slaa kujikopesha Ml 140.za Ruzuku. Kuna wakati mnatakiwa angalau Akili zenu mzikuze kidogo muongelee mambo ya msingi yatakayojenga na kutuondoa kwenye mrundikano wa matatizo yanayotukabili nchi hii kuliko kushabikia vipropaganda vya kijinga.
 
Mtela Mwampamba Ndugu yangu pole, ndio kwanza narudi toka kubeba mabox nilipotia humu nikaona hii habari yako. KIFUPI SASA HIVI CHOCHOTE UTAKACHOONGEA KITAONEKANA NI KISASI AMA KUTAKA KUJIONYESHA, UMESHAKOSEA MAANA UNAONGEA KAMA UNA DONGE KUTOKA HICHO CHMA KILICHOKUFIKISHA PAZURI KABLA YA KUONDOKA. Hakuna lingine zaidi ya sasa kuonekana unatangatanga na kuonekana kutunga kila kitu kuonekana unajambo la kusema. Busara ni kunyamaza na kusonga mbele huko ulikoamia ambako mwenzako Baba yangu alikuwa mmoja kati ya Waasisi na siyo waasi lakini mpaka sasa hakumbukwi. Unapoachana na rafiki yako kwa visa kinachofuata baada ya hapo hata usemeje watu watalipuuza.
 
Last edited by a moderator:
Njaa mbaya sana, inaweza kukufanya mjinga hata ukala kinyesi.

Mwampamba na masalia wenzako watu wameshawachoka sana, hamna jipya tena.
Mmebaki kuropoka ili mpewe tu posho hapa Lumumba.
 
Naomba uuambia uma wa Watanzania kilichokufukuzisha CDM. KABLA HUJAFUKUZWA HAYA ULIKUWA HUYAONI? USILETE UNAFIKI WAKO WAKO WE NI WALE WALE AMBAO HUJA KAM UPEPO NA KUTOWEKA
 
Sijaelewa hata kidogo,hii post imeanzia kwa Dr Slaa,ikaja kwa msajili,ikaenda kwa CAG,ikahamia kwenye bunge kupitia kamati ihoji matumizi ya vyama vya siasa,hawa ndio vijana ktk siasa za Tanzania!
 
kwa jinsi mnavyo coment mnanisikitisha sana,dr slaa pia ni binadam kama binadam wengine kama mimi na wewe,maswali ya mwampamba yana hoja ya msingi ambayo nasi pia hatuna budi kuitafakri badala ya kumpinga na&nbsp;kumzodoa moja kwa moja. tukae tukikumbuka kua&nbsp;ni rahisi sana kufaham yanayoendelea ccm kuliko yalioko vyama pinzani maana zaidi ya vyama 12 vinajaribu kutafuta mabaya ya ccm wakati chama kimoja tu ndio kinachotafuta mabaya ya chadema&nbsp;nacho ni ccm,<br>
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom