Hahahahaha we naekibongo ukisema period mnaweza kuchapana makonde
hahahhaha kwa iyo U.K ni bisi bisiUSA - Screw-driver
UK - Bisibisi
😂😂U.S.A - STONE,
TZ - JIWE.
hapo umeniacha mkuu manake wengine PCM tulikua mmh hapo shughuli ipoHii inanikumbusha topic ya Lexis(kwa wale wa HKL na HGL) mambo ya Etymology of words and Synonysms