snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,407
- 1,110
if i was a man kwenye hiyo situation,kwanza ningejitahidi niwezavyo na mimi nimiliki nyumba yangu,kuhamia kwa mpenzi wako ki-afrika,kwanza utakuwa umepoteza hadhi yako,men are supposed to rule,ukiwa nyumbani kwa msichana atakucontrol sana,utashindwa kufanya mambo yako,pili sitakuwa huru kuleta ndugu zangu wa karibu kuja kunitembelea,maana wataona naishi katika maadili mabaya,ya kuishi na mwanamke kabla ya ndoa,hivyo nitashusha status yangu katika familia yangu..
kwa mawazo yangu,kufunga ndoa hakuhitaji fedha nyingi sana mpaka niache kupanga huko niliko ili kukusanya fedha,kama sina uwezo nitaomba ndugu zangu wa karibu wanisaidie,na itakuwa simple tu,only close relatives and few friends,wengine mtaisikilizia kwenye bomba,,,ebwana snochet alioaga...
kwa mtazamo wangu naona sio sahihi kuhamia kwa msichana,na yeye asihamie kwangu kabla hatujafunga ndoa,labda niishi karibu na kwake ili tuweze kuonana mara kwa mara na labda kupunguza gharama za msosi.