Twiga Stars wamnadi JK Washington

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Kule kwa Michuzi naona hawa watotio wamwvishwa T-shirt za JK wakiwa ziarani pamoja na amtron wao Rahma Al-Kharoos....hii ni sawa jameni?
 
Zile Tshirt zinamwonyesha JK akiwa amebeba kombe la DUNIA. Na zimeandikwa Karibu kombe la Dunia Africa. Sasa sioni hapo uhusiano na kampeni au kumnadi. Labda ungesema zinalinadi kombe la dunia.

ngx4ep.jpg
 
Kwanza nigongee thanks kwa kukuwekea picha, halafu hayo maswali uyajibu mwenyewe. Mimi sioni kabisa uhusiano wa picha hizo na kumnadi Kikwete. Njano ni rangi mojawapo ya bendera ya Taifa, hata kwenye background ya hizo picha kuna bendera ya taifa. Halafu Kikwete ni Rais wa Taifa la Tanzania na Twiga Star ni timu ya Taifa. Sasa wengeweka kombe la Dunia peke yake lingehusianishwa vipi na Tanzania? Na hatujawahi hata kushinda kombe la Africa? Wewe inaonekana una yako sasa.
 
labda hii njano na kijani imemtisha jamani anyway tutawatumia za kibuluuu wavae polen kwa waathiitika wa rangi za ccm
 
jamani nimependa pozi la dada mmoja amefumba macho uku kasimama kama amelambaaaaaa bobannnnnnnn majaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Huyu matron alishahusishwa hapo siku za nyuma na msuala ya ndoa hapa jamvini...sasa nikaunga na hizo T-shirts...mmh
 
Rahma Al-Kharoos huyu mdada anasubiri ubunge wa kuteuliwa na raisi maana kwenye kura za maoni sikumsikia.
 
Bila kuwa biased, tishirt hizo hazikustaili kuvaliwa kwa safari ya nje ya nchi. kombe la dunia lilikuwa linakaribishwa TZ sasa inahusika vipi na safari ya USA??? Ni umbumbumbu wa waandaaji vazi la wasichana hao tu.

Bora wangevaa T-shirt zikimuonesha rais na mambo mengine ya kwetu ambayo hata siku wageni hao wa huko wakitaka kujaa Bongoland basi watarajie kuyaona lakini si vinginevyo.
 
Bila kuwa biased, tishirt hizo hazikustaili kuvaliwa kwa safari ya nje ya nchi. kombe la dunia lilikuwa linakaribishwa TZ sasa inahusika vipi na safari ya USA??? Ni umbumbumbu wa waandaaji vazi la wasichana hao tu.

Bora wangevaa T-shirt zikimuonesha rais na mambo mengine ya kwetu ambayo hata siku wageni hao wa huko wakitaka kujaa Bongoland basi watarajie kuyaona lakini si vinginevyo.

YES MKUU.
Ni sawa kabisa, Bora hata wangevaa zilio na picha za kitalii either Mt. Kilimanjaro na hata picha za wanyama pori !!
Huo ni ulimbukeni kuvaa picha ya Rais na Kombe la dunia sasa huko USA wanatangaza nini ????
kwani 2018 TZ wapo kwenye orotha ya kuandaa WC ??? Pumba kabisa !!!
 
Ushamba kweli, watu hawa angalau wangevaa fulna zinaonyesha mlima Kilimanjaro na mbuga za Serenegti au Beach za Zanzibar ingakuea ni namna ya kutangaza Utalii. lakini sasa picha ya Kikwete kiwa ameshika kombe la dunia ambalo liko spain na halina uhusiano wowote na Tanzania ni ujinga usiosameheka.


Hapo siyo kumnadi Kikwete kwa sababu watu wa washington hawapigi kura, kufanya hivyo ni ama kujikomba kwa JK au ni ujinga tu.
 
Rahma Al-Kharoos huyu mdada anasubiri ubunge wa kuteuliwa na raisi maana kwenye kura za maoni sikumsikia.

Inaelekea mambo ndio hayo mkuu ; huyu bibie anaweza kuwa mbunge wa Ikulu kwani hata mgodi wa dhahabu nasikia kisha pewa kule Singida, kwa hiyo mambo unayosema yanawezekana kabisa; Bingu WA Muthalika huko Malawi na Museveni wamekwisha onesha njia ya wamama kuwa ndani ya Cabinet!!
 
Back
Top Bottom