Kwa hiyo keti kitako tuanze kuyachambua masuala ya mapenzi. Kwa utaalamu wangu wa masuala haya nadhani nitakuwa tayari kujibu maswali yenu,hoja zenu nk kuhusiana na mapenzi,kujamiiana(ngono) na mengi mengineyo.
Stop, hapo hapo kwanza. Right there.
Huna utaalamu wa mapenzi na kujamiiana, wewe ni muongo.
Unazungumzia mapenzi gani wewe, ya ardhi? Nilidhani ni thread ya maana, kumbe mtu ..., aah ngoja niishie hapo hapo....nchi zinaingia kwenye vita kisa mapenzi?
mwacheni 'BIKRA' ajieleze jaman.
huko kitaa kuna mama amezaa kwa operation wanae wote ANAJIITA BIKIRA
mwachen jaman
kwi kwi kwi! kila mmewe anapo gusa anakuta kitu sealed kha! ana renew na ndimu nini mkuu?
NDO VILE YANI!yeye anaidifain bikira katika upeo huo kwamba bikira inatolewa kwa kuzaa
duh si mchezo hii kali wazee wa kuthaminisha bikra akina Msanii,Bellies,Masanilo,Yo YO, WOS, Nyamayao nisaidieni hili swala.
bikira ya huyu mama c mchezo....fidel wewe bado unahusudu bikira?
Unazungumzia mapenzi gani wewe, ya ardhi? Nilidhani ni thread ya maana, kumbe mtu ..., aah ngoja niishie hapo hapo.
bikira ya huyu mama c mchezo....Fidel wewe bado unahusudu bikira?
Mkuu UM huyu huko nyuma anasema ni bikra na hajawahi onjwa na anaitunza leo kaja na mpya tena anataka kutufundisha mapenzi anaota au?
Blog hii ni ya watu wazima,watu wanaojua nini maana ya mapenzi au wanaojaribu kujua zaidi.
Nimeamua kuanzisha blogu hii kwa sababu najua ipo haja ya watu kuendelea kubadilishana mawazo juu ya mapenzi,ngono na mengineyo
... Kwa utaalamu wangu wa masuala haya nadhani nitakuwa tayari kujibu maswali yenu,hoja zenu nk kuhusiana na mapenzi,kujamiiana(ngono) na mengi mengineyo. Jisikie huru kunitumia email au kuuliza swali lako hapa hapa,nitakujibu.
Mi bikra bana sihusudu wala nn labda ile ya TG hapo sawa.