Tuwekane sawa kwa hili jambo jamani

manchester

Member
Sep 3, 2010
54
3
.....Tumeshuhuda kulipuka kwa wasikilizaji weni kwenye kampeni ya Uraisi kwa idadi kubwa ya watu ila Ndugu zangu, Kaka Zangu, Wakubwa , Zangu , wadogo zangu na wanangu naomba tuwekane sawa jambo moja ...Kulipuka tuu kwa wingi wa watu kusiwe kwenye kampeni tuu Tuhamasishane na kupiga kura ili tulipuke kwa wingi tukapige kura mpaka kieleweke kwani when the margin results itakapokuwa kubwa na wizi wa kura pia hautakuwepo ila Results margin ikiwa ndogo ndio hapo jamaa wanapopata muda wa kucheza na matokeo..HIMA NDUGU TUKAPIGE KURA KWA MANUAFAA YA TAIFA LAKO NA KIZAZI KIJACHO KIACHWA NA MISINGI BORA YA UTAWALA.....MWEMIZI JAMAA YAKO NDANI YA KOO YAKO (MKE, WATOTOA , BABA NA MAMA, SHANGAZI MJOMBA, BIBI NA BABU NA RAFIKI YAKO JIRANI YAKO WA KARIBU NA MBALI WOTE HIME HIME TUAKAPIGANE VITANI TAREHE 31) NA HATA JIRANI YAKO ALIYEKATAA TAMAA LAKINI AKIWA NA TAMANIO LA UONGOZI BORA AKAPIGE KURA KWA KUFANYA HIVYO JAMAA WATASHINDWA KUCHEZA NA MATOKEO MWAMBIE KURA YAKE NI MUHIMU KATIKA KUCHEZWA KWA MATOKEO HAYO CHA MSINGI AKAONGEE WINGI WA KURA JAAMA WASHINDWE KABISA KUCHEZA NA MATOKEO.
 
IMETULIA HIYO NAKUUNGA MKONO:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
ni jambo la kufurahisha safari hii asilimia kubwa ya watu wanatarajia kupiga kura hasa vijana, juzi nilikuwa nyumbani kwetu kijijini nilifarijika sana niliposikia vijana wakisema safari hii lazima tupige kura
 
Nimeipenda Manchester ila kiswahili yako kama kongo? Burundi? But its very important tukapige kura. Welldone.
 
Back
Top Bottom