Ninataka kununua TV. Nimeenda dukani nikiwa nataka kununua brand new TV iwe Hisense, Samsung, LG, Alitop, Allyons etc (sikuwa na choice nilijipanga kwa yoyote ile).
Nikiwa njiani, nikakutana na jamaa yangu ambaye nilisoma nae siku nyingi huko sekondari. Katika kusalimiana nikamueleza jambo langu, ndipo akaniambia, achana na brand new TV. Mimi nauza Used TV kutoka UK. Akanishawishi sana. Nikamjibu kuwa ngoja nikafanye window shopping then nitafikia uamuzi.
Swali langu kwenu wadau, una choice mbili. Used TV nzima kabisa na brand new TV nzima kabisa, utaenda na ipi?