Tz yetu maisha magumu lkn viongozi wanasafiri nje na group la watu 40 hasara/faida ya nani?

Chamkoroma

Senior Member
Sep 6, 2010
186
11
Wapendwa wangu nandugu zangu, maisha yetu yalivy magumu lkn utashangaa viongozi wetu hawaoni ugumu unaowatesa wa TZ kwa ujumla je, tutafanyaje ili waone kuwa kama kuna ulazima kusafiri kwenda UK& US na watu basi wawe watatu hadi watano, lkn watu wengi na wote wanapata first Class haya maisha tutafika?
najua baadhi mtasema ni umbea lkn Dr. Bilal anasafiri jiulize watu arobaini kwenda nao nje kwa faida ya nani? je wananchi wanaumia kiasi gani kwakuwasafairisha watu hao, gharama nani ataichukua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom