U.S.A vs U.K

Habari wana jamvi niko hapa kushare kitu kimoja na nyie wanajamvi kati ya nchi hizo mbili hapo juu km ntakua nimekosea mtanirekebisha ila naomba mnitajie kitu ambacho ni kimoja ila majina tofauti ukienda kwenye nchi hizo mbili
mfano

U.S.A-TRUCK
U.K-LORRY

U.S.A-METER
U.K-METRE

kazi kwenu wanajamvi.... mapovu ruhusa

USA - UK
Candy - Sweets
Cab - Taxi
 
hood-street? sina uhakika
pound-weight? sina uhakika pia
 
US - Stereo US - Shop US - Pants US - Gas station US - Crazy
UK - Radio. UK - Garage UK - Trousers UK - Petrol/Filling Station UK - Mad
 
Usa = elevator
Uk = lift

Usa = first floor
Uk = ground floor

Usa = movie theatre
Uk = cinema
.
.
.
Usa's english issa fu**king english
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom