Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

IMG_9527.jpeg
 
:D Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861664
CCM ...wamekusikia....... fomu ya kugembea nayo iwe bure...:D:D
 
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861664

Pesa za ruzuku kwa vyama zielekezwe kwenye huduma za jamii: hospitali, shule, nk.

Naunga mkono hoja.
 
Sikubariani na huo ushauri maana kama hatutakua na utamaduni wa kufund hivyo vyama vitakua funded hata na mashirika ya nje kwa mlengo ambao hauna tija kwa taifa

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app

Pesa watapata kwa wananchi kwa kunadi sera, maono, mikakati yao.

Michango yote kwa vyama vyote inabidi iwe registered kila mtu anaweza kuona. Sababu hata matajiri wa TZ wanaweza kuhonga chama kupitisha sheria kwa faida za kampuni zao binafsi.

Kutakuwa na kanuni nani anaweza kuchangia na mchango wa juu kabisa ni kiasi gani na sheria nyingine. Kwenye hii issue Pascal Mayalla yupo sawa.
 
Back
Top Bottom