Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

Mkuu mbona umetupatia kiu ya kukusikiliza halafu umeamua kukaa kimya? Sisi wengine tv yetu ni JF peke yake.
 
Hawa nao siwakae kimya nadhani kuna watu wanawapa kiburi hawa jamaa.Au wameamua kuwakana wenzao

Jussa ndie main sponsor wao!!..kama hamuamini Time will tell..i used to chat with their "Youth" leader..ni cuf hao hawana lolote..!!
 
Mara nyingi ukiwatajia jussa wanaruka sana,,,,,,wanadai si maon ya jussa ni maoni ya wazanzibar,,,,,
 
Kwanini wasiamshe watu bila kuleta fujo? Hivi kweli wanategemea watu wenye akili watabadili dini zao kwa kuogopa fujo? Njaa mbaya sana....
 
Hao hawajui kwanini wanafanyafujo, wengi wanafata mkumbo, hata historia ya dini hawaijui. Laiti wangejua wangejiona wajinga kwa walichokitenda. Muungano usijadiliwe na kikundi fulani cha dini, tena kwa fujo. Waachiwe wanasiasa. Kama ukishindwa dini acha njoo kwenye siasa. Kazi ya vikundi vya dini ni kueneza dini yao duniani kwani dini haina mipaka. Ndio maana uislam ulifika hapa zenj vinginevyo ungeishia hukohuko uarabuni.
Ni kikundi gani cha dini kinaleta ubaguzi na kuweka mipaka?? Sio dini ni kuto kujitambua
 
wewe una mengi tuangushie hata matusi wewe ni mtaalamu

Nilikua karibu nao sana wakaniamini..wakanistukia kuna info nazitaka toka kwao..wakaanza kunizingua ila hao wanapima upepo..kama unakumbuka kuna kipindi cuf walitangaza kuanza ziara zao kanda ya ziwa kati ya Mtatiro na Jussa ..kwakutumia iliokua nafasi yangu nikataka kumtega Jussa kuona kama kweli anajiamini..nikamwambia wabara hawataki hata kukuona na wamepanga kukuchinja kutokana na kauli zako za nyerere...nilitaka tu kuona response yake..he he kwani mlimuona???
 
Wanapata msaada pia kutoka katika Serikali ya Kiisalamu ya Irani na ndio maana Makamu wa Raisi wa Irani alivyokuja kwa Ziara na kuonana na Makamu wa Rais wa URT Dr.Mikasi walikuwa wanamuonyesha tajiri wao kuwa misaada yao wanaitumia vizuri na kuhamasisha fujo na akina mama wakibeba mabango yaliyoandikwa Kiarabu badala ya kiswahili na vitambaa vyeusi kama hizborah kundi linalofadhiliwa na Irani kule Lebanoni.Akili ku mkichwa wandugu.
 
Hao Iran ndio wanaotaka kumiliki nuclear? They are cowerds full of hatred to every 1,sasa hawa wenzetu kwa ulimbukeni wao wanathani ndo watapata misaada zaidi kwa kupenda vya bure..Dhambi hizi wanazoendekeza zitawatafuna wao na watoto wao.
 
Wanapata msaada pia kutoka katika Serikali ya Kiisalamu ya Irani na ndio maana Makamu wa Raisi wa Irani alivyokuja kwa Ziara na kuonana na Makamu wa Rais wa URT Dr.Mikasi walikuwa wanamuonyesha tajiri wao kuwa misaada yao wanaitumia vizuri na kuhamasisha fujo na akina mama wakibeba mabango yaliyoandikwa Kiarabu badala ya kiswahili na vitambaa vyeusi kama hizborah kundi linalofadhiliwa na Irani kule Lebanoni.Akili ku mkichwa wandugu.

kanga,
kuwa makini na unayoyasema. kama huna la kusema kaa kimya, kuwa kimya si ujinga ndugu yangu. dini zote zinakataza uongo. ukiambiwa uthibitishe hili utaweza!!!. chunga sana kuna siku utaulizwa kila kitu unachokifanya na kusema hapa duniani.mind u!
 
Hili nalo neno.

Wanapata msaada pia kutoka katika Serikali ya Kiisalamu ya Irani na ndio maana Makamu wa Raisi wa Irani alivyokuja kwa Ziara na kuonana na Makamu wa Rais wa URT Dr.Mikasi walikuwa wanamuonyesha tajiri wao kuwa misaada yao wanaitumia vizuri na kuhamasisha fujo na akina mama wakibeba mabango yaliyoandikwa Kiarabu badala ya kiswahili na vitambaa vyeusi kama hizborah kundi linalofadhiliwa na Irani kule Lebanoni.Akili ku mkichwa wandugu.
 
Kama huelewi basi sikiliza. Makamo wa rais wa Iran pamoja na mambo mengine amekuja kukumbusha deni wanaloidai Tanzania. Tanzania ilikopa mafuta toka enzi ya utawala wa Nyerere. Na deni bado halijaisha. Na juzi walitangaza kutusamehe riba ya mamilioni ya dola. Hao ndio wairan. Kama huwapendi kwa sababu ya uislamu wao basi mezea tuu usiandike uongo.
 
Hivi sasa Uamsho wanaendelea na Press Conference wakijibu hoja za Dk. Shein za jana. Stay tune!!!

hawa jamaa wanataka kua kama wataliban....wanaanza hivi taratibu mwishowe unasikia wanataka kuchukua na nchi kabisa
 
Jumuiya ya UAMSHO yalaani uchomaji makanisa, wameahidi kutoa majina ya wahusika ambao wameongoza au kuhusika uvunjifu wa mali na maduka yakiwemo makanisa.

Chanzo: Channel Ten / Habari
 
Jambo la kiungwana kama ni kweli. japo limechelewa. Na wachunge mahubiri yao.
 
Back
Top Bottom