Tuzo ya Mwanamuziki Bora Hiphop ni dharau kwa wana Hip Hop

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,237
103,890
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin

Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa baadhi ya Nominees. Hivi kweli wamekosekana rappers wa nguvu kiasi cha kuweka Kala Jeremia, Billnas na Countrywizzy?! Au kuna mtu ameandaliwa tuzo?
 
Angalau Kala
 
Kwakweli wametukosea Sana. Kamati iliyoteua wasanii kuwania hizo tuzo, imetukosea Sana na huenda inachuki binafsi au haijui mziki wa sasa upoje.
 
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin

Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa baadhi ya Nominees. Hivi kweli wamekosekana rappers wa nguvu kiasi cha kuweka Kala Jeremia, Billnas na Countrywizzy?! Au kuna mtu ameandaliwa tuzo?
Hii nchi haijawahi kuacha kuonesha vituko. Nilitegemea mwana FA kama waziri, msanii pia mdau mkubwa wa MUZIKI WA hip-hop tena akiwa kama Legend angefanya kitu kuwepo na haki na usawa.
Sina shida na Kala, fid wa county wizzy au hata bill Nas lakini tujiulize swali rahisi hizi tuzo ni za mwaka gani!? Na hao wasanii Wana Ngoma gani walizofanya mwaka jana na zikafanya poa?? Huu ni utani kabisa!!!....
Kwenye hizi tuzo japo Mimi sio shabiki wa Lunya lakini nilitegemea kumuona humo lakini pia Young Killer na album yake ya super Nyota alitoa mapini yaliyokiki na ni hiphop kweli bila kusahau Dizasta vina na Coni boy...
Anyway wao ndo wenye taasisi
 
"Kwenye hizi tuzo japo Mimi sio shabiki wa Lunya lakini nilitegemea kumuona humo lakini pia Young Killer na album yake ya super Nyota alitoa mapini yaliyokiki na ni hiphop kweli bila kusahau Dizasta vina na Coni boy...
Anyway wao ndo wenye taasisi"

Nimekunukuu...

Young Lunya Kwa Sasa anawakilisha vyema hip hop...

japo waige BET Awards,

Jinsi wanavyo pata nominees wao......
 
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin

Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa baadhi ya Nominees. Hivi kweli wamekosekana rappers wa nguvu kiasi cha kuweka Kala Jeremia, Billnas na Countrywizzy?! Au kuna mtu ameandaliwa tuzo?
yani anawekwa kala anaachwa maodoki ? ndio maana nasikiliza tu bolingo
 
TUZO AU UCHAFU? HEBU WAAULIZE WAANDAAJI WAMETUMIA VIGEZO GANI KUWAWEKA WASHIRIKI??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom