Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

Hapa sijaelewa inamaana sio waliohusika na vurugu zile au walikuwa wanapima upepo.Kweli Zanzibar ni zaidi uijuavyo
 
Tunashakuru kwa tangazo lenu lakini hii sio kinga kwenu dhidi ya kukamatwa na kuhojiwa kwenye vyombo vya kiusalama na ikiwezekana kwa manufaa ya wazanzibar basi hiyo jumuiya yenu ipigwe marufuku hapa nchini.
 
Hivi hiki kikundi ni chama, taasisi au kitu gani?
Na je kina usajili halali kuweza kuendesha shughuli zake?
Kama kina usajili, je kimesajiliwa kufanya shughuli gani?
Na kama hakina usajili kwa nini serikali imekuwa inakifumbia macho? Kwani hakijaanza shughuli zake leo. Au walikuwa wanasubiri kusikia watu wamekufa (hasa wale wenye imani na mitazamo tofauti na kikundi hiki) ndipo serikali iamke.

Katika hili Serikali ni mlaumiwa namba moja, hilo halina ubishi.
 
Hili swala la zanzibar halijaanza leo limeanza tangu siku nyingi sema serikali yetu imekuwa hodari wa kufumba macho,swala la wazanzibar kuwa na ubaguzi juu ya watanganyika hasa kwenye masuala ya ardhi limekuwa likipigiwa kelele sana lakini serikali yetu imekaa kimya,hiki kikundi cha uamsho kimeanza siku nyingi na hii yote inatokana na badhi ya vitu ambavyo vinafaida juu yetu kuwekwa siri nafikiri kama viongozi wetu wangekuwa na busara basi wangeruhusu watu wajadili kwanza swala la muungano maana mengi yamesikika juu ya hili swala ambalo linapelekea mpaka wazanzibar waone kama wananyonywa na watanganyika nafikiri kuna umuhimu wa kuibua serikali ya tanganyika nafikiri endapo serikali ya tanganyika ingekuwepo haya manunguniko yasingekuwepo wala masuala ya kuingiza vitu vya muungano kinyemela yasingekuwepo maana hawa wabia wawili wangekuwa wanakaa wanakubaliana kipi kinatakiwa kiingie kwenye muungano na kipi kitoke
 
This is stupidy statement and should be totaly IGNORED. Jamani hebu wekani hapa mihadhara ya uchochezi na ubaguzi aliyokuwa anatoa huyu juha mfululizo. Hivi hizo instigations alizokuwa anafanya alifikiri mwisho wake ni nini? Unafiki huu at its greatest.

This dude should be dealt fiercely with no mercy. Hata kama anapata pesa kutoka Iran.
 
yakhee imewauma ee, huo ni mwanzo tu na bado mtakuja kwa magoti humu ndani..
 
HAMNA KITU HAPA! Wanavunga kufa hawa .... ina maana hawaoni jinsi wafuasi wao wanavyotutukana mitaani kwa kutuita wezi. Isitoshe hii si mara ya kwanza hawa kuchoma makanisa. Ati wanatuita watu kutoka bara ni Makafir! FFU na JWTZ wasiacha kipondo kwa hawa jamaa hadi washike adabu.
 
nawapenda sana uamsho natamani wageuze kiwe chama cha kisiasa kama kile muslim brother hood ambao soon watachukuwa nchi kwa njia ya democrasia ... watu watabwabwaja lakini ndio chaguo la wanzanzibar walio wengi..
 
Ni natural muhalifu kukana kuhusika na uhalifu!!!!
Kimsingi ningeshangaa kama wangekubali kirahisi tu kuhusika!!!
Mbaya sana ni kwamba ushahidi wa kimazingira unawazomea kuhusika kwao;
Ni suala la muda tu;mambo yote yatafahamika.
 
Ndugu zetu wa Zanzibar poleni na matatizo, lakini ninashangaa km mkosaji wenu ni serikali yenu kwa nini mmechoma moto makanisa? jamani km mi swala muungano kuna kura ya maoni ya katiba semeni muungano hamuhitaji kwa pamoja siyo kuvunja amani kwa visingizio vya muungano. kumbukeni huku bara kuna wapemba wengi na wala sisi hatuna tatizo na wao, ni ndugu zetu. kwa nini nyie mnakuwa na akili kidogo? kwani sisi wabara tunapata nini kutoka Zanzibar? tunaomba mtulie muwe na sibira. Nyie ni ndugu zetu wa damu hao waarabu wanawadanganya. Na kwa taarifa yenu muungano hauwezi kuvunjika kwa vurugu zenu, kwaani mtatuletea matatizo makubwa kuliko haya ya kuchoma makanisa. POLENI WANA ZENJI NDUGU ZETU.
 
Hii nchi ilikuwaje ikawa ya kiislamu? sijui historia yake vizuri hebu nijuzeni wajuvi

Nchi ipi unayoulizia? Tanzania, Tanganyika au Zanzibar? Tanzania haina dini rasmi; Tanganyika bado ipo "underground" ila kuna juhudi za maksudi zinaendelea kuiondoa huko ikitoka tutajua kama ina dini au la; Zanzibar haina dini pia ila wananchi wake wengi wana imani ya kiislam kutokana na sababu za kihistoria.
 
WANAOGOPA NINI??NDIO MIPEMBA ILIVYO INAOGOPA MOSHI ILHALI HAIJAONA MOTO,KOMAAENI N UHAINI WENU,RAHA YA KULA NYAMA YA MTU SI MNAIJUA,MKIMALIZA MUUNGANO MUANZE SISI WAPEMBA NA WALE WA UNGUJA
hahahaaaaaaaaaaa

M4C ITAKUJA KISIWANDUI SOON

Mkuu nina imani hauko makini na ulimwengu unavyokwenda na wala sitoshangaa na nitaona kitu cha kawaida, hivi vitendo vinavyotokea hapa ZNZ vimefanywa na watu wengine kabisa ukiacha hiki chama cha UAMSHO.

Nina sema haya kwa kuwa Sep 11 ilipangwa ili kuhalalisha vita katika nchi za kiarabu hususan IRAQ ambao kwa wakati ule ndie aliekuwa tishio kwa Israel. Hivi ni vitu vya kawaida propaganda za hali ya juu na mpaka watu wanafikia kuamini uongo uliotengenezwa.

Tafadhali angalia video hii ambayo itachambua zaidi ninachozungumza hapa na kieleweke zaidi



Nikirudi hapa kwetu ZNZ inawezekana kabisa kuwa kuna kikundi cha watu wanaofanya hizo vurugu ili kukipaka matope jumuiya ya UAMSHO kwa nia na madhumuni ya kukivunja nguvu katika mambo ya msingi wanayoyadai.

Angalia Syria mambo yanavyokwenda intervation ya mataifa mbalimbali yakiongozwa na ISRAEL na kupata baraka za USA katika vita vinavyoendelea ndani ya Syrai hili utasema ni nini hasa? Ugaidi au ni zaidi ya Ugaidi? Nani gaidi kati ya nchi za kiarabu na ISRAEL pamoja na USA?

Get to know the fact, think, analyze and Speak out.........
 
Last edited by a moderator:
Mbona wameanza kwa kigreza afu wakaandika kwa kiswahili na wao dini yao ni ya waarabu?

Dini ya Uislamu si ya waarabu ni ya watu wote ambao kwa hiyari yao wameamua kufuata dini ya haki ambayo ALLAH S.W ameichagua yeye. Wapo wa Naigeria waislamu,wapo wazungu waislamu wapo wachina waislamu.................

Dhumuni ni kueleweka kirahisi nini wanataka kusema kwa umma na sio ku create language barrier.
 
Inawezekana hawahusiki directly lakini indirectly wanaweza kuwa wanahusika kama wachochezi, lets wait and see
 
nawapenda sana uamsho natamani wageuze kiwe chama cha kisiasa kama kile muslim brother hood ambao soon watachukuwa nchi kwa njia ya democrasia ... watu watabwabwaja lakini ndio chaguo la wanzanzibar walio wengi..
Afadhali kiwe chama cha siasa kiendeshe siasa kuliko kujificha nyuma ya dini. Nakubali kipewe usajili wa muda immediately; na wazanzibari wakikubali agenda yao, wakichague kiongoze nchi na kikikubalika hata Tanganyika basi kiongoze Tanzania nzima; hizo ndizo siasa.
 
Dini ya Uislamu si ya waarabu ni ya watu wote ambao kwa hiyari yao wameamua kufuata dini ya haki ambayo ALLAH S.W ameichagua yeye. Wapo wa Naigeria waislamu,wapo wazungu waislamu wapo wachina waislamu.................

Dhumuni ni kueleweka kirahisi nini wanataka kusema kwa umma na sio ku create language barrier.

Wasi wasi wangu ni kama Mnaujua uislamu vizuri. huwa nashindwa kuwatofautisha waislamu na wakatoriki nashindwa kabisa.
 
oooooooooooops, they did not know the effect of what they were doing and now they are afraid of the outcome. Huwezi kukimbia kivuli chako. What did they expect out of fooling their followers that they should be ready to fight. How did they expect them to fight for their independence?. Sure, common sense is not common. I got ya
 
Back
Top Bottom