Tv imetoa moshi

the locksman

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,101
350
nikawa naangalia mpira juzi ijumaa,nikaona tv yangu inatoa moshi mkubwa kupitia matundu yake pembeni.nikazima haraka,kufuatilia tatizo nikagundua kwenye transformer tunayotumia, neutral ikawa imekatika ina maana voltage ilikuja kubwa.
niliiwasha kesho yake ikawa ina behave vibaya picha imeharibika inacheza kama mawimbi ya maji inaenda kushoto na kulia,pia kuna mistar inapita chini kwenda juu na muungurumo kwenye spika.
nauliza kitu gani kimepata tatizo,ni HITACHI CRT flat mbele.msaada wakuu.
 
Pole kwa Mkasa Toka CCM......MPELEKEE FUNDI MTAALAMU WA TV AIKAGUE KAMA INAWEZA KUPONA.AKISEMA HAIWEZEKANI UZA KAMA Chuma chakavu Kisha Nunua Mpya.NINAYO MOJA IPO KWA FUNDI ZAID YA MWAKA BILA MAFANIKIO
 
peleka kwa fundi tu , wewe mwenyewe unajua kama imeungua hakuna mbadala wa hiyo ,
 
Back
Top Bottom