TUZO ZA MCT: Masoud Kipanya afunguka

Huyu Kipanya ni mtaalam fufutende mwenye akili tambuzi iliyotuama hasa, ameona huo ujinga unaoendelea. Tunamshukuru kwa kutufumbua macho na kuweza kuona kwa uwazi hayo mapungufu. Tunzo tumekupa mkuu ingawa hatutambuliki kitaifa.
 
Ndo mana kp aliondoka clouds kwa fitina hizohizo! jamaa namkubali yuko positive! si mnakumbuka hata ile programme yake ya maisha plus wadau walimfanyia majungu,ila mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe!

kwa hiyo mJk unatoa matunda gan mpaka mmeuzunguka na mawe??
 
Nakapenda sana haka kajamaa. Katuni zake zinafungua fikra na mawazo mapya kila nizionapo. Nafurahi sana siku hizi hakaipendi ccm pia. Keep going kijana, usijali tuzo za MCT, Watanzania mamilioni tumeshakupa tuzo kibao!!
 
hakuna tuzo iliyo perfect bongo hata moja...., tuzo zote zmejaa kelele tu...! michezon nako kelele na ubabaishaj tu.., ktk siasa ndo balaa.., sijui tumelogwa na nan..!? mweeee...!!!!!!!
 
Mbona zile Tuzo za CNN Africa watu wanapeleka kazi zao?

Mimi naona ni utaratibu mzuri kwakuwa si rahisi majaji kusoma kila gazeti, au kusikiliza kila Radio, imagine wewe ungekuwa Judge wa hizo tuzo za uandishi yaani huna kazi nyingine kila siku usikilize vipindi?

Masudi amezungumza jambo la msingi sana ila hajafikiria upande wa pili. Swala la kuboresha au kubadili mfumo linazungumzika, pengine ipo haja ya kutafuta mfumo mzuri zaidi lakini ni upi?

Ndo maana kuna division of labour and specialization mkuu kama huna huo muda then you are miles away from the milieu so just let others who work in the industry do the job...................na hii mistake ndo hutufanya kupata miss Tanzania wa hovyo hovyo as majudge wanakuwa si watu wa fani hiyo permanently as you have just rhimed
 
Nilishangaa Masoud kukosa kwenye tuzo hizi kama mchoraji wa katuni...aliyeshinda yaani Nathan Mpangala naye ni bora ila kwakweli Masoud Kipanya ni nouma au bora zaidi.
 
Back
Top Bottom