Tuwe wakweli kama wa KQ (?)

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,846

...za wikiendi wanajamii?
Haya, leo nitashare nanyi video hizi mbili,...angalia kwa makini;

...Can you relate the two? hapana?

Domestic Violence against men should be reported jamani,
sio halali kufa na tai shingoni, lol.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mbu unalosema nafikiri wanaume wengi wana aibu kueleza wamepigwa/wamedhalilishwa na wake zao lakini kuna wanaume wanashuhudia joto ya jiwe na si utani.

ivi mbu matatizo yenu huwa mnayapeleka wapi?
 
ivi mbu matatizo yenu huwa mnayapeleka wapi?[/QUOTE]

Hapo kwenye Red hata mie huwa najiulizaga sana sipati jibu.Asante Chauro kwa kuuliza :hand:
 
ni kweli mbu unalosema nafikiri wanaume wengi wana aibu kueleza wamepigwa/wamedhalilishwa na wake zao lakini kuna wanaume wanashuhudia joto ya jiwe na si utani.

ivi mbu matatizo yenu huwa mnayapeleka wapi?

Ohooo, Chauro sasa nini na wewe?

..I HAVE ONLY ONE WIFE, halafu sina problem wala malalamiko YOYOTE kuhusu MY WIFE WANGU...:A S-frusty2:
 
sio kweli bana ndo maana mnakufa mapema mnatuacha na mzigo mzito wa kulea familia huoni kuna haja kidogo na nyie kulilia haki zenu kuliko kuendelea kuchoma maini yenu bila sababu

...ngoja niwa beep kina MTM, BAK, Aspirin, Klorokwini, Teamo na wengineo waje watoe kauzoefu hapa.
Naamini watajielezea kwa ufasaha zaidi wapi tupelekapo haya malalamiko.
'Fingers Crossed,' I hope none will mention Nyumba ndogo!
 
ni kweli mbu unalosema nafikiri wanaume wengi wana aibu kueleza wamepigwa/wamedhalilishwa na wake zao lakini kuna wanaume wanashuhudia joto ya jiwe na si utani.

ivi mbu matatizo yenu huwa mnayapeleka wapi?

Hapa TGNP

Tanzania Gender Networking Programme (TGNP) is fundamentally an activist organization, non partisan, non denominational and non govermental civil society organisation committed to the goal of contributing to the building of a vibrant transformative feminist movement that challenges patriarchy and neo-liberalism at all levels, and advocates for gender equality/equity, women's empowerment, social justice and social transformation in Tanzania and beyond
 
ni kweli mbu unalosema nafikiri wanaume wengi wana aibu kueleza wamepigwa/wamedhalilishwa na wake zao lakini kuna wanaume wanashuhudia joto ya jiwe na si utani.

ivi mbu matatizo yenu huwa mnayapeleka wapi?

Chauro, matatizo yetu tunayachimbia moyoni, ukikuta mwanaume anaelezea kwamba anapata kibano huyo hajakamilika, ndio maana utasikia mwanaume katelekeza familia amekimbilia kusiko julikana ukifanya utafiti wa ndani sana utagundua vichapo vinamchango wake.
 
Dah!Poleni wababa mnaopokea kichapo!Kureport sidhani kama itasaidia sana...kesi ikiisha mkirudi nyumbani unapewa chakukumaliza kabisa!Kama ambavyo siwezi kuishi na mwanaume anayeniabuse na wewe achana na mwanamke anayekuabuse!Mara nyingi kubadilika hawawezi maana ndivyo walivyo...kwahiyo mtu akishakupiga mara mbili tafuta mlango ulipo!
 
ha ha ha dah! huyo kibaki unahisi kabisa yaani kwamba aliekwa kibano na mama lucy halaf akalazimishwa kuweka hiyo press confrence.

BEK TO ZE TOPIK:

kuhusu suala la jinsia ya upinzani kwamba wapi tunapeleleka malalamiko yetu:

JIBU: katika katiba ya wanaume hakuna kitu malalamiko, mwanaume akilalamika ujue jinsia yake ina uchotara flani a.k.a sio mwanaume kamili . hivi limwanaume utaanzaje anzaje kupigwa na mwanamke bana?, mimi waifu akininyanyasa malalamiko yangu nampelekea yeye mwenyewe kwa vitendo kwenye sita kwa sita mpaka atubu zambi zake, na akizidi jeuri nyumba ndogo naigeuza kubwa.

- THE END-
 
...ngoja niwa beep kina MTM, BAK, Aspirin, Klorokwini, Teamo na wengineo waje watoe kauzoefu hapa.
Naamini watajielezea kwa ufasaha zaidi wapi tupelekapo haya malalamiko.
'Fingers Crossed,' I hope none will mention Nyumba ndogo!

Mheshimiwa Mbu,

Katika hali ya kawaida ni aibu kwa mwanaume kudundwa na mwanamke... Na kudundwa huku nakosemea hapa ni yale mashambulio ya kimwili. Mwanamke ujanja wake ni "kumdunda" mwanaume kwa maneno.....piga kelele utakavyo lakini usinyooshe mkono kupiga mwanaume. Itakuwa vita.

Ili kukwepa kadhia hii ni kujihadhari tusidundwe. Either dudunde au tuepuke kudundwa..... Kwa wale vijana ambao hawajaingia kwenye mahusiano ya kudumu nawashauri kabla hawajaoa waangalie misuli ya wanawake wanaotaka kuwaoa. Mi mwanangu wa kiume akija nyumbani analia kadundwa na mkewe, nami namwongezea makwenzi kadhaa!
 
gud moning fellow tablet.
hapo red sio aibu tu bali hata mungu ametuita vichwa vya familia ili ikibidi turushe vichwa. sasa kichwa inakuwaje kiwekwe kibano na shingo bana. kwa ufupi mwanaume ukitwangwa na mwanamke inabidi ukafungue duka la kuuza kanga tu hakuna shuhuli nyengine itakayokufaa.
 
Wadundwaji utawajua tu!
 
mbona unakwenda offu topik, Mbu atakudunda wewe! twende kule chit chat basi nimemiss kuquote post zako kweli aisee.
Hehehe wala sijaenda ofutopiki!Nimeonyesha wapigwaji wanavyokua nje ya ulingo! Mmh hata sijui mnaongelea nini kule!Tangulia nikufuate basi!
 
Back
Top Bottom