TUZO ZA MCT: Masoud Kipanya afunguka

Du! kipanya kawavua nguo! bilinganya zawaning'inia, na jk kujipendekeza kwake kavishwa kivazi kionwacho na watakatifu pekee, kama alikuwa na hamu ya kuhutubia angeenda arumeru akazomewe!!!!!!!
Mkuu Bilinganya ndio MAKENDE?
 
Ndo mana kp aliondoka clouds kwa fitina hizohizo! jamaa namkubali yuko positive! si mnakumbuka hata ile programme yake ya maisha plus wadau walimfanyia majungu,ila mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe!

He is more of him tangu alipoamua kuwa independent...................now he is living real
 
Tuzo mpaka Rweyemamu apitie kunatuzo kweli??kwa maana ukiisema vibaya serikali wewe ni chadema hakuna tuzo!!
 
Je yeye anachokataa ni kwa sababu watu wana-apply? To me it is competition ambayo mshindi anapewa tuzo. labda kama the process is not free and fair.
 
Kweli huwezi kuapply kwa ajili ya tuzo. Umeona mbl Kipanya na jana nilishangaa kutokuwepo ktk ile list ya waliotajwa kumbe hii ndo sababu....binafsi nimekuelewa. Barikiwa sana.
 
Wanabodi ,
Jana usiku ilikuwa ni siku ya kutoa tuzo kwa wana habari wa TZ. Kwenye category ya Cartoonist aliepata tuzo hiyo ni Nathan Mpangala (Kijast).

Je Kwanini Kipanya hakushiriki hata kwenye hatua za mchujo?
Je Ni katuni zake tata dhidi ya serikali ndo zikafanya aenguliwe kwenye kinyanganyiro
 
Kwa maoni yangu binafsi..Masoud ni Mchora katuni mwenye kipaji kuliko wachora katuni wote wa Tanzania, na mimi nsha mtunuku hiyo Tuzo isiyokuwa na zawadi.
 
Mh nadhani kila mwandishi aliambiwa apeleke kazi yake, nadhani kipanya hakupeleka kazi yeyote mkuu.
 
Ndo mana kp aliondoka clouds kwa fitina hizohizo! jamaa namkubali yuko positive! si mnakumbuka hata ile programme yake ya maisha plus wadau walimfanyia majungu,ila mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe!

Unajua kama unasimamia kitu unachoamini huwezi kuburuzwa KP hana wa kushindana naye hapa !
 
The wise always walk towards light! ("Katika tasnia ya ..., aliyeteuliwa ni ... peke yake. Na aliyechaguliwa ni ...")
 
Mbona zile Tuzo za CNN Africa watu wanapeleka kazi zao?

Mimi naona ni utaratibu mzuri kwakuwa si rahisi majaji kusoma kila gazeti, au kusikiliza kila Radio, imagine wewe ungekuwa Judge wa hizo tuzo za uandishi yaani huna kazi nyingine kila siku usikilize vipindi?

Masudi amezungumza jambo la msingi sana ila hajafikiria upande wa pili. Swala la kuboresha au kubadili mfumo linazungumzika, pengine ipo haja ya kutafuta mfumo mzuri zaidi lakini ni upi?
 
Nakukubali kaka, achana nao tu, wewe jembe na kila mmoja analielewa hilo.
 
Back
Top Bottom