Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
This is pathetic and stupid
Inaelekea mambo ndio hayo mkuu ; huyu bibie anaweza kuwa mbunge wa Ikulu kwani hata mgodi wa dhahabu nasikia kisha pewa kule Singida, kwa hiyo mambo unayosema yanawezekana kabisa; Bingu WA Muthalika huko Malawi na Museveni wamekwisha onesha njia ya wamama kuwa ndani ya Cabinet!!
Angeweka picha ya Slaa na bendera ya chadema.Kule kwa Michuzi naona hawa watotio wamwvishwa T-shirt za JK wakiwa ziarani pamoja na amtron wao Rahma Al-Kharoos....hii ni sawa jameni?
Umbeya huo otherwise tupe source kwenye redInaelekea mambo ndio hayo mkuu ; huyu bibie anaweza kuwa mbunge wa Ikulu kwani hata mgodi wa dhahabu nasikia kisha pewa kule Singida, kwa hiyo mambo unayosema yanawezekana kabisa; Bingu WA Muthalika huko Malawi na Museveni wamekwisha onesha njia ya wamama kuwa ndani ya Cabinet!!
Angeweka picha ya Slaa na bendera ya chadema.