Tuzungumze mapenzi!

Kwa hiyo keti kitako tuanze kuyachambua masuala ya mapenzi. Kwa utaalamu wangu wa masuala haya nadhani nitakuwa tayari kujibu maswali yenu,hoja zenu nk kuhusiana na mapenzi,kujamiiana(ngono) na mengi mengineyo.

Stop, hapo hapo kwanza. Right there.

Huna utaalamu wa mapenzi na kujamiiana, wewe ni muongo.
 
Last edited by a moderator:
Stop, hapo hapo kwanza. Right there.

Huna utaalamu wa mapenzi na kujamiiana, wewe ni muongo.

Mkuu UM huyu huko nyuma anasema ni bikra na hajawahi onjwa na anaitunza leo kaja na mpya tena anataka kutufundisha mapenzi anaota au?
 
mwacheni 'BIKRA' ajieleze jaman.

huko kitaa kuna mama amezaa kwa operation wanae wote ANAJIITA BIKIRA

mwachen jaman
 
mwacheni 'BIKRA' ajieleze jaman.

huko kitaa kuna mama amezaa kwa operation wanae wote ANAJIITA BIKIRA

mwachen jaman

kwi kwi kwi! kila mmewe anapo gusa anakuta kitu sealed kha! ana renew na ndimu nini mkuu?
 
NDO VILE YANI!yeye anaidifain bikira katika upeo huo kwamba bikira inatolewa kwa kuzaa

duh si mchezo hii kali wazee wa kuthaminisha bikra akina Msanii,Bellies,Masanilo,Yo YO, WOS, Nyamayao nisaidieni hili swala.
 
duh si mchezo hii kali wazee wa kuthaminisha bikra akina Msanii,Bellies,Masanilo,Yo YO, WOS, Nyamayao nisaidieni hili swala.



bikira ya huyu mama c mchezo....Fidel wewe bado unahusudu bikira?
 
Mkuu UM huyu huko nyuma anasema ni bikra na hajawahi onjwa na anaitunza leo kaja na mpya tena anataka kutufundisha mapenzi anaota au?


Bikra amekubuhu kwa uongo. Hajafikisha hata robo mwaka hapa jamvini lakini ana vitimbi kuliko Dr Love Pimbi.

Amesema hivi:


Blog hii ni ya watu wazima,watu wanaojua nini maana ya mapenzi au wanaojaribu kujua zaidi.

Hii ni blog au forum? Sina uhakika wa hii ni nini kati ya hivyo viwili.

Hata hivyo, Bikra hakuishia hapo, anaendeleza kuthibitisha kuwa yeye ni muongo aliyebobea na kukubuhu katika tasnia ya uongo, anasema yeye ndio kaanzisha hii blog:

Nimeamua kuanzisha blogu hii kwa sababu najua ipo haja ya watu kuendelea kubadilishana mawazo juu ya mapenzi,ngono na mengineyo

Haya Invisible umeyasikia haya, Bikra asema yeye ndio aliyeanzisha hii kitu, kama ni kweli hongereni kuwa kuwa na bikra aboard.
 
I feel when I sorrow most;
It is better to have love and lost,
Than never to have loved at all.

But;
Why love is such a sorrowful thing.
This I never could understand;
Pain and Passion are linked together,
Ever I find them hand in hand.


Cause?
Love is not blind- it sees more; not less.
But because it sees more;
It is willing to see less.


Despite of those:
Love is as powerful as death;
Passion is a strong as death itself.
It bursts into flame;
And bursts like a raging fire.
Water can't put it out;
No flood can drown it.
But if anyone tried to buy love with his wealth;
Contempt is all he would get.

Even though,Take precaution as:
Love is not something to play with.
Love is like a river; it goes where it likes;
It bends this way and that way.
Now it is full, now it is empty:
It brings life; it brings death,
And no man can stop it or change its course!

Then remember:
When you love someone/something, set it free.
When it comes your way, it is yours and
When it doesn't, it didn't mean to be yours!

Lastly, keep in Mind:
Marriage is the only; and only war where you sleep with your enemy!
 
... Kwa utaalamu wangu wa masuala haya nadhani nitakuwa tayari kujibu maswali yenu,hoja zenu nk kuhusiana na mapenzi,kujamiiana(ngono) na mengi mengineyo. Jisikie huru kunitumia email au kuuliza swali lako hapa hapa,nitakujibu.

...shukran. Dr Love walengwa wake ni maswali ya kina mama, weye je? Karibu nawe utoe nasaha zako kwenye michango ya wanajamii.
 
halafu location ya Bikra ni MWILINI- KOTE KOTE!
yaani kama kawaida na tg.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom