Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mwamtela ulipohamia CCM umejiondolea haki ya kuuliza ni katiba ipi inaruhusu VIONGOZI wa CHADEMA kujikopesha fedha za chama kwa sababu haya ni mambo ya ndani ya chama!

CHADEMA wamewahi kuuliza ni vipi CCM inatumia mamilion ya pesa kuwapa nyie kuzunguka mitaani kutukana upinzani ili hali hapa Kyela ofisi ya CCM kata ya Ipinda haina madirisha wala milango?Matumizi ya mabilion ya ruzuku ya CCM inafawanufaisha mbona nyie tu sio wanachama wa chini!Nani kaingilia?

CHADEMA imewahi wauliza CCM kwa nn ofisi kuu ya CCM Wilaya ya Kyela HAINA CHOO ili hali inawapa ww na Shonza mamilion ya pesa kuisema vibaya CHADEMA?

Njaa ikiingia akilini inaleta .u.zu.z.u
 
Dogo uwezi kutafuta namna nyingine ya kutoka kwenye siasa mpaka uchafue mtu?Hii habari imeshakifu kwenye masikio na macho ya watu umeiandika na kuiongea kabla hata ujafukuzwa.Tafuta Single nyingine hii haiuzi!

Anachokitafuta huyu dogo ni kufa kisiasa mazima.
amekosa strategic za kujijenga ndani ya CCM, kaamua kuingia kwa nyuma kama kibaka
 
Unakesha humu kupost upuuzi!
Mbona usijadili wanafunzi zaidi ya 67% waliopata 0?
Mbona usimwulize Mtela anahoji imekuwaje Mtela alishindwa kuhoji jambo hilo alipokuwa chadema? na sasa anahoji kwa mamlaka gani wakati haijui chadema na yeye ni mwanachama halali wa ccm?
Acha kuwa na fikra za nguruwe wewe

Naona unawasema wenzako pamoja na wewe hivi mimi na nyie mateka wa Chadema nani anaekesha JF.

Kila uzi mpo nyie mnamsifia Dr Saa na Mbowe.

Usiwe na akili za kukunguni.
 
Mtela Mwampamba When there is no an article create an article,kuna mambo ya msingi yanahitaji Watanzania wafikiri na kuyataolea maamuzi.Dr Slaa always anapotoa shutuma fulani huwa anaweka evidence hadharani,wewe umemtuhumu kuwa kafanya ufisadi wewe ndiyo utuwekee hadharani ushahidi wako ili tumwite afafanue na si kuleta research za kijima hapa kwa watu wanaoumiza kichwa kwa matatizo ya nchi hii.

Nchi ina msiba,hatusikii wewe Mapamba una hoji kwanini serikali ya chama chako isiwajibike kwa kushindwa kuleta ustawi na afya ya elimu ya Watanzania kuliko kuita waandishi kutapika hovyo kama vile hujui latrine iko wapi.Misiba iliyo likumba taifa ni janga la kitaifa huu si muda wa kuchota maji kwa kutumia chekecheke.
 
Last edited by a moderator:
MWAMPAMBA umemgusa katibu mkuu wa watu leo unalo matusi yote ya nguoni utayapata. Katibu Mkuu hatakiwi kutuhumiwa.
 
Anachokitafuta huyu dogo ni kufa kisiasa mazima.
amekosa strategic za kujijenga ndani ya ccm, kaamua kuingia kwa nyuma kama kibaka

Huyu sijui hana wakubwa zake waweze kumshauri kuwa siasa za maji taka hazitampeleka kokote na umri wake bado mdogo na yeye amemua kufanya siasa maisha.
 
Kesho Juliana Sonza atatoka na single nyingine.............mnaweza fanana na Arsenal!
 
Kama Dr ameiba hizo pesa si ukamkamate wewe ni polisi jamii nenda kamkamate kulia hapa hakusaidii.
 
Kale makande kalale zako!Mlianza kumchafua Dr kitambo!mmefukuzwa bado mnamwandama!hakuna mambo ya misingi ya kujadil zaidi ya kuleta ushuzi wenye harufu kali humu jamvini?Nashindwa kukuelewa mara unakuja na hoja ya kichwa cha panzi eti mzee Peter Slaa siyo babake Dr Slaa,mara hivi!Hivi hamwezi lala bila kumwota Dr Slaa usiku?Na bado,mpaka mchanganyikiwe awamu hii!
 
credibility yenu kwa sisi umma wa Tanzania imeshuka!hamna jipya haya tulishasikia lakini hayaondoi mapenzi yetu kwa chadema na dr slaa!
 
Kumekucha...

Muulize na kikwete mbona hakuna aliyemwajibisha au yeye mwenyewe kuwajibika na kashfa ya richmond, rada, epa,nk au ni kanuni gani za bunge hazitaki uwajibikaji na utawala wa sheria? mbona kumekucha siku nyingi sana.
 
Ww ulishaondoka chadema,wanachadema wameridhika na majibu aliyoyatoa utatumika na ccm kwa style ya kishamba na kutupwa kama kondomu baada ya kutumika,ww na shonza mmeingia mlango wa kutokea Rip bro
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom