Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,705
- 4,739
Simba haina cha kujifunza kwa Yanga ambapo Yanga ina cha kujifunza kwa Ihefu kwani walisawazishiwa na kuongezewaLeo si mara ya kwanza kwa Yanga kusawazisha na kushinda. Tena kwenye mechi zenye tension kubwa. Waliwahi kufanya hivyo kwa Coastal Union kwenye Azam Confederation Cup.
Yanga wakarudia tena katika mchezo na Azam (wa pili kabla ya huu wa leo). Na leo tena wamerudia hilo jambo. Kupambana kusawazisha na kushinda.
Simba wanakosa hiyo spirit. Hata wanaposawazisha huishia kwenye sare. Kama kwa Al Ahly. Simba wanakosa mapambano wakiwa uwanjani.
Ni wepesi kukata tamaa au kuogopa. Simba inapaswa kujifunza jambo kwa Yanga. Kucheza ki-father hakutaifikisha kokote.
Simba hawako kama Yanga. Hata wanachama na washabiki wanajua hilo. Wao wamezoea mpira papatupapatu kama rugby tu.