Uamsho,Necta na Sensa Je Serikali imeshindwa kuwa intergrate Waislamu?

madai ya waislamu hayaishi na hayatakuja kwaisha walianza na madai ya Yesu si Mungu, wakaja na madai mahakama ya kadhi kadhi, madai ya muungano, madai NECTA,madai sensa
 
Mnakaribishwa kuijadili hoja!
Sideeq umeandika kichwa cha habari peke yake ulitakiwa uweke maelezo zaidi ili watu waelewe cha kujadili.Na kichwa cha habari chenyewe umeongeza neno la kingereza ambalo wengi litawapa shida kwasababu pengine ndio neno husika ktk kujadili suala zima unalokusudia.Na vilevile unatakiwa uanze wewe mwenyewe kutoa mchango wako ambayo yatakuwapo pamoja ktk maelezo yako ili wajue upande utakaokuwepo,kumbuka kunawanaopinga na wanaopendelea kuhusu suala zima la Uamsho,NECTA na Sensa kwa sababu zao ambazo watajieleza wenyewe.
 
Back
Top Bottom